Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Somo la kwanza kuhusu namna ya kusoma Aura ni picha ya kwanza.
Concentarate kuangalia hizo picha mbili, utaziona kama zinataka kuungana na kuwa picha tatu, ya katikati inakuwa na umbo la msalaba. Kwa pembeni unaona kama mwanga wa blue una glow!, hiyo ndio aura!

Somo la pili. ni picha ya pili.

Concetrate kwenye kuangalia hicho kidoti cheusi hapo katikati kwa muda mrefu. Utaona hizo picha mbili zinatoa mwanga wa light blea green kwa nyuma, huo mwanga ndio aura!.

Ukiweza hii hatua ya kwanza, nakupeleka ya pili!.

Pasco.
Mkuu nimejarb Ku concentrate kwny hcho kidot lakn nlichoambulia n kuwa huo mchoro wa kulia umepotea Na nkabakia kuona huo mwekund Tu, hii tafsr yake n nn?
 
Mkuu mayenga, mimi nina
Telepathy
- Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.

Ikawa nikienda kwenye party, nikimsimikia binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.

Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.

Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuakisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.

Ila mpaka leo, kuna mtu nikimfikiria tuu, anatoke, au nafika mahali na kuambiwa, una maisha marefu, sasa hivi tulikuwa tunakuzungumza!. Au uko mahali unatembea, njia nyembamba, unataka kupishana na mtu, ukienda upende ule naye anakuja huko, ukirudi huku naye anarudi huku hadi mnataka kugongana unaamua kusimama mpishane!.

Pia nina Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen. kidogo. Kuna mambo huwa naota yanakuja kutokea!. Nina kitu kinaitwa "intuition!" yaani kabla sijafanya jambo, unapata hisia this is not gona work!, au unakutana na mtu anakuzimikia sana for real, wewe unaona its not for real!. Au ndani ya ndoa, ikitokea wife ame cheat, utajua!, huwezi kuuliza kwa sababu huna ushahidi, ili mtu akicheat, ujue atacheat tena!, nilianza kufanya kazi ya kukusanya ushahidi nikathibitisha!, na nilisamehe kwa kujifikiria ni mara ngapi nilipitia wake za watu!, wengine wakiwa ni wake wa marafiki zangu kabisa!.

Pia naweza kufanya Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things kwa kiwango kidogo!, nikikutana na mtu for the first time, I can tell huyu ni mtu mwema au ni mtu mbaya!. Hii nimeiwea kwa practice kutoka kwenye net.
Retrocognition - Perception of past events imeishanitokea mara kadhaa, naweza kufika mahali for the first time, na kujiona I have seen this place before ila sikumbuki ni wapi!, au nimekutana na mtu for the first time, na kujiona I've seen him before sijui ni wapi!, hii inaitwa De-ja-vu kwa Kifaransa!.

Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers!.
Pasco.
Mkuu nisaidie namna yakupata iyo ya kwanza.
 
Meditation ni hatari sana, nina fact chache sana juu ya huu mchezo nilifatilia kwa Masta mmoja kule arusha amabaye walikuwa na Master mkuu trainer kutoka ufaransa. Aliniambia kila mwanadam ana milango saba, na vivuli sita..lakini hakuna hata mmoja ambaye amewahi kuachieve the best kwa kutumia zote. Meditation ni hatua ya awali sana katika huo mchakato..alinieleza sarakasi nyingi za huyo mfaransa Mungu akipenda kesho nitamwaga yote hapa jamvini, kaeni mkao wa kula..nimevutiwa na mada ksho pia nitatoa side effect
 
Kuna mengi ya kufanya lakini nakupa basics kwanza ukifaulu hii hatua ya kwanza nijulishe

Hapo ulipo tafuta Sehemu kimya na utulivu kwa kwenye kiti au jamvi usikunje mgongo weka mikono mapajani kwa kurelax au lala chali kwa kulerax fumba macho halafu anza kuhesabu pumzi

