Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Nilifuatilia kwa juu juu haya mambo sema sikufika popote kwasababu ya kukosa subira. Kuna hawa monks wanafanya vitu vya ajabu ambavyo science haiwezi kuelezea, kuna yule budha boy alikaa ana meditate kwa miaka bila kula wa kunywa na yupo hai.
Wakuu vipi kuhusu reencanation, mawazo yenu ni yapi hapo?
Hee hatari
 
Hii mada nzuri sana ,nashukuru sana nimetokea kuiona.Nimesoma kwa umakini kuhusu Psychic Powers ambayo umeainisha hapo juu.

subiri nitoe ushuhuda wangu japo nilikuwa na plan ya kuandaa Thread ila ntaeleza kwa ufupi tu

Mimi hapa ni mpenzi wa masuala mengi lakini miongoni ya vitu ninazozipenda ni martial arts nakumbuka nilivyokuwa A level nilikuwa nacheza Shotokan sana lakini form 6 nikaacha kabisa kucheza.Kuna walimu kadhaa nimepita mikononi mwao mmoja wapo ni mjumbe wa TASHOKA =Tanzania shotokan association na pia ni muasisi wa chama cha karate cha kimataifa hapa nchini

Huyu sensei kuna matukio kadhaa nilikuwa nayaona kwake yalikuwa siyo ya kawaida mfano kuna siku mmoja wa wanafunzi alipatwa na tatizo la msuli kukaza basi yule sensei aliuchukua mkono wake akawa anaupitisha kwenye sehemu msuli uliokuwa umekaza lakini alikuwa hagusi mahala pale na huku akitamka maneno yake kimoyomoyo huwezi amini kwa dakika chache yule jamaa alipona na siyo huyo tu nimeshuhudia watu wengi wakiponywa kwa mtindo huo.

tukio lingine hili ni la kustaajabisha kabisa tulikuwa tupo kwenye mazoezi yule sensei alimchukua mmoja wetu na kumweka mbali kidogo halafu akawa amekaa kwa hisia kama vile anafanya meditation kisha akaachia kama vile anampiga mtu ngumi huwezi kuamini yule jamaa alirushwa,alipigika ngumi akawa anaugulia

yote hiyo ilikuwa ni inner power sasa mm nikawa nipo obsessed sana kujua ni nini hiyo inner power inayomwezesha mtu kutibu,kumpiga mtu kwa mbali na tokea siku hiyo nikaamini mambo wanayoyafanya akina jet lee kwenye filamu ya taichi ni ukweli

baada ya kugraduate na kukaa kwa muda nilienda china kujiendeleza martial arts sababu nilikuwa napenda sana, kule nilijiunga na chuo/Temple lakini walikuwa wanafundisha Five animal floric maarufu kama Qigong (tiger, kulungu, bear, nyani na ndege) mafunzo yao mengi yalikuwa ya kubana pumzi,hisia,meditation,kata baada ya kujifunza external kata,sasa kuna inner ..na akili yangu ikanambia yale maajabu ya yule sensei huku bongo yalikuwa ni inner power sasa nikawa obsessed zaidi kumaster hiyo inner power

asee sina haja ya kumaliza maana stori ndefu lakini niliingiwa na majini na baadae hali ikawa mbaya nikaamua kurudi na kweli yalikuwa majini nikafanyiwa tiba namshukuru Mungu nilipona

chi/Inner power ambayo ma-master mbalimbali wanatibu,wanauwezo wa kukuua kabisa,upo mbali anakupiga makonde ile yote ni nguvu ya majini kwenye maonyesho utaona mtu anapigwa na matofali makubwa vitu vigumu yote sababu ya inner power..na ibada yote wanayofanya ile ya Budhism yanahusu majini..na nakumbuka siku ambayo yaliniingia ni siku ambayo tulikuwa tunafanya meditation ndio walituingizia inner power kumbe ni jini ..



kuhusu ishu ya kutoa majini kunaretired pastor mmoja alinambia huwa wanatumia mafuta fulani hivi wanapaka kwenye kiganja cha mikono ay kwenye kitamba,ukimwekea mtu kichwani haswa wkenye mishipa basi piga ua lazima atoke..

