Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #561
Naendelea,Mkuu Pasco au mshana au yeyote, kwa kweli leo mmenifumbulia kitu nilichokuwa najiuliza mimi nimeumbwaje. Tatizo langu kubwa ni kwamba karibu watu wengi ninaokaa nao jirani hasa wanawake na baadhi ya wanaume wananiogopa sana kiasi kwamba nikiwa nyumbani wanarudia nje ya geti wakati mimi ni mcheshi na napenda sana kuzungumza na watu pia karibu zaidi ya 90 % ya wanawake ninaowataka lazima niwapate siku hiyohiyo na wengine hunianza wenyewe kwa mfano mwanamke wa kwanza kuduu naye alinianza mwenyewe kwa kutuma mtu na mimi nikaogopa kumkatalia, Pili kwa kadri ya maisha yangu sijawahi kugombea nafasi yoyote ya uongozi nikaikosa, tangu nikiwa mdogo mpaka sasa , pia wale wote niliowajazia fomu za ugombea wote wanafanikiwa. Tatizo linalilonisumbua ambalo ilibidi niombe Mungu anisaidie na nikafaulu ilikuwa ni kuota mambo na nikimwambia mke wangu anabisha lakini yanakuja kutokea vilevile hata kama itachukuwa mda mrefu kutokea kwa hiyo kila nilipokuwa jambo furani la kutisha nilikuwa Napata hofu sana. hii ilinianza baada ya baba kufariki dunia na alikuwa ananitokea mara kwa mara na kunileleza mambo mbalimbali ambayo yatatokea na yanatokea kweli. Kwa mfano kulikuwa na kazi nimeombwa niifanye na taasisi Fulani bila mimi sikutuma maombi ya kazi hiyo, baba alinitokea akasema mawajiri wako wa sasa atakuambia usubili mwezi mmoja lakini baadae hutaifanya kazi hiyo utakuja kuifanya badae, na ndivyo ilivyokuwa kwa MWAJIRI WANGU kukataa kuniruhusu, lakini nilikuja kuajiriwa tena kazi hioyhiyo baada ya miaka ya miaka 7 tangu nilipokuwa nimeombwa kwa mara ya kwanza na pia nilifanya kuteuliwa tu wala sikufanya intavyuu yoyote. Kwa sasa mara kwa mara naota naruka hewani na hata leo nimeota naruka hewani, je hii ni ishara gani?
Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.
Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza!.
Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za giza!".
Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".
Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.
"I know I can, be what I wanna be!"
Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.
Naendelea,
Niliishia kwenye ulimwengu wa roho, yaani, spiritual world, huko ndiko kwenye pepo, yaani spirits, maeneo haya yanatajwa kama mbinguni, peponi, ahera, motoni , kuzimuni, toharani etc, huko kwenye ulimwengu wa roho, kuna good spirits, bad spirits na evil spirits!.
Good spirits ni zile powers za kutenda mema kama kupandisha Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, kuwa na kipawa cha kuponya, kukemea, kufanya miujiza, matumizi yoyote ya hizi inner power kutenda mema ndiko kuliko dhamiriwa na Mungu wakati akituumba.
Bad spirits ni zile power za kutenda maovu, kama ghosts , mizimu elekezi kwa yasiyo mema, claivoyance, mediums, pepo wachafu kama pepo la ngono, pepo la wivu wa kupindukia, pepo la tamaa, wagaga wa kienyeji wasiotumia alternative medicines , majini faida, na vitendo vingine vyovyote vinavyokwenda kinyume.
Na evil spirits zikiongozwa na the devil, mashetani, majini, wachawi na matumizi ya hizi power kufanya maangamizi.
Hilo la kupaa, inaweza kuwa ni ndoto tuu au astra travel.
Pasco
Mkuu Nyenyere, kiukweli naunga mkono hatua ya mode kuingilia kati kwa sababu ukifika mahali pabaya pa kukashifu dini na imani za Wengine.Mods, kama ni kweli ninyi mnazuia hoja za kutaka kufahamu uhalali wa upotoshaji huu, basi jueni kuwa nanyi mmeamua kuushambulia ukristo, naijulikane hivyo kuanzia sasa! Theme ya mleta mada imejificha katika kuwapatia self awareness watu, lakini ukiangalia vema, haya mafundisho yanalenga moja kwa moja kuupinga ukristo kwa kuimshambulia waziwazi mhusika wake m mkuu. Hapo ametukana uweza wa Yesu Kristu, Mungu, Roho Mtakatifu, wahubiri kwa kuwaweka daraja moja na wachawi, sangoma, mlingotini n.k.
Kwamba tofauti ya nguvu za wachawi na wakristu ni aina ya matokeo? Eti yakiwa mema huitwa nguvu za Yesu au Mungu au Roho Mtakatifu? Halafu zikileta maovu huitwa nguvu za giza!!? Halafu mnajidai eti huu uzi na kwa wale wanaotafiti nje ya upeo wa dini. Lord have mercy. Sikubali asilani kuona uzushi kama huu ukitamalaki bila kujibiwa. Vinginevyo namwomba Pasco afanyie editing uzi huu aondoe zile hoja zinazoshambulia imani nyingine, kama anataka afundishe hiyo elimu ya fallen angels kwa amani. Nje ya hapo tutaendelea kudai a-justify huu uzushi dhidi ya Biblia anayoishambulia kwa kutumiwa na roho wachafu.
