Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mkuu mayenga, mimi nina
Telepathy
- Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.

Ikawa nikienda kwenye party, nikimsimikia binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.

Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.

Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuakisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.

Ila mpaka leo, kuna mtu nikimfikiria tuu, anatoke, au nafika mahali na kuambiwa, una maisha marefu, sasa hivi tulikuwa tunakuzungumza!. Au uko mahali unatembea, njia nyembamba, unataka kupishana na mtu, ukienda upende ule naye anakuja huko, ukirudi huku naye anarudi huku hadi mnataka kugongana unaamua kusimama mpishane!.

Pia nina Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen. kidogo. Kuna mambo huwa naota yanakuja kutokea!. Nina kitu kinaitwa "intuition!" yaani kabla sijafanya jambo, unapata hisia this is not gona work!, au unakutana na mtu anakuzimikia sana for real, wewe unaona its not for real!. Au ndani ya ndoa, ikitokea wife ame cheat, utajua!, huwezi kuuliza kwa sababu huna ushahidi, ili mtu akicheat, ujue atacheat tena!, nilianza kufanya kazi ya kukusanya ushahidi nikathibitisha!, na nilisamehe kwa kujifikiria ni mara ngapi nilipitia wake za watu!, wengine wakiwa ni wake wa marafiki zangu kabisa!.

Pia naweza kufanya Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things kwa kiwango kidogo!, nikikutana na mtu for the first time, I can tell huyu ni mtu mwema au ni mtu mbaya!. Hii nimeiwea kwa practice kutoka kwenye net.
Retrocognition - Perception of past events imeishanitokea mara kadhaa, naweza kufika mahali for the first time, na kujiona I have seen this place before ila sikumbuki ni wapi!, au nimekutana na mtu for the first time, na kujiona I've seen him before sijui ni wapi!, hii inaitwa De-ja-vu kwa Kifaransa!.

Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers!.
Pasco.
hapohapo bwana Pasco kuna baadhi ya vitu umeviongea hata mimi huwa nahisi ninavyo navisha nitokea,kama Aura reading hiyo ndo mara nyingi sana,pia huwa na tabia ya kuota najambo lika timia kama hivi majuzi niliota man united itashinda goli moja na ikatokea ila sikuota mfungaji,Yanga na simba niliota draw ambayo kwangu haikuwa nipa matokeo ya moja kwa mjoa ila niliota yanga nafunga na simba anarudisha sikupata picha halisi ya magoli,na mara zote huwa nakuwa na shiriki katika kucheza(miongoni mwa hao player)mara nyingi huwa nakuwa muoga kuwaambia watu kwamba leo matoke yatakuwa hivi au kama nijambo nimeota litakuwa hivi,kama ntasema nibaada ya hilo jambo kutokea
 
Haya Jamaa ni mitume na miungu yao wanasumbua Fikra Huru!!. mbona kule kwenye thread yenu tuliwa achahia huku mnafuata nini?
Nyota na miungu yenu tupisheni sisi wenye free mind!! Nyie endeleeni na vitabu vyenu!!
SP
 
Mkuu major mwendwa, kilichofanywa na babu yako kwako na kwa dada yako ni "kukurithisha mikoba" ya "goodwill!". Kama nilivyosema mwanzo, kitu ambacho ni very powerful ni "will power", hii vill powers kila mtu anayo, and its "not transfarable!" " but inducable" unaweza ku induce ili itumike kuamsha "powers" zilizoko ndani yako!. Baba yako "was a powerful man" na alijua "ana powers", na ulipokua karibu kuaga dunia, akaamua kuwaridhisha "hizo powers!". Wazee wengi kabla ya kufa, huita watoto wao na kuwaanga kwa kuwaachia wosio. Kitendo hicho ni ku "will" zile powers zihamie kwenu, ila kinachotokea sio kwa hizo powers kuhamia kwako bali ile "will" ya babu yenu, ime invoke powers zenu "from within" zifunguke!.

