Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Kwa kuanzia inabidi upate mwalimu kuna temple moja pale karibu na makaburi ya Muhimbili wanakuwa na meditation sessions kila week waweza fikra pale

Kama unataka kufanya mwenyewe nitajaribu kukutafutia vitabu, kwakuwa kuna mengi ya kufanya kuanzia mavazi lishe vinywaji nk nk kwa mfano kwenye mavazi: Nguo za kubana sana si nzuri, chakula mara nyingi linatakiwa kiwe cha asili na fresh kisiungwe sana ,Epuka vyakula, vya supermarket , soda na hz juice za viwandani vyote c vizr kwa afya ya akili kuna mengi ya kufahamu, kukaa kulala kutembea ni mengi
Aaaagh! nataman kwel kujua mambo hz ttizo vtabu vyao vya ki english, au kuna vlivyotafsiliwa.
 
Kuna mengi ya kufanya
lakini nakupa basics kwanza ukifaulu hii hatua ya kwanza nijulishe

Hapo ulipo tafuta Sehemu kimya na utulivu kwa kwenye kiti au jamvi
usikunje mgongo weka mikono mapajani kwa kurelax au lala chali kwa
kulerax fumba macho halafu anza kuhesabu pumzi

Ili inhale hesabu moja uki exhale mbili endelea na mchakato huo, utaona
utakapoanza tu kuhesabu yatakuja mambo kibao utakumbuka mambo ya jana,
mipango ya kesho changamoto zako yaani matukio yatakuja kama mkanda wa
sinema

Unachotakiwa kufanya ni kustick kwenye pumzi tu, hayo matukio yanayopita
ndio takataka zilizojaa kwenye bongo yako


Pia kuna kitu kinaitwa empty meditation: hii unakaa kwakurelax na
kuangalia ukuta tu usifikirie chochote zaidi ya kuuangalia huo ukuta,
utajikuta huoni ukuta bali unaona mawazoni yako, chanamoto zako mipango
yako madeni yako nk nk nk
aya yote ndio takataka zilizojaa kwenye ubongo, Kwahiyo zinacompress
mind na kuifanya ishindwe kufanya kazi sawasawa


Unachotakiwa kufanya uwapo kwenye breathing au empty meditation ni
kufocus tu kwenye kile ukifanyacho kwa Wakati huo kila kinachojaribu
kuja kwenye mind unakifukuza na kurudi kwenye concentration yako ni kazi
ngumu mno kutaka kuistation mind kwenye kitu kimoja kwa Wakati mmoja
but with serious practice utaona mabadiliko. ...ukiiweza hatua hii ya
kwanza nijulishe tuendelee

hiyo tayari, kinachofuata?
 
Dah we pasco ni noma sana mbona unajaribu kuniamisha kwamba Mungu hayupo bali mimi mwenyewe ndo Mungu! Ooh noo pasco kumbuka mimi ni kiumbe ninayeishi kwa muda tu katika dunia hii na hiyo nguvu iliyomo ndani yangu inakoma mara.Anyway kwakuwa hujaniambia ni nani /nini aliye/kilicho install hiyo nguvu ndani yangu basi hutanitoa kwenye imani yangu kwa sababu imani yangu na msahafu wake ofcoz umeniambia habari za kuwa na uungu ndani yangu, nzuri zaidi imeniambia ni nani aliye install uungu huo ndani yangu na kwa kusudi gani. Ok ndivyo ilivyo kwangu Mungu amenifanya mimi pia mungu!

ni kweli kabisa mkuu na
Ya nini kuhangaika na haya mambo akati MUNGU mwnyw mweza wa yote na muumbaji wetu kasema lolote tutakalo.tukiomba tutapewa!

Kusema kwamba utegemee nguvu zilizo ndani yako ni kujinyenyua mwnyw Na kujifanya we mungu na hivo kuvunja amri kuu ya kwanza.

ila naamini meditation ikitumiwa vizuri kwa kumhudisha Mungu italeta matokeo mazuri zaidi!!
 
ni kweli kabisa mkuu na
Ya nini kuhangaika na haya mambo akati MUNGU mwnyw mweza wa yote na muumbaji wetu kasema lolote tutakalo.tukiomba tutapewa!

Kusema kwamba utegemee nguvu zilizo ndani yako ni kujinyenyua mwnyw Na kujifanya we mungu na hivo kuvunja amri kuu ya kwanza.

ila naamini meditation ikitumiwa vizuri kwa kumhudisha Mungu italeta matokeo mazuri zaidi!!

kweli mkuu,,ukimweka Mungu mbele ndo vizur zaid mana utatumia nguvu ya upande wake
 
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, mfano, "Miujiza ya Ukweli!".

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo bila kujijua kuwa wanazo nguvu hizo!.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza!.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za giza!".

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.


Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Pasco.

