Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mku Mkuu hata mimi hii huwa inanitokea sana,mara nyingi huwa inakuja kumbukumbu ya mavazi na mazingira tuliyopo na wakati mwingine hata mazungumzo huwa yanajirudia exactly kama yale yale niliyowahi kuyafikiria nyuma
 
MIMI NINA PENDA NIFUNGUE HIZO NGUVU KWASABABU MIMI KWENYE NDOTO ZANGU NAONYESHWA VITU VINATOKEA KAMA KAZINI KATIKA SHUDHULI NINAZO ZIFANYA NAONYWESHWA SANA JE NIFANYEJE ILI NIWEZE KUZUIA KAMA ZILE NJOZI MBAYA NAMATUKIO AMBAYO YANAONYESHA YATA TOKEA ILI KUBADILISHA ILE PICHA AU TUKIO NILILO LIONA KWENYE NJOZI
 
 
Jaman ndo kwanza nimejiunga jf.uzi nimeupenda kisawa sawa ila sasa nikitoka online nawezaje kuupata kiurahs niendelee kujifunza??
 
Daaah umenifungua akili mzee. Hongera na ubarikiwe, hasa kuhusu siku kuwahi iona aisee huwa sometimes inanitokea so nabaki kujiulza hii siku nilisha wahi iona. Ila sikumbuki nimeiona vip na wapi au kwa wakati gani. Sometimes difficult to explain even to ask. So unabaki kimya tu.
Asante Pasco nimeongeza uelewa wangu.
 
Pasco tafadhali endelea kutupatia ilmu hii adimu.
 
Ndugu zangu wana JF hii mada ni kali sana na natamani tuelimishane vlizuri kabisa kwa manufaa ya watanzania wote. haya mambo ni ya kweli kabisa. mimi binafsi niliwahi kusoma kitabu kimoja kimeandlikwa "psych power can make you rich". nilikuta mfano mmoja katika hicho kitabu ambao ulinifurahisha sana kiasi kwamba niliamua kuufanyia majaribio. majibu niliyopata yalukuwa ya kuskhangaza sana kiasi kwamba nilijikuta nikiangua kicheko kwenye daladala kama chizi bila watu kufahamu nilikuwa nikicheka nini.
mfano wenyewe unasema hivi " unaweza kuwa umepanda gari kama daladala ilimradi unaweza kuwa unaangalia eneo la nyuma la shingo ya mtu aliyeko kiti cha mbele yako. kisha ujenge picha ndani ya akili yako (imagination) kuwa macho yako mawili yanayo mtazama huyo mtu ni kama tochi yenye mwanga mkali (laser beam) kiasi kwamba kadiri unavyozidi kukodolea macho kwa mkazo katika shingo ya huyo jamaa unaona kabisa ule mwanga mkali toka kwenye macho yako unaanza kumuunguza na nyama ya shingo yake inaanza kukunjamana. wanaeleza kuwa kama utaifanya lkwa mkazo yaani (concerntration) baada ya muda fulani ama huyo jamaa atakuna hiyo sehemu ya shingo yake ama basi atageuka na kukutazama maana atakuwa amepata usumbufu katika hiyo shingo yake. mimi jamaa niliyemfanyia hiyo experiment alikuna hiyo shngo, na kanakwamba haitoshi akanigeukia. na ghafla nikaangua kiicheko cha hatari.
4738942, member: 12004"]
Mkuu malenga wetu,kwanza samahani, siku hizi huwa sipiti sana pande hizi, na nilikuwa busy kumuingiza mtu wetu ikulu, ila ndio hivyo tena!, sasa ni kazi tuu!.

Hiyo ya kutembea na kujiona uliishafika mahali, au kukutana na mtu ukajiona mliisha kutana kabla inaitwa De javu!. Ni kumbukumbu ambayo iko stored kwenye subconscious mind yako kwa combination ya
Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
ambapo mwili wa binadamu una sehemu kuu mbili, mwili wa nyama, physical body, na mwili wa roho, spirritual body, au astral body.Movement na actions za Physical body ndio inatumia kanuni za kisayansi za motion zinazohusisha mass, distance time, lakini spiritual body haina uzito, haina time wala distance, ndio inayohusika kwenye ndoto ambapo kuna baadhi ya ndoto ukiota physical body inakuwa imelala, na spiritual inakuwa imesafiri hivyo hao watu, hayo maeneo spiritual body yako inakuwa tayari iliishafika hapo na hao watu mliishakutana spiritually na kumbukumbu zote za spiritual body zinahifadhiwa kwenye subconcious mind sasa physical body inapofika tena, au kukutana na huyo mtu, ndipo subconscious inafunguka kukukumbusha kuwa hapa niliisha fika au huyu mtu niliisha muona. Sometimes ni tukio kabisa ambalo limetokea kwa mara ya kwanza, lakini kina kinachotokea wewe unakuwa kama uliisha kiona!.

Kuna baadhi ya ndoto zinakuwa kweli, unaota kitu fulani au jambo fulani limetokea, mfano msiba, na kesho yake au baada ya siku chache unapokea taarifa za kotokea tukio hilo au msiba. Hapa ni spiritual body yako inakuwa ilitoka ukiwa ndotoni kwenda kushuhudia na kurejea. Kuna baadhi ya ndoto ni matukio ya kweli na nyingine ni ndoto tuu!.

Hiyo ya kujua mtu atasema nini kabla hajasema ni simple telepathy, yaani wakati anafikiria kusema wewe unakuwa umesikia kabla, au mekaa mahali mnamsema mtu fulani mara anatokea!, mtasikika mkisema "una maisha marefu" sasa hivi tulikuwa tunakuzungumzia, mara umetokea!. Au unatembea kwenye kichochoro, unakutana na mtu, ile mnataka kupisha wewe ukipisha huku na yeye anapisha huko huko unarudi huku na yeye anarudi huku ndipo unasimama ili yeye aamue anapisha wapi ndipo mnapishana!.

Kuna kitu kinaitwa preamonition, ni jambo unalisema au unaliota kisha linatokea, hii peamonition ipo inayotokea naturally na kuna nyingine, unaiomba kwa kauli pale unapoisema, hivi ndivyo laana inavyotengenezwa, inatengenezwa kwa kauli tuu!, kauli huumba!.

Hilo la kuota unakabiliwa na mtihani ni ndoto za maono kuwa utakabiliwa na changamoto fulani au mitihani ya maisha, ila unakuwa prepared. Kwenye ndoto kuna direct dreams, unaona umepata pesa, kweli unapata pesa!, unaota fulani amekufa, kweli fulani anakufa!. Kuna ndoto ni inverse or opposite!, unaota uko kwenye sherehe ya harusi, unapata msiba!, unaota unapaa angani, unapata majanga!, unaota umetumbukia kwenye shimo efu, ana unakimbizwa na simba, nyoka etc, unapata neema!.

NB. Mimi sio mfasiri wa nyota, wala sina powers zozote bali ni kutokana na kusoma tuu vitabu mbalimbali!.

Jumapili njema.

Pasco
[/QUOTE]
 




msidanganye watu Mungu hakumuumba shetani bali shetani alikua malaika mkuu wa sifa mbinguni sasa kilichotokea ni hiki



yeye alikua anaenda directly kwa Mungu sasa ule utukufu na mng'ao aliokua nao baada ya kutoka kwa Mungu ni wa ajabu mpk malaika wwnzake wakawa wanahofu nao nae akapata kichwa akataka kufanya mapinduzi akizan atafanikiwa ndio kushushwa na kutupwa huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…