NB:meditation/chi siyo kitu kizuri na don't practise chi/Inner power,kwenye meditation ukifikia hatua ya kuwa paralzed pale kuna posibility kubwa ya kuwaposessed na jini kama ukitupiwa,

nguvu nyingi hizi haswa hawa Budha ni demons

Mungu akijaalia nitaandika thread kwa utulivu kuhusu experience hii na mengi kuhusu inner power,kung fu na budhism
Buddhism naisubiri aisee
 
Mkuu Uvingizi, hawa waganga wachofanya ni kweli, wanatumia nguvu hizi kuifungua milango ya imani yako, kinachokutibu ni nguvu zako mwenyewe zilizo ndani yako ambazo zimefunguka kutokana na kumuamini huyo mganga!. Yale manyanga, zile dawa zote ni zuga tuu kinachokuponya ni nguvu zako mwenyewe zilizo ndani yako!.

Hata wale watenda miujiza, wanachofanya ni just opening the power doors na windows kwa powers from within yourself, ndizo zinazokuponya na sio nguvu za huyo mhubiri !. Vivyo hivyo kwa kile kikombe cha Babu, ile dawa Babu aliooteshwa ni kichocheo tuu cha kuzifungua nguvu za uponyaji zilizoko ndani ya mgonjwa mwenyewe, kitendo cha kunywa kikombe kilifanya ukiamini, Kyle kuamini ndiko kulikofungua power doors zako mwenyewe zilizo ndani yako ambazo zimefunguka kutokana kukiamini kikombe kilifanya, zikakuponya.

Kwa kufanya mazoezi ya self discipline, sio tuu utajiponya maradhi yote, bali utayazuia maradhi yoyote yasikupate, na unaweza kupata mafanikio makubwa kwa kupata kila unachokitaka, kazi nzuri, pesa nzuri, gari zuri, mwanamke mzuri maisha mazuri etc etc etc, sire nikuamini tuu, that you can!.

La msingi sana la kuzingatia ni kuwa nguvu za Kweli ambazo ni za Mungu, zipo, na nguvu za giza ambazo ni za Shetani, pia zipo, the dividing line between nguvu za Mungu na nguvu za giza za shetani ni very thin!. Nguvu za Mungu, tumepewa freely, unconditional na kuzitumia pia ni freely bila conditions zozote , ila kwa nguvu za giza, kuna conditions kibao!.
Pasco.

Anaye kulaumu wewe PASCHAL hana akili na haujui ukweli kwa maelezo haya nikukubali kwa asilimia 1000% nguvu zote zina gharama lakini za shetani zina gharama kubwa zaidi hadi kupoteza uhai( KWA MUNGU IMANI MATENDO MEMA NA KUFUNGA UTAPATA KILA KITU MILELE) KWA SHETANI IMANI NA KAFARA ZA DAMU ZA WATU UNAPATA KILA KITU KWA MUDA MAALUMU TU.) ila wabishi na wabishe UKWELI NDIYO HUO ENDELEA KUTOA DARASA WATU TUJITAMBUE.
 