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism

Ahsante kwa uzi wako mzuri ila sasa toka mwanzo umetuelezea kiswahili ukaja kwenye utam wenyewe kienglish wengine hadi tutafute kamusi mkuuu
 
Mkuu mayenga, mimi nina
Telepathy
- Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.

Ikawa nikienda kwenye party, nikimsimikia binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.

Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.

Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuakisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.

Ila mpaka leo, kuna mtu nikimfikiria tuu, anatoke, au nafika mahali na kuambiwa, una maisha marefu, sasa hivi tulikuwa tunakuzungumza!. Au uko mahali unatembea, njia nyembamba, unataka kupishana na mtu, ukienda upende ule naye anakuja huko, ukirudi huku naye anarudi huku hadi mnataka kugongana unaamua kusimama mpishane!.

Pia nina Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen. kidogo. Kuna mambo huwa naota yanakuja kutokea!. Nina kitu kinaitwa "intuition!" yaani kabla sijafanya jambo, unapata hisia this is not gona work!, au unakutana na mtu anakuzimikia sana for real, wewe unaona its not for real!. Au ndani ya ndoa, ikitokea wife ame cheat, utajua!, huwezi kuuliza kwa sababu huna ushahidi, ili mtu akicheat, ujue atacheat tena!, nilianza kufanya kazi ya kukusanya ushahidi nikathibitisha!, na nilisamehe kwa kujifikiria ni mara ngapi nilipitia wake za watu!, wengine wakiwa ni wake wa marafiki zangu kabisa!.

Pia naweza kufanya Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things kwa kiwango kidogo!, nikikutana na mtu for the first time, I can tell huyu ni mtu mwema au ni mtu mbaya!. Hii nimeiwea kwa practice kutoka kwenye net.
Retrocognition - Perception of past events imeishanitokea mara kadhaa, naweza kufika mahali for the first time, na kujiona I have seen this place before ila sikumbuki ni wapi!, au nimekutana na mtu for the first time, na kujiona I've seen him before sijui ni wapi!, hii inaitwa De-ja-vu kwa Kifaransa!.

Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers!.
Pasco.

Duh noma sanaaa! Mi ninayo ya kuona jambo kabla huwa naota bt mara nyingi nikisema huwa halitokei bt nikinyamaza linatokea sasa kama nibaya huwa nasema ili lisitokee na kama zuri huwa sisemi wakati mwingine baya nasema na bado linatokea cjui ni nini huwa cjielewi sometime naweza ota kitu kwa anaenijua nikimwambia anaogopa sana
 
Kuna siku nilikuwa namwambia jamaa yangu mmoja kwamba,ikiwa akiamka kila siku asubuhi na kwenda nje na kupiga magoti mbele ya mti ulio mbe ya ngumba yake.Kisha aseme matatizo yake na kuuomba mti umsaidie,si ajabu matatizo yake yatapata ufumbuzi.,lakini pia sio kwamba ule mti umemsaidia hapana!!,tatizo kupata ufumbuzi n jambo la kawaida ambalo halihitaji kuomba kanisani/msikitini ama katika mapango!.
Kuna watu huwa hawaelewi jambo hili.lakini ukwel n kwamba hakuna nguvu yoyOte popote inayokutatulia tatizo lako hata ukikesha unaomba.Watu wangekesha makanisan/msikitini tusingekuwa na maendeleo haya.
 
Mkuu Slow, Mungu alipomuumba Adam, alimpa uwezo!. Yesu alipokuja alifanya miujiza, na kila muujiza alisema "imani yako ndiyo imekuponya!", kasome Marko 10 : 52 - Yesu akamwambia, \"Nenda, imani yako imekuponya, na Mathayo 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti yangu;imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile, au Luka 17:19 "

Akamwambia, ``Inuka, uende; imani yako imekuponya..hiyo imani yako ndio "powers from within!". Akasema laiti watu wangekuwa na imani kama punje ya haradali, wangeiambia milima ondoka!, na milima ikahama!", ina maana hizi imani tunazotumia ni ndogo tuu kama mbegu ya mchicha!.

Shetani pia ana powers, ikumbuke hapo mwanzo shetani ndiye aliyekuwa malaika mkuu, alipoasi, alifukuzwa ila hakunyang'anwa zile powers, ndiye aliyemrubuni Eva kule lile "tunda!". Nguvu za shetani hufanya maovu, nazo pia zimo ndani yetu kama hizo nguvu za Mungu!.

Kitendo cha kuamini, ni kufungua tuu milango. Mimi ni Mkristu Mkatoliki, kwa sababu nimezaliwa huku. Wengi hufuata imani fulani kwa kujikuta ndiko walikozaliwa na wanaendelea kujifungia humo humo kwa kuto look beyond!. Nilipokuwa India, nikasoma kidogo imani za Hindu ndipo nikagundua kumbe Christianity ni dini ya juzu juzi tuu, kwa taarifa tuu, dini za kale zaidi ni shamanism na animism, ambazo zilikuwepo miaka 300,000 kabla ya Kristu ila baadae zilifutika!. Kwa sasa dini ya kale zaidi iliyopo ni Hinduism ikifuatiwa na Buddhism zote za India ndipo ikaja Judaism ya Mashariki ya Kati, Israel, ikaja Taoism ya China na Shitoism ya Japan ndipo ikaja Christianity!. Hapo dini zetu za asili, hazitajiwi kabisa kwa sababu hazikuandikwa!.