Huku kupeana mikoba sio kwa powers za wema tuu, hata wenye "evil powers" kabla kufa huwatafuta wa kuirithi mikoba yao! na mara nyingi hutoka kwa bibi na babu na kupewa wajukuu!.

Hiyo "goodwill" ya babu kwako ni ufunguo wa milango ya mafanikio kwao, kwa sababu inafungua "powers zako, zilizoko ndani yako" kukufanyia makubwa!. Ile tuu "kuamini" babu ametuachia hiki na kile, kunatosha kufungua milango ya mafanikio!. Ndia maana nikasema tangu mwanzo, msingi mkuu wa kwanza kufungua "power doors" ni kuamini!.

Wale wachungaji/wahubiri wafanya miujiza, wanautumia uwezo wao kukuamimisha kuwa ni "Mungu" au ni "Jina la Yesu" ndio limekuponya!, kwa kuamini ni "Mungu" au ni "Yesu", kunafungua milango ya imani na nguvu iliyoko ndani yako, inainuka na kukuponya!. Kinachoponya ni "powers from within you!".

Siri kuu ya kwanza ya mafanikio ni kuamini pasi shaka kuwa utafanikiwa!, them milango ya mafanikio itafunguka!.
Hii inaitwa "The Hidden Power of Affirmative ".
Pasco.

Pasco.

pasco katika hili hata mimi mzee wangu kabla ya kufariki kunavitu viwili tuu alinambia,baada ya kunambia nadhani after two weeks alifariki sikukmbuki vema maana nilikuwa na miaka 12 std six,maneno hayo alinambia kuna Universal na University for that time mie hata kwa washkaji na darasani(saint kayumba) kweney chemsha bongo ndo nilikuwa mtu wakwanza kuyajua hayo maneno kwa tafsiri ya kiswahili.Sasa mpakaleo sijajua what did that man(lovely dad) mean..!!!
 
TheChoji, ni kweli ukizama sana deep kwenye mambo hayo, unakuwa kama taahira fulani hivi!, kiukweli hata ukifuatilia baadhi ya hawa wahubiri wetu kwenye hizi TV, unawaona kama maahira fulani!, fuatilia maisha ya walokole!, nao ni kama mataahira fulani!, hata wale walio deep sana kwenye dini, vivyo hivyo!.

Mimi kuna wakati nikiwa home nikaturn into a vegetarian, home hawakukubaliana na msimamo huu, wakaamua kuna siku hakuna kupika mboga za majani!, nilikula ugali mkavu au wali mkavu na maji tuu!, kisha niaamua ku stop kwenda kanisani, nilikwenda kwa fimbo nikawa naishia nje, muda wa kutoka narudi home!. Wadogo zangu wakaniripoti kuwa huwa naishia nje, likafuatia zoezi kila tukitoka church, tunaulizwa masomo, mimi sijui, zinafuatia bakora!. Nikagundua kile kijitabu cha Katekismu, sasa ili kuepuka bakora, Jumamosi usiku nalisona somo la kesho!, jumapili naenda church siingii ndani, tukirudi home kwenye somo la leo, bingwa ni mimi!. Baadaye nikajikuta kama naanza kuishi maisha ambayo sio ya dunia hiii!, nikaamua kuacha!, nikaanza sio tuu kula nyama, bali na "kuwatafuna" kweli kweli!, pombe, na kukesha kwenye starehe!.

Chukua mazuri tuu ya mafundisho hayo, mengine waachie wenyewe!.
Pasco.

