Mimi mwenyewe nimeanza kujiogopa!,nilipobatizwa lile jina,ni kweli ile hali ikanitembelea kweli, nikapigika!,nikaumia!matokeo ya kuumia kwangu, ndio vile tena!
Angalia kilichomkuta yule aliyenisulubu kule kwenye ule mnanii pale mahali!
Usifanye mchezo kabisa na watu wenye invicible powers!ni watu wa hatari kuliko watu wenye the real powers!,kwasababu watu wenye real powers,powers zao zinaonekana!,mitutu,suti nyeusi, ving'ora,vyombo vya dola,hivyo silaha zinazotumika,they are visible, unaziona!, unajua jinsi ya kujilinda, unatinga bullet proof, ngoma inadunda!, umemaliza kazi!, lakini invisible weapons, huzioni!, hujui utajilinda vipi!, hivyo watu wa type hii ni hatari kuliko unavyowadhania!, wakishauri jambo, salama yako ni kutekeleza tuu!, vinginevyo sasa hivi tunaweza kuku ... na tunakusahau!.
Be warned usiseme hukujua! au hukuambiwa!, najitolea mfano mimi mwenyewe!
"Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia hivyo hii ni number nyingine kabisa!, cheza nayo mbali!, usije na wewe ukalala leo, kesho usiamke!.
P