Uki take time kutoka nje ya box la Ukristu au Uislamu ambamo ndiomo wengi wetu tumejifungia humo, ukachungulia ndani ya Hinduism au Buddhism, ndiko utakutana na real powers za "enlightenment!", kwa sababu dini hizi zinaamini kwenye "higher powers" bila kumtaja Mungu, Ukristu na Uislamu umezifungia milango, ili ukifuatilia uthabiti wa imani, discpline, na nguvu za kusali, utagundua sisi Wakristu na Waislamu tunatania tuu!.

Kiukweli ukizama sana kwenye hizi powers, unaweza kuingia kanisani na kujikuta unashutukia jinsi watu wanavyofungwa kamba, unaweza ukaacha kwenda!. Mimi bado ni Mkatoliki Die hard japo kuna mambo tunafanya ndivyo sivyo, ukishayangundua, unaachana nayo, bali unaendelea kuenenda kanisani kwa kufuata mafundisho ya Biblia na sio lazima yale yote ya kanisa ambayo umeisha yastukia kuwa sio!.

Wengi wakistuka, huamia makanisa ya wakovu, huko pia huwa nina hudhuria Mama yangu ni Esemblies og God, huko nako ndiko sio tuu unakuta kamba nene, bali watu wanapurushwa na kukamuliwa mpaka wanabaki mifupa!. Wale Wachungaji wameishajistukia jinsi ya kutumia hizi powers kucontrol waumini wao!. Wale wanaopataga mwanga hustuka na kujihamia kimya kimya, wengine wenye imani upofu, ni watumwa wa Wachungaji wao na wachungaji hao huwafanya lolote ikiwemo kuwa nani hii wake zao!, wao wakijua ndio baraka zenyewe kumhudumia mtumishi wa Mungu!.

Bwana wetu Yesu Krisu alisema wazi, watakuja watu, watahubiri kwa jina langu, watafanya miujiza ya uponyaji na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sio wangu!. Ukifuatilia sana the working of powers, unaweza kuogopa kuendelea ku practice, ila ukiisoma vizuri Bibilia, utagundua mahali mengi pameandikwa "nguvu imo ndani yako"!. Mungu alituumba kwa mfano wake, na katupa nguvu ambazo ndizo hizo powers from "within".
Pasco.

JF never disppoint me, and never will. Yaani nyanga unazokata hapa Pasco acha kabisa. You have made my day aisee. Ninachokiona hapa, wachungaji wameshagundua hili la powers from within. Wamezi grab na kisha kufungua makanisa. Sasa wanafanya miujiza na kujikusanyia utajiri toka kwa waumini wao.

And I like the way you are explanining these things. Hata layman anaelewa kabisa. Nadhani mojawapo ya nguvu ulizonazo, ni hii ya jinsi ya kuelezea mambo mazito katika lugha rahisi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Quuen Matara, nakuunga mkono 100% kuwa usifanye haya mambo bila kuwa guided, mimi sijawahi kufundishwa wala kupata mwalimu yoyote, zaidi ya kusoma tuu vitabu na ku practice!, hiyo statement ya "when a student is ready the teacher will apper" niliisoma kwa Linda Goodmans "Star Signs". Nlijisomea kufikia stages za "Out of body" kuanza kufanya "astral travel" ila moyo ulisita!.

Mwaka jana niliwakaribisha watu humu kwenye chuo cha meditation kilichopo pale Upanga nyuma ya Boy Scout na nikaweka uzi humu, Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima ... - JamiiForums
Pasco.

Hiyo astral travel ndiyo wanayotumia wachawi kuruka na ungo? Yaani leo mpaka hata lunch nimechelewa kula kwa kusoma hii mada. Pasco
 
Last edited by a moderator:
Hilo tangazo pia nimelisikia, mmoja wa shiriki ni Aunt Sadaka, huyo ukimsikia ni very powerful woman with full of powers.

Mara yangu ya kwanza kusoma kuhusi hizi PSI Powers ni kitabu cha Arthur C. Clarke's Mysterious World / World of Strange Powers , then nikaja kumsoma Uri Geller - "The Power of the Mind vs Science - Uri Geller: Psychic", "Fortune Secrets, na "TheStrange World of Uri Geller".


Kuhusu Tendo la ndoa na utajiri/umasikini nilimsoma Linda Goodman's Love Signs , uki do na mwanamke mwenye mkosi, utakumbwa