Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Mboana unabisha tu, au na wewe ni Mchawi?Uliujifunzia wapi ndio ukajua ni uchawi?
Mkuu hata mimi naitaji kujifunza sana kutoka kwako mkuu naomba kushare pamoja
Hakuna shaka kabisa tuwasiliane tuu
Hakuna shaka kabisa tuwasiliane tuu
Mkuu Pasco
Mimi Mwaka 1996 nilikuja kugundua kuwa kama ikitokea mtu akanifanyia jambo baya na kunitia simanzi bila mimi kumkosea yeye. Nikiingia kinyongo na kusikitika kwa maumivu ya ndani basi mtu huy0 hakika hupatwa na janga/masahibu fulani. hali hii imekuwa ikinitia wasiwasi sana hasa pale ndugu wa karibu wanaponifanyia mambo mabaya unfairly (isivyo haki). Je waweza kunipa ufafanuzi wa jambo hili kiroho na jinsi ya kuepuka au kulidhibiti
Mkuu umeelezea vzur sana, kwa mfano mimi nataka nidevelop hapa dsm kuna tempo nayoweza kuhudhuria, au naweza kujitrain alone?
mshana nimekuelewa sana pliiiz if you donn mind ni pm..,i have a lot to talk with you..think we have the same feelings
kiukweli mi nachukiaga sana.
kuna mambo mengi huwa nayapata kama ndoto but hayachukui cku nyingi yanatokea kama yalivyo.
naweza ota mtu fulani ndoa yake imevunjika na isichukue muda, yaan huwa naotaga tukio zima kama lilivyo.
na huwa nikimwabia muhusika mfano " mtoto wako amefeli masomo kwa sababu ya ulevi " unakuta yule mtu ana hyo tabia.
yaan huwa naomba dua sana hili jambo liniondoke linanitesa naweza kuwa na rafiki but naota mambo yatayo watokea mazur na mabaya, naogopa hata kuwaambia maana wasipochukua hatua linawatokea kweli na wanajiuliza maswali mengi kuhusu mimi. watu wanaonifanyia mabaya , mazur wengi huwa naotaga