Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Hebu tuanzie hapa huwa naota vtu na kweli huwa vnatokea hasa vnavonihusu na vkitokea hapo hapo nakumbuka nlishawahi ota
 
Hey aamahani,Upo Dar ? If yes ,hiyo bookshop inapopatikana hivo vitabu ipo wapi kwa Dar ,maana bookshop nyingi hawana hivyo vitabu .
nna pdf ya power of subconscious mind, kama unataka nichek
 
Mimi nilikuwanayo ya kuona tukio kabla hajijahappen kwa njia ya ndoto ila siku hizi hiyo halihaipo je kuna namna ya kutunza nguvu iliyo ndani yako? Kuna nini cha kuzingatia? Najua kutakuwa na kitu!
unakunywa pombe sana? Unazini? Je kuna mambo ulionyeshwa ufate unayafata?
 
Mimi ni trained Psychologist yote mnayo yaongea nadhani hamyajui vizuri
Basi tueleze wewe unayoyajua mkuu JF ni kushare experience sio unaongea juu juu mkuu.
Ni follow 0653999687
Mkuu Prof. Kimaro, JF ni user generated forum of sharing information. Chochote unachokijua unashare na wengine freely, haya mambo ya kunifollow yaliishatokea kwenye uzi huu huu siku za nyuma, mtu aliwahi kuweka number watu wamfollow awafungulie a third eye mwisho wa siku yakaja mambo ya kuombana hela mara kuchangishana mara...

Kwa kuanzia ni kweli yote tunayoongea humu hatuyajui kwa sababu sisi sio trained psychologists ila tumeeleza humu tumesoma kwenye vitabu na links tumeweka.

Unachotakiwa kufanya ni ama kupangua hoja zetu kwa hicho unachokijua ama kutuongezea kile tusichokijua.

Karibu Prof. Kimaro, a trained psychologist specialized on para psychology.

Paskali
 
mkuu kujua vitu vyote ulikuwa unasoma vitabu tu? upo deep had raha kaka
 
mkuu kujua vitu vyote ulikuwa unasoma vitabu tu? upo deep had raha kaka
Mkuu the Conceited, ni vitabu tuu, mimi ni mpenzi sana wa kusoma vitabu, Bible nimeisoma tangu page 1 mpaka last page, ila kusoma is one thing na kuelewa unachosoma its another thing.

Hii mada zile links zote unazoziona ni vitabu adimu na kuvisoma ni bure! .

Paskali
 

Mshana naomba kuuliza kuhusu mtunzi wa hicho kitabu kwakua naona waandishi wanakuja wengi....unaweza elezea specific author?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…