Heshima kwenu mods na ninaamini mtakuwa fair. Ama mruhusu hoja za msingi zijibiwe (maana zimewekwa kama sehemu ya hii elimu ambayo ipo miaka mingi tu wala haina jipya), ama zifutwe hoja hizo.
Thanks
Kwako na wengine wote, wajameni ninachofundisha hapa sio dini!. Ninachofundisha humu ni sisi binadamu wote tunazo nguvu za kutenda kila kitu ikiwemo kufanya miujiza bila kutegemea dini yoyote!.You will never get away with this! Hii ni dini inayoipinga Biblia Takatifu. Endelea...........!
Kwako na wengine wote, wajameni ninachofundisha hapa sio dini!. Ninachofundisha humu ni sisi binadamu wote tunazo nguvu za kutenda kila kitu ikiwemo kufanya miujiza bila kutegemea dini yoyote!.
Ili kuyafanya yote, shikilia imani yako hiyo hiyo ulionayo na amini kwa dhati kwamba unaweza kufanya kila kitu, utafanikiwa!.
Pasco
Mkuu we achana na watu wa aina hii kwa sababu kila mtu ana imani yake na hapa hujaeleza kuwa kuna watu umbaya kuhusu mtu kumuamini Yesu ila umeelezsa kuwa kuna watu wanatumia jina la Yesu ,Roho mtakatifu ,maria NK na pia kuna watu wanatumia vitu tofauti na yesu , kwa nini hataki kuelewa? Hawa ndo walokole feki wanaofuata mkumbo badala ya kuamini na pia hawawezi kuhoji jambo lolote kwa kuamini ni dhambi kufanya hivyo.Kwako na wengine wote, wajameni ninachofundisha hapa sio dini!. Ninachofundisha humu ni sisi binadamu wote tunazo nguvu za kutenda kila kitu ikiwemo kufanya miujiza bila kutegemea dini yoyote!.
Ili kuyafanya yote, shikilia imani yako hiyo hiyo ulionayo na amini kwa dhati kwamba unaweza kufanya kila kitu, utafanikiwa!.
Pasco
Mkuu Nyenyere, kiukweli naunga mkono hatua ya mode kuingilia kati kwa sababu ukifika mahali pabaya pa kukashifu dini na imani za Wengine.
Mfano wewe ukiwa Mkiristu unaamini Yesu ni Mungu, its not fair kwa asiyeamini kuwa Yesu ni Mungu aje humu na kusema Yesu sii Mungu!. Kama wewe ni muumini wa imani fulani, itoshe kuishikilia imani yako bila kushambulia imani za wengine!.
Kwenye uzi huu mimi nafundisha watu kuhusu powers from within bila kulazimisha watu wa dini yoyote. Wewe kila ukija humu unanishupalia mimi ni mpinga Kristo, ninacho kueleza wewe na waumini wengine kama wewe, hizi powers zimekuweko tangu kabla ya Ukristu. Hindu wanazifundisha kiaka 300,000 kabla ya Kritu, its not fair kulazimisha hizi powers ni za Kristu pekee aliyekuja miaka 2013 tuu iliyopita!. Kama meditation imekuwepo miaka 300,000 kabla ya Kristu, Kristu nae kaja kaikuta na ukitumia sana tuu, nakuuliza jee unajua Kristu alikuwa wapi na alifanya nini kati ya miaka 12 hadi 30?, hujui unalazimisha kile tuu ukijuacho!. Nimekuwekea vitabu pale juu husomi unang'ang'ana na kitabu kimoja tuu cha Biblia, unakuwa huwatendei haki wengine wote wasioamini katika Kristu.
Nakuhakikishia hizi powers zipo indeoendent ya dini yoyote, zile secret society zote wanazijua ila wanafanya siri ili wafaidike wenyewe pekee!.
Nakushauri stick to unachoamini bila kuwaingilia wengine na kulazimisha unachoamini wewe!.
Please!.
Nyenyere.. wote tuliopo hapa tunaakili timamu na wala hatuburuzwi na mtu ndugu.. kama unaona ni kero Jf kuna maeneo mengi kutembelea ni vizur uuache huu uzi uende pengine hapa sio sehem yako...
Mkuu Uvingizi, hawa waganga wachofanya ni kweli, wanatumia nguvu hizi kuifungua milango ya imani yako, kinachokutibu ni nguvu zako mwenyewe zilizo ndani yako ambazo zimefunguka kutokana na kumuamini huyo mganga!. Yale manyanga, zile dawa zote ni zuga tuu kinachokuponya ni nguvu zako mwenyewe zilizo ndani yako!.mkuu nimeipenda haya maelezo yako , swali moja tu hivi hawa waganga wa kienyeji na majini yao wanapowatabiria watu ni kweli au si kweli na je kama wao waganga wanatumia majini sisi tunaweza kuona vitu vijavyo kweli? , kama uchawi n.k au havipo ni wasi wasi wetu?