Mkuu unataka kunambia umesoma biblia yote na kuimaliza??? Seriously? u ar in othr level bac,,mm nna ving vya kuhitaj kuvijua toka kwako,cjui ntakupataje mkuu
 
Mkuu unataka kunambia umesoma biblia yote na kuimaliza??? Seriously? u ar in othr level bac,,mm nna ving vya kuhitaj kuvijua toka kwako,cjui ntakupataje mkuu
Mkuu Mwamba, ni kweli nimeisoma Biblia yote tangu page 1 hadi last page, tena sio version moja!, japo mimi ni Mkatoliki, nimesoma hadi Biblia yenye Deutrocanical Books ambayo Biblia ya Wakatoliki haina!, na nimesema pia maisha ya Yesu nje ya yaliyoandikwa kwenye Biblia!.

Kosoma ni jambo moja na kuielewa ni jambo jingine!. Naomba kukiri kuwa japo nimeisoma Biblia yote, haina maana kuwa ndio naielewa yote!. Kuielewa Biblia na kuitafsiri nayo ni powers!.

Pasco.
 
Haya yote si mapya kwa wanaopenda kutafiti mambo. Hii ndio New Age kutaka kumshusha Mungu Mwenyezi Mungu.
Mkuu Nyenyere, hakuna awezaye kumshusha Mungu!, wengi wanasali kwa kutazama juu wakiamini huko juu ndiko Mungu alipo!, God is omnipotent na omnipresent!, yumo ndani yetu!.

Mimi ni Mkristu RC simply because nimezaliwa huku!. Ningeweza kuzaliwa Mwislamu au Mhindi, hivyo nafuata imani niliyozaliwa nayo!. Dini nyingi zinajitahidi sana kuzuia wafuasi wake wasiijue kweli nyingine yoyote zaidi ya ile ifundishwayo kwenye mafundisho ya dini yao!. Mimi nimeishi India na nimechungulia kidogo Hindu na Budha!. Ukiristu huu tunaouamini ndio kwanza umetimiza miaka 2013!, Hindu imeanza miaka 300,000 kabla ya Kristu, hivyo leo ina miaka 302,013!.

Wakristu tunaomwamini Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, tuko asilimia 33% ya watu wote duniani!. Wasiomwamini Mungu wetu na Yesu ni aslimia 66% ya watu wote duniani. Ukikubali kutoa kichwa chako nje ya box la Christianity, ukachungulia wengine wanaamini nini, wana abudu nini, na kurudi kuisoma Biblia kwa makini, utakubalina na mimi, sisi binadamu sio Mungu, ila tuna nguvu za uungu ndani yetu, kwa sababu Mungu wetu ni omnipresent, yupo nasi tulipo!.
Pasco
 
Haya maneno yenu ndio yanasababisha wale MAPADRI WASEME WANA UWEZO WA KUSAMEHE MADHAMBI!!

Haiwezekani HATA SIKU MOJA, WEWE KIUMBE UKAWA NA NGUVU ZA MUUMBAJI!! THAT IS IMPOSSIBLE! hivi kwa nini nyie wakristo mnapenda kujipa vyeo ambavyo hamstahili??

Mara mjiite WANA WA MUNGU! mara MSAMEHE WATU MADHAMBI! mara MUWE NA NGUVU YA KUPONYA KM ALIVYOKUWA YESU! mara MNEWEZA KUMTABIRIA MTU MAISHA YANAYOKUJA! kila siku kwenye TV tunaona MANABII WAPYA!sijui aliyowapa huo unabii ni nani??

Yaani iliyobaki ni nyinyi KUJIITA MIUNGU TU BASI!