Ili inhale hesabu moja uki exhale mbili endelea na mchakato huo, utaona utakapoanza tu kuhesabu yatakuja mambo kibao utakumbuka mambo ya jana, mipango ya kesho changamoto zako yaani matukio yatakuja kama mkanda wa sinema

Unachotakiwa kufanya ni kustick kwenye pumzi tu, hayo matukio yanayopita ndio takataka zilizojaa kwenye bongo yako

Pia kuna kitu kinaitwa empty meditation: hii unakaa kwakurelax na kuangalia ukuta tu usifikirie chochote zaidi ya kuuangalia huo ukuta, utajikuta huoni ukuta bali unaona mawazoni yako, chanamoto zako mipango yako madeni yako nk nk nk
aya yote ndio takataka zilizojaa kwenye ubongo, Kwahiyo zinacompress mind na kuifanya ishindwe kufanya kazi sawasawa

Unachotakiwa kufanya uwapo kwenye breathing au empty meditation ni kufocus tu kwenye kile ukifanyacho kwa Wakati huo kila kinachojaribu kuja kwenye mind unakifukuza na kurudi kwenye concentration yako ni kazi ngumu mno kutaka kuistation mind kwenye kitu kimoja kwa Wakati mmoja but with serious practice utaona mabadiliko. ...ukiiweza hatua hii ya kwanza nijulishe tuendelee
Mkuu namimi nahitaji sana. Hii
 
Mimi ni mwananchi tuu!, wananchi tunawadanganya viongozi?!, ila kama unazungumzia lile "jiwe walilolikatta waashi!", subiria kwanza mpaka litakapofanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", ndipo tuje tuulizane!.

Ili kiongozi uwe kiongozi bora, unapaswa kuwa na "powers from within!". Tanzania tunaviongozi wachache sana wenye "powers from within", Nyerere alikuwa na powers!, Sokoine alikuwa na powers!, sorry kuhusu Mwinyi, Mkapa kidogo kwa kuforce, aliyepo ni nil!, ajaye ni very powerful!.
Pasco.
Wengine wanamtungia majina ya ajabu siku hizi ilimradi waharibu sifa hii
 
Meditation ni hatari sana, nina fact chache sana juu ya huu mchezo nilifatilia kwa Masta mmoja kule arusha amabaye walikuwa na Master mkuu trainer kutoka ufaransa. Aliniambia kila mwanadam ana milango saba, na vivuli sita..lakini hakuna hata mmoja ambaye amewahi kuachieve the best kwa kutumia zote. Meditation ni hatua ya awali sana katika huo mchakato..alinieleza sarakasi nyingi za huyo mfaransa Mungu akipenda kesho nitamwaga yote hapa jamvini, kaeni mkao wa kula..nimevutiwa na mada ksho pia nitatoa side effect
Kumbe kuna mpaka sarakasi?? Basi ni wazi kabisa kuwa hiyo haikuwa meditation. Hivi hiyo kesho bado haijafika tu???
 
kumbe Hata Wewe Unaelimu Ya Kuunga Unga... Umesahau Kisa Cha Nabii Daud? Ye Hakufanya Miujiza? Hakuwa Akiomba Mpaka Milima Inaelemewa Na Kunyenyekea Kila Kilichopo Pembeni Yake? , je alitumia pepo?

Na vipi kuhusu mwanae Suleiman Bin Daud? King Solomon?? Kuwasikia Wanyama Wakiwasiliana Na Wadudu?? Vipi Umemsahau Nabii Mussa A.s.w Na Fimbo Yake?? Umemsahau Baba Wa Mababa Kaka Wa Makaka, Ya Rasullah Llah?? Muhammad S.A.W?? Alipovuta Mwezi Kwa Neema Aliopewa Na Mwenyezi Ukaja Kupasukia Kichwani Kwake?? Na Kusema "Hadha Ya Rasullah llah" huyu ndiye Mjumbe Wa Mwenyezi Mungu..... Tuachie Wajumbe Wa Mwenyezi Mungu..