Mkuu Uvingizi, hawa waganga wachofanya ni kweli, wanatumia nguvu hizi kuifungua milango ya imani yako, kinachokutibu ni nguvu zako mwenyewe zilizo ndani yako ambazo zimefunguka kutokana na kumuamini huyo mganga!. Yale manyanga, zile dawa zote ni zuga tuu kinachokuponya ni nguvu zako mwenyewe zilizo ndani yako!.
Hata wale watenda miujiza, wanachofanya ni just opening the power doors na windows kwa powers from within yourself, ndizo zinazokuponya na sio nguvu za huyo mhubiri !. Vivyo hivyo kwa kile kikombe cha Babu, ile dawa Babu aliooteshwa ni kichocheo tuu cha kuzifungua nguvu za uponyaji zilizoko ndani ya mgonjwa mwenyewe, kitendo cha kunywa kikombe kilifanya ukiamini, Kyle kuamini ndiko kulikofungua power doors zako mwenyewe zilizo ndani yako ambazo zimefunguka kutokana kukiamini kikombe kilifanya, zikakuponya.
Kwa kufanya mazoezi ya self discipline, sio tuu utajiponya maradhi yote, bali utayazuia maradhi yoyote yasikupate, na unaweza kupata mafanikio makubwa kwa kupata kila unachokitaka, kazi nzuri, pesa nzuri, gari zuri, mwanamke mzuri maisha mazuri etc etc etc, sire nikuamini tuu, that you can!.
La msingi sana la kuzingatia ni kuwa nguvu za Kweli ambazo ni za Mungu, zipo, na nguvu za giza ambazo ni za Shetani, pia zipo, the dividing line between nguvu za Mungu na nguvu za giza za shetani ni very thin!. Nguvu za Mungu, tumepewa freely, unconditional na kuzitumia pia ni freely bila conditions zozote , ila kwa nguvu za giza, kuna conditions kibao!.
Pasco.
Mkuu we achana na watu wa aina hii kwa sababu kila mtu ana imani yake na hapa hujaeleza kuwa kuna watu umbaya kuhusu mtu kumuamini Yesu ila umeelezsa kuwa kuna watu wanatumia jina la Yesu ,Roho mtakatifu ,maria NK na pia kuna watu wanatumia vitu tofauti na yesu , kwa nini hataki kuelewa? Hawa ndo walokole feki wanaofuata mkumbo badala ya kuamini na pia hawawezi kuhoji jambo lolote kwa kuamini ni dhambi kufanya hivyo.
Swali la msingi kwako: unaposema wachawi na Yesu source ya nguvu yao ni moja, huoni kwamba unachafua ukristu? Kwani huwezi kufundisha huo uchafu bila kuhusisha imani za wengine? Huo upuuzi umeandikwa sana tu kwenye biblia, ndio maana nikakuuliza unajua nini kuhusu nephilims na fallen angels?
Pia nikuhakikishie nimesoma vitabu vya kutosha kuhusu haya mambo na nina marafiki waliokuwa huko, mimi si mjinga kama unavyodhani. Hata huo uongo unalionao uweke hapa nikuchane wazi wazi kuhusu miaka iliyopotea ya Yesu. Hizo story za kwenda kwenye temple huko India na Tibeti na upuuzi mwingine usio na ushahidi umwage hapa ufahamu ukweli. Huo uzushi wa Nicholas Notovitch usio na kichwa wala miguu si habari ya wewe kujivunia hata kidogo.
Hoja yangu kuu ni kuwa Usifundishe hiyo elimu yako kwa kupotosha ukristu, fata hicho unachokiamini kama unavyotuambia wengine. Kwa namna hiyo you can have your way.
I wish you a good journey into the demonic realm!
Sizungumzii akili yako timamu, I am defending my faith which is being attacked here. Kama atafundisha tu hizo nguvu mnazozitamani bila kumtaja Kristu kama mfano wake, sina tatizo. Lakini akimhusisha tu, haiwezekani kukaa kimya bila kufichua uongo anaoupika.
Mkuu Baiskeli , kila mtu anazo!, tatizo ni kujitambua kuzifungua na kuzitumia kujiletea maendeleo.Ntajuaje kama nina hizo nguvu?? Nifanyaje kuzifungua/kuzipata?? Kuna dawa ya kunywa kisha nazipata?? Sijakuelewa bado..
Mkuu Baiskeli , kila mtu anazo!, tatizo ni kujitambua kuzifungua na kuzitumia kujiletea maendeleo.
Hakuna dawa yoyote wala huitaji kutumia hata senti moja kuzifungua, unachohitaji ni kuendelea kuufuatilia uzi huu baada ya kukoma haya malumbano, liafuatia darasa !.
Pasco.
data
Ok mkuu pasco nalisubiri hilo darasa.. kwa nini usilianzishe tu leooo??