Acheni ubabaishaiji! OGOPENI MUNGU ALIYEWAUMBA NA AKAWAPA NGUVU NA AKILI! NA ACHENI HIZO IBADA ZA MASANAMU! Mtalaanika! na mtahukumiwa HUKUMU MBAYA MNO!
 
naona hii mada ilitaka kupata wafuasi wengi sana hasa kwa hali ya kawaida ya binadam siku zote kupenda kufaham jambo jipya ila naona tatibu wafuasi wamerudi hatua 3 nyuma kutenga kwanza pumba na nafaka ili wapate kujua.

mm nilitaka kuwa 1 wapo lakini nami nimestuka baada ya kuona wale tuliokuwa tunawategemea kuwa ndio walim hasa na wenye ujuzi wa kutuelimisha wamebaki kujikanyaga na kushindwa kuendelea na somo zaidi ya kubwabwaja na kubishana na baadhi ya member wanaotofautiana kimawazo na hasa wanaopingana nao.

ndugu Pasco nakuomba uendeleze japo kidogo 2 ili tupate jua pumba ni zipi hapa? ulinza vizuri na kutuahidi kuendelea nasi bali naona kimya ulianza na kuweka zile picha na watu tukakimbilia kuzitumbulia macho na matokeao yake yalikuwa kama ulivyosema sasa nn chakuendelea nacho? naona hilo kimyaaa?
siku zote mambo ya mungu huwa hayawezi kaa pamoja au fanana na yakiushetani au hayawezi kaa pamoja. wewe na ndugu @mshana jr inaonekana mnaelim na mmepitia na kupata mafunzo ya haya mambo lakini mnaishia kupalaza juu kwa juu 2 na nazidi patwa na mashaka kwa nyie kuficha ukweli halisi zaidi ya porojo kede wa kede za hapa na pale.
kunanini huko?? hembu fungukeni kidogo japo mtupe mwanga maana mpaka sasa mm naamini haya ni mambo ya kishetani na hasa hivyo vitabu na hizo link mnazotuwekea hapa zimekaa kiushetani zaidi.
haya basi hembu tupeni japo hata sheria au kanuni au sifa za mtu atakaye kuwa upande huo anatakiwa aweje na aache nn na afuate nn? ndio hapo mtatupa mwanga wa UMUNGU au ushetani.

hakika hata kama mnasema hizi nguvu ni za kimungu bali njia ambazo nyinyi mmepitia ili kujitambua ni za kishetani zaidi.

sawa tuambieni basi mtu atawezaje kujitambua kama ananguvu hizi na je ili aweze kujitambua kama anazo afanye nn au afuate hatua gani?
 
Mkuu Lege, hili la nguvu hizi kuwa ni za Uungu au shetani, nimelieleza tangu mwanzo
Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo bila kujijua kuwa wanazo nguvu hizo!.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza!.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za giza!".

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.
Kilichofuata ni links tuu ya kila aina ya nguvu za Mungu na za shetani pia!. Wewe ni kufungua link baada ya link ili kwanza ujitambue ni mguvu zipi ilizo nazo, utajitambuaje, ukishajijua kuwa unazo nguvu fulani, ufanye nini kuzifungua under your control ili sasa uwe unazitumia at will kuleta maendeleo!.

Pia nikatoa angalizo kuwa baadhi ya maeneo, na baadhi ya watu, lazima wawe guided ili wasije kujikuta badala ya kujijenga kiimani na kuwa imara, wanaishia kupotelea gizani!.

Wewe kama ni Mkristu, nguvu hizi zimeelezewa kwenye Biblia Takatifu, namna ya kuzifikia pia imeelezwa, nimeeleza sio mara moja wala mbili kuwa Wahubiri wafanya miujiza, wanatumia nguvu hizi, ila kwa wale wanaiponywa, kinachowaponya sio nguvu za hao wahubiri waponyaji, bali ni nguvu zao wenyewe kutokana na kuamini, yaani "imani yako ndiyo inayokuponya!".