Anaye kulaumu wewe PASCHAL hana akili na haujui ukweli kwa maelezo haya nikukubali kwa asilimia 1000% nguvu zote zina gharama lakini za shetani zina gharama kubwa zaidi hadi kupoteza uhai( KWA MUNGU IMANI MATENDO MEMA NA KUFUNGA UTAPATA KILA KITU MILELE) KWA SHETANI IMANI NA KAFARA ZA DAMU ZA WATU UNAPATA KILA KITU KWA MUDA MAALUMU TU.) ila wabishi na wabishe UKWELI NDIYO HUO ENDELEA KUTOA DARASA WATU TUJITAMBUE.
Mods muwe mnaangalia haya majina jamani.eti bado mmoja.khaaa
 
Yani mimi sjui inakuaje mambo haya maana kuna siku nlienda kwa rafiki angu sikumkuta na nlikua na shida nae sanaaa nliongea na picha yake tu kwamba aje nna shida nae basi haikuchukua mda mrefu akaja na alikuwa ameenda mbali Kweli nlishangaa sana na vipo vingine zaidi ya hivyo
 
Yani mimi sjui inakuaje mambo haya maana kuna siku nlienda kwa rafiki angu sikumkuta na nlikua na shida nae sanaaa nliongea na picha yake tu kwamba aje nna shida nae basi haikuchukua mda mrefu akaja na alikuwa ameenda mbali Kweli nlishangaa sana na vipo vingine zaidi ya hivyo
Hongera, nielezee vingine huenda nami vinanitokeaga ila sijavitia maanani.
 
Yani mimi sjui inakuaje mambo haya maana kuna siku nlienda kwa rafiki angu sikumkuta na nlikua na shida nae sanaaa nliongea na picha yake tu kwamba aje nna shida nae basi haikuchukua mda mrefu akaja na alikuwa ameenda mbali Kweli nlishangaa sana na vipo vingine zaidi ya hivyo
mkuu mbona kama changa la macho, kama uliongea na picha makusudically kabisa kilichokushangaza nini
 
Yani mimi sjui inakuaje mambo haya maana kuna siku nlienda kwa rafiki angu sikumkuta na nlikua na shida nae sanaaa nliongea na picha yake tu kwamba aje nna shida nae basi haikuchukua mda mrefu akaja na alikuwa ameenda mbali Kweli nlishangaa sana na vipo vingine zaidi ya hivyo
funnguka zaidi tukuelewe
 
Mkuu mayenga, mimi nina
Telepathy
- Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.

Ikawa nikienda kwenye party, nikimsimikia binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.

Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.

Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuakisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.

Ila mpaka leo, kuna mtu nikimfikiria tuu, anatoke, au nafika mahali na kuambiwa, una maisha marefu, sasa hivi tulikuwa tunakuzungumza!. Au uko mahali unatembea, njia nyembamba, unataka kupishana na mtu, ukienda upende ule naye anakuja huko, ukirudi huku naye anarudi huku hadi mnataka kugongana unaamua kusimama mpishane!.

Pia nina Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen. kidogo. Kuna mambo huwa naota yanakuja kutokea!. Nina kitu kinaitwa "intuition!" yaani kabla sijafanya jambo, unapata hisia this is not gona work!, au unakutana na mtu anakuzimikia sana for real, wewe unaona its not for real!. Au ndani ya ndoa, ikitokea wife ame cheat, utajua!, huwezi kuuliza kwa sababu huna ushahidi, ili mtu akicheat, ujue atacheat tena!, nilianza kufanya kazi ya kukusanya ushahidi nikathibitisha!, na nilisamehe kwa kujifikiria ni mara ngapi nilipitia wake za watu!, wengine wakiwa ni wake wa marafiki zangu kabisa!.

Pia naweza kufanya Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things kwa kiwango kidogo!, nikikutana na mtu for the first time, I can tell huyu ni mtu mwema au ni mtu mbaya!. Hii nimeiwea kwa practice kutoka kwenye net.
Retrocognition - Perception of past events imeishanitokea mara kadhaa, naweza kufika mahali for the first time, na kujiona I have seen this place before ila sikumbuki ni wapi!, au nimekutana na mtu for the first time, na kujiona I've seen him before sijui ni wapi!, hii inaitwa De-ja-vu kwa Kifaransa!.

Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers!.
Pasco.
Im like you...
 
Back
Top Bottom