Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

je pombe ni nzuri kwa watu wa kundi hili,
 

nadhani pasco una ufahamu mkubwa sana wa elimu hii maana the way you explain inaonesha ni mfuatiliaji mkubwa sana wa elimu hii. Big up
 
nadhani pasco una ufahamu mkubwa sana wa elimu hii maana the way you explain inaonesha ni mfuatiliaji mkubwa sana wa elimu hii. Big up
Iama, sina ufahamu mkubwa kivile, ukieeza kuzifungua hizo links zote na kuvisoma hivyo vitabu ndipo utapata ufahamu mkubwa.
Pasco
 
Mkuu Pasco au mshana au yeyote, kwa kweli leo mmenifumbulia kitu nilichokuwa najiuliza mimi nimeumbwaje. Tatizo langu kubwa ni kwamba karibu watu wengi ninaokaa nao jirani hasa wanawake na baadhi ya wanaume wananiogopa sana kiasi kwamba nikiwa nyumbani wanarudia nje ya geti wakati mimi ni mcheshi na napenda sana kuzungumza na watu pia karibu zaidi ya 90 % ya wanawake ninaowataka lazima niwapate siku hiyohiyo na wengine hunianza wenyewe kwa mfano mwanamke wa kwanza kuduu naye alinianza mwenyewe kwa kutuma mtu na mimi nikaogopa kumkatalia, Pili kwa kadri ya maisha yangu sijawahi kugombea nafasi yoyote ya uongozi nikaikosa, tangu nikiwa mdogo mpaka sasa , pia wale wote niliowajazia fomu za ugombea wote wanafanikiwa. Tatizo linalilonisumbua ambalo ilibidi niombe Mungu anisaidie na nikafaulu ilikuwa ni kuota mambo na nikimwambia mke wangu anabisha lakini yanakuja kutokea vilevile hata kama itachukuwa mda mrefu kutokea kwa hiyo kila nilipokuwa jambo furani la kutisha nilikuwa Napata hofu sana. hii ilinianza baada ya baba kufariki dunia na alikuwa ananitokea mara kwa mara na kunileleza mambo mbalimbali ambayo yatatokea na yanatokea kweli. Kwa mfano kulikuwa na kazi nimeombwa niifanye na taasisi Fulani bila mimi sikutuma maombi ya kazi hiyo, baba alinitokea akasema mawajiri wako wa sasa atakuambia usubili mwezi mmoja lakini baadae hutaifanya kazi hiyo utakuja kuifanya badae, na ndivyo ilivyokuwa kwa MWAJIRI WANGU kukataa kuniruhusu, lakini nilikuja kuajiriwa tena kazi hioyhiyo baada ya miaka ya miaka 7 tangu nilipokuwa nimeombwa kwa mara ya kwanza na pia nilifanya kuteuliwa tu wala sikufanya intavyuu yoyote. Kwa sasa mara kwa mara naota naruka hewani na hata leo nimeota naruka hewani, je hii ni ishara gani?
 
Kwa mujibu wa mjadala wa watu wengi humu wanawakilisha pande mbili za imani n'a siyo vibaya ,tatizo ni kuona mambo katika mazoea ya tulivyoaminishwa ktk ngazi ya mazingira na jamii kujitambua ni jukumu la kila mmoja wetu na kwa bahati mbaya au nzuri si jukumu la jumla ni la kibinafsi nachoomba tu tujitafute na turuhusu kuona mambo kutokea kila upande,
 
mkuu nimeipenda haya maelezo yako , swali moja tu hivi hawa waganga wa kienyeji na majini yao wanapowatabiria watu ni kweli au si kweli na je kama wao waganga wanatumia majini sisi tunaweza kuona vitu vijavyo kweli? , kama uchawi n.k au havipo ni wasi wasi wetu?
 
samahani baada ya kusoma hili andiko nimetatizwa sana ila naomba nihoji! je wote ambao mmesema kuwa na power mna tatizo la kuamka usiku wa manane kati ya saa nane na nunu mpaka kumi na robo! sio kuamka kabisaa ila unashtuka kutoka usingizini na usingizi unakata and you have to start it again! na wale ambao labda mnaota ndoto na mnaziona kuja kuwa kweli ni ndoto zipi sana huwa kweli i meana kati ya saa tatu mpaka nane au nane mpaka kumi na mbili! any one to share his/her experience
 
Mkuu Manning, you have the powers to make things happen!.Hizi powers ziko za aina mbili , positive na negative , ingekuwa ingekuwa zinafuata principle ya nature,positive na negative ingeattract!, powers hizi ni contrary to nature, positive na negative zina repeal Positive powers ni nguvu za kutenda mema na negative ni nguvu za kutenda maovu. Kinachowafanya hao watu wakuogope ni kuwa mwili wako una radiate powers mbao wanakuogopa nao wana opposite powers!.


Hiyo ya kuwapata kila wasichana utakao watokea, ni nguvu hizo will powers za lolote utakalo linakuwa!.Wowote utaawasaidia wanafanikiwa!. Unachopaswa kufanya sasa, kwanza ni kujitambua kuwa you have the powers za kufanya kill kitu!, Kwa vile umekuwa na hizo powers kwa muda mrefu bila kujitambua , matokeo yake zimekuwa wasted na under utilized!.Kutoka sasa zitawale nguvu hizo, ukizielekeza direction mfano kama unatumia coralla huku unapeda Benz au Vogue na unajiona huna uwezo wa Benz au Vogue, then weka nia ya dhati kwa kudhamiria kuwa utendesha Benz au Vogue na utajenga ghorofa, umekuwa boss, utaishi top life, vyote vitakuja!,

Hilo la kutokewa na baba , death is not a big deal, it's only a change of life form physical to spiritual yaani amehama toka ulimwengu wa mwili sasa anaishi ulimwengu wa roho the spiritual world ambako ndiko mbinguni au peponi kwenye ulimwengu wa pepo. Anapokutokea, anakutokea kweli hivyo msikilize kwa makini na zingatia sana maelekezo yake !.

Angalizo: Kwenye ulimwengu wa pepo, zile positive na negatives zipo, yaani kuna good spirits na bad spirits.
Nitaendeea, na take break follow Isidingo ikiisha narudi kumalizia.
Pasco
 

Hiz pages mbn km zimepungua,,mana ya mwsho ilikua 47 cjui,illa sa iv zko 28,zmepunguzwa au?
 
Mleta mada ameleta akiwa na maana nzuri tu ya sisi tupanue bongo zetu ili kutumia nguvu tulizojaaliwa kama binadam watu wengine wakageuza mjadala kua wa kidin... thanks moderator kwa kuliona hilo, ombi langu naomba mkuu Pasco na wengine sasa tuendelee kama ilivokua mwanzo kujuzana zaidi... binafsi tayar nipo najisomea the power of my subconsious mind and am enjoying the book. Aksante🙂
 
Hiz pages mbn km zimepungua,,mana ya mwsho ilikua 47 cjui,illa sa iv zko 28,zmepunguzwa au?

mods ni wasikivu kuna watu wali hijack huu mjadala wakaanza kulumbania dini! ikawa ngumu kufatilia mjadala thanks kilio chetu kimeakilizwa here we are again tunaendelea na shule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…