Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mimi hiyo yote ninatumia na Kwa uwezo wake Mungu ninapata kileMkuu Mzizi Mkavu, sijui hata nikujibuje!, kitu cha kwanza ni kujitambua una powers katika maeneo yapi, pili kuzidevelop hizo powers na ndipo uweze kuzitumia!. Wakanga wote wa ukweli ukweli, wanazitumia hizi powers, na watu wengi wenye mafanikio, pia wanazitumia hizi powers kwa kujijua ao kutojua!. Kwa kuanzia jitulize kimya, medidate au fanya sala huki ukiomba jambo fulani au kitu fulani,then fanya efforts kukipata hicho utakacho, utapata!. Just wish for anything!, you will be granted!.
Pasco
ninachokitaka hata kama nikimuombea mtu kwa mfano ni mgonjwa au mtu yupo jela
au mtu anataka apate cheo au mtu anataka apate kazi au jambo lolote nikitia nia ya
kumuombea kwa muda wa siku 3 au siku 7 nikimuombea peke yangu wakati wa usiku
mwingi basi nitapata jibu kwa Muda usiopunguwa siku 7 nimeshawafanyia wengi na
wamefanikiwa kwa kupitia mikono yangu ninajuwa namna ya kumuombea mtu Kwa
Mungu ili aweze kufanikiwa.Nilikuwa ninataka kujuwa kwako wewe huko nchini India
umejifunza nini na haya mambo ya Psychic Powers?