Vipi Umemsahau Mfanya Biashara Tajir aliekuwa akisafir maka kwenda madina na akakutana na majambazi akawaomba dakika chache wamuache na akafanya miujiza kwa uwezo aliopewa na Mwenyezi Mungu.. Akamuita Malaika Wa Kijani??? Umesahau yote hayo?? Je, kitabu ulichosoma? Hakuna sehemu pameandikwa Mwenyezi Anampa Na Kumnyima Amtakae???

Rudi Darasani Mkuu MziziMkavu huwa Nakubali Point Zako Lakin hii umedunda... Ukweli ni Kwamba IMANI ndio kila kitu, hata wale mnaowaita makafir nao wanawaiteni nyie makafir kwa jinsi yao... Nanukuu.. "Si Kazi Yenu Kuwaongoa, Kazi Yenu Ni Kuwafikishia Ujumbe" sio kila asemalo kafir halina maana bali kafir anaweza kukunusuru siku hizi zaidi ya mwislamu mwenzio..

Nisameheni kuingiza udini lakini ukweli ni kwamba watu mnatakiwa Muelimike msikalili dini zote zinahitaji watu wenye elimu, mfano: yesu anasema usimuache elimu aende zake, na mtume s.a.w mara ya kwanza kutajiwa alitajiwa Soma...! Kwa Hiyo Hata Kama Utahisi Ni Ushetani Usome Kwanza Mbona Uzi Umejitosheleza Jamaa Kafanya Utafiti Kwanza... It Means Kasoma
Huwezi kumfananisha Nabii Daudi A.S. na Nabii Suleyman na binadamu wa kwaida wale ni Mitume wa Mwenyeezi mungu amewapa kila kitu wanacho hitaji wewe binadamu wa kawaida unazini uankunyw apombe unaroga watu unasema maneno ya uongo utaweza kweli kufanana na Mitume ya Mwenyeezi Mungu? Ukiwa unafanya mijuzi basi utakuwa unatumia Power ya Shetani sio Power ya kawaida ya binadamu. Binadamu wa mwisho kufanya Miujiza Alikuwa na Bwana Yesu A.S. hakuna mtu mwengine aliye fanya Miujiza zaidi yake yeye. ukisema wewe unafanya Miujiza basi kuna Jini au Shetani ndio anaye kusaidia kufanya hiyo miujiza sio nguvu zako mwenyewe acheni kuwaficha watu.
 
Dah inanikumbusha filamu moja inaitwa LOST naona mambo mengi mule yameelezwa lakn kwa ufichoficho
 
Mkuu mayenga, mimi nina
Telepathy
- Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.

Ikawa nikienda kwenye party, nikimsimikia binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.

Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.

Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuakisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.

Ila mpaka leo, kuna mtu nikimfikiria tuu, anatoke, au nafika mahali na kuambiwa, una maisha marefu, sasa hivi tulikuwa tunakuzungumza!. Au uko mahali unatembea, njia nyembamba, unataka kupishana na mtu, ukienda upende ule naye anakuja huko, ukirudi huku naye anarudi huku hadi mnataka kugongana unaamua kusimama mpishane!.

Pia nina Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen. kidogo. Kuna mambo huwa naota yanakuja kutokea!. Nina kitu kinaitwa "intuition!" yaani kabla sijafanya jambo, unapata hisia this is not gona work!, au unakutana na mtu anakuzimikia sana for real, wewe unaona its not for real!. Au ndani ya ndoa, ikitokea wife ame cheat, utajua!, huwezi kuuliza kwa sababu huna ushahidi, ili mtu akicheat, ujue atacheat tena!, nilianza kufanya kazi ya kukusanya ushahidi nikathibitisha!, na nilisamehe kwa kujifikiria ni mara ngapi nilipitia wake za watu!, wengine wakiwa ni wake wa marafiki zangu kabisa!.

Pia naweza kufanya Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things kwa kiwango kidogo!, nikikutana na mtu for the first time, I can tell huyu ni mtu mwema au ni mtu mbaya!. Hii nimeiwea kwa practice kutoka kwenye net.
Retrocognition - Perception of past events imeishanitokea mara kadhaa, naweza kufika mahali for the first time, na kujiona I have seen this place before ila sikumbuki ni wapi!, au nimekutana na mtu for the first time, na kujiona I've seen him before sijui ni wapi!, hii inaitwa De-ja-vu kwa Kifaransa!.

Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers!.
Pasco.
mimi pia the same!
nimehisi unaeleza nguvu nilizonazo mimi
Mume wangu ni shahidi
sizipedni zinanifanya najua vitu sikutakiwa kujua na hakika inanitesa!ni kama natamani nisiwe hivi
Mi hata shule ,nilikuwa naotea maswali ,kati ya matano ujue matatu niliyasoma usiku kama yalivyo!
hata kazi,hakuna interview nimeomba kazi nimekosa!
wakiniita tu kwisha habari yao!
kazi zingine hata nashangaa nimepataje,hapo wameshapita wengine walio na elimu kunizidi
!ah hat sielewi
ila yote tisa kumi hii ya kujua sa hizi kitu yangu inaliwa!
uuuuuuuuwih siitaki hata kuisikia!
inipitie kushoto jamani!
 
inipitie MWANANGU.

1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!

2. Mwanangu, usimfanye mwanamke wako kuwa ndio wa kupika na kufanya kazi zote za jikoni peke yake, tabia hiyo sio nzuri Kwani hata nyakati zetu, mashamba yetu yalijulikana kwa majina yetu wanaume lakini tulifanya kazi pamoja!

3. Mwanangu, nikikwambia wewe ni kichwa cha familia, simaanishi kutuna kwa pochi lako, usiangalie kabisa pochi yako, angalia kama utaona tabasamu usoni kwa mke wako. Pesa sio kila kitu katika ndoa na haileti ukuu wa familia!

4. Mwanangu, ukitaka kuwa na maisha marefu na ukapunguza misongo ya mawazo, ongea na mkeo pangeni bajeti ya mahitaji yenu, kisha mwache mkeo awe na jukumu la kuratibu mahitaji ya kila siku ya familia kwa kumkabidhi fungu husika hata kama limetokana na michango yenu wawili. wanawake wanajua sana kupanga bajeti na hii haitakuwa rahisi kwa yeye kutumia hela hovyo wakati akijua kuwa nyumbani kuna mahitaji ya msingi, lakini hela zikiwa mikono mwako ataendelea kuomba hata kama utakuwa umeishiwa!

5. Mwanangu, Usithubutu kumpiga mkeo, maumivu ya kipigo hukaa ndani ya moyo wake kwa muda mrefu sana na huacha kidonda ambacho hukawia sana kupona. Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye majeraha moyoni!

6. Mwanangu, sasa unaamua kuoa,kama bado utaendelea kuishi maisha kama ya ubachela na mke wako, sio muda mrefu utakuwa bachela tena. ukioa Badilika anza kuishi maisha ya mke na mume!

7. Mwanangu, zamani,tulikuwa na wake wengi na watoto wengi kwa sababu tulikuwa na mashamba makubwa na mavuno yalikuwa makubwa, lakini kwa sasa maisha yamebadilika, kwa hiyo mkumbatie mwanamke wako peke yake kwani hakuna ardhi tena na mahitaji ya watoto ni makubwa sana. Angalia ukubwa wa familia yako!

8. Mwanangu, chini ya mwembe ambao nilikuwa nikikutana na mama yako inaweza kuwa ni hoteli kubwa kwa nyakati zenu,lakini kumbuka, kitu pekee tulichoweza kufanya chini ya mwembe ilikuwa ni kukumbatiana pekee.nakushauri ukikutana na marafiki wa kike kikubwa unachoweza kufanya nao ni kupeana mikono na ikizidi ni kukumbatiana hadharani sio vinginevyo!

9. Mwanangu, usibadilike mara utakapoanza kupata mafanikio Zaidi, kuliko kuwahudumia hao viruka njia wa mtaani ambao hawajui mmetoka wapi na mkeo, nakushauri utumie na kufurahia mafanikio yako na mkeo ambae aliweza kusimama imara wakati wote wa mapito yenu magumu.

10. Mwanangu, kumbuka unapoanza kusema au kuona mke wako kabadilika, ujue kuwa kuna kitu ambacho ulikuwa ukikifanya umeacha kukifanya. Jitathmini na anza kufanya au kutimiza wajibu wako.

11. Mwanangu, usijaribu kumfananisha au kumlinganisha mke wako na mwanamke mwingine wa nje, kwani hata yeye anakuvumilia sana na hajakufafanisha na mwanaume mwingine yoyote huko nje na ndio maana aliamua kuwa na wewe.

12. Mwanangu, sasa hivi kuna hiki kitu kinaitwa haki za wanawake, sawa,kama mwanamke anasema ana haki sawa na wewe katika nyumba, basi gawanya mahitaji yote ya ndani kwenu katika sehemu mbili zilizo sawa,halafu timiza nusu yako na mwambie atimize nusu iliyobaki.

13. Mwanangu, nilimuoa mama yako akiwa bado kigoli (bikra) na nilikuwa naenda sana kwao kabla sijamuoa, lakini kutomkuta mkeo bikra kusikufanye umlaumu kuwa alikuwa muhuni, kumbuka wanawake wa enzi zetu na wasasa ni tofauti, ulimchagua mwenyewe na ukigoli wake hukuujua kabisa. Usiingize mambo ya kabla ya ndoa kwenye ndoa yenu.

14. Mwanangu, sikuwapeleka dada zako shule kwa kuwa nilikuwa mjinga kama wazee wengi wa hapa kijiji wasemavyo, tafadhari usifanye ujinga huu, kwani kiwango cha mafanikio ya wanawake sasa kimefanya wanaume waonekane ni watu wa kawaida sana na sio muhimu kama enzi zetu. Ukijaliwa watoto wape elimu.

15. Mwanangu, zamani enzi za ujana wetu, wanawake walikuwa na urembo wa asili, ingawa siwezi kukudanganya, wengine waliongeza urembo kwa kujichora hina na hata kutoboa pua na masikio lakini usisahau hawakuonyesha maumbile yao nyeti hadharani kama sasa. Hakikisha mkeo analijua hili!

16. Mwanangu, mama yako na mimi hatuna hisa katika kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yenu, jaribuni kutatua changamoto zenu wenyewe bila kila mara kuja kwetu kuomba usuluhishi. Ndoa ni pamoja na ukomavu wa kutatua changamoto zenu bila kuziuza kama gazeti kwa kila mtu.

17. Mwanangu,nilimnunulia mama yako kifaa cha kupikia vitumbua ili aanzishe mradi wa kuuza vitumbua, pia nilimsaidia kununua cherehani yake ya kwanza, tafadhari msaidie mke wako kutimiza ndoto zake kulingana na uwezo wako kama ambavyo unahangaika kutimiza ndoto zako.

18. Mwanangu, usiache kutusaidia mimi na mama yako, utu uzima una changamoto nyingi sana na Mungu akikujalia utaziona muda ukifika. Pamoja na kutimiza majukumu yako kama baba wa familia kumbuka pia bado tunaishi na wewe ni mtoto wetu.

19. Mwanangu, kila upatapo muda wa kusali, Sali na familia yako, kuna kesho ambayo huijui, ongea na MUNGU wako ambae anajua kila kitu kila siku!

20.NAKUTAKIA MAISHA MEMA YA NDOA MWANANGU….NAKUPENDA!

Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa jamani!
 
Back
Top Bottom