Pia nilitoa angalizo kuwa japo Mungu yupo na hizo nguvu zake ametupa sisi, shetani pia yupo, naye anazo nguvuu zake ambazo pia amezigawa, na pia zinaweza kufanya miujiza ile ile kama ya nguvu za Mungu!. Nikawaambia hata Bwana Wetu Yesu Kristu alituasa kuhusu hili kuwa "Watakuja watu, watafanya miujiza, watatibu watu kwa viziwi watasikia, vipofu wataona na kufukuza mapepo kwa jina langu "kati jina la Yesu utoke!", lakini si wangu!". Yesu aliulizwa tutawajuaje?!, akajibu "Mtawajua kwa Matendo Yao!" Nikawaeleza humu, wako wahubiri watenda miujiza huku wana utajiri wa ajabu!, wengine majumba ya ajabu!, wengine wanatembelea Hummer!, wengine ni wazinifu na wake za watu!, wengine ni wafuga "ving'asti!. wengine hivi, wengine vile!, nikasisitiza the deviding line between nguvu za Mwanga na Nguvu za giza is very thin!, ili uweze kubaini, ni lazima kwanza uwe "enlightened" kuzijua nguvu za Mungu ili kuweza kuzibaini hizo za giza!.

Njia kuu ya kwanza ya kuopen up ni kupitia kutulia na kutafakari "meditation!" nikaeleza unawezaje, linkes nikaweka, vituo vya kufanya meditation bure tukawekea!, nimepata pm nyingi watu wakinifikiri mimi Pasco wa JF ni mwalimu!, na wengine kunidhania kuwa mimi "ndiye!" hivyo nimeingia humu jf kutafuta wafuasi!.

Nakushauri angalia link hizo na zile kule chini vyote ni vitabu na unavisoma bure!.
Mimi nimevisoma hadi mambo ya uchawi!, kwenye vodoo wanatoa kafara za binadamu "binti bikra!" kule kuna haji jinsi ya kutengeneza uchawi!, kwa lengo la uzi huu ni kujitambua, nilitaka links za kishetani nisiziache!, nikaamua kuziacha ili watu weweze kuziona na kutofautisha, hivyo kufuata njia sahihi wakiwa "more informed!"

Najua tatizo kubwa la wengi,ni wavivu kusoma!, wanataka watafuniwe, walishwe, wao wameze tuu!, na huko ndiko huko kulishana hata visivyoliwa tukaishia kulaumiana na kunyoosheana vidole!. Vitabu ni hivi, be free kujisomea tena nashauri, usisome kwa lengo la kutafuta powers, bali soma kwa lengo la kuongeza maarifa!, ni katika kuongeza maarifa huko, utafungua milango na madirisha ya powers!.

Tatizo wengine hatujui kirengesa/english
 
Kaka Pasco, mimi naweza nikawa nimekaa kwenye daladala au tu nimekaa na mtu pembeni yangu nikawa nawaza mambo yangu kimoyo moyo lakini utaona mtu anageuka ananiuliza unasemaje? na wakati sijamsemesha mi nawaza mambo yangu tu. Na huwa inanitokea mara nyingi tu. Sasa hiyo nayo ni nini hebu nifafanule.
 
......
Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers!.
Pasco.
Ndiyo maana mnawadanya baadhi ya viongozi wa taifa hili wanafanya maamuzi ya ajabu juu ya mustakabli wa nchi yetu...

Nao bahati mbaya hawatiki kujitambua....
 
Ndiyo maana mnawadanya baadhi ya viongozi wa taifa hili wanafanya maamuzi ya ajabu juu ya mustakabli wa nchi yetu...Nao bahati mbaya hawatiki kujitambua....
Mimi ni mwananchi tuu!, wananchi tunawadanganya viongozi?!, ila kama unazungumzia lile "jiwe walilolikatta waashi!", subiria kwanza mpaka litakapofanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", ndipo tuje tuulizane!.

Ili kiongozi uwe kiongozi bora, unapaswa kuwa na "powers from within!". Tanzania tunaviongozi wachache sana wenye "powers from within", Nyerere alikuwa na powers!, Sokoine alikuwa na powers!, sorry kuhusu Mwinyi, Mkapa kidogo kwa kuforce, aliyepo ni nil!, ajaye ni very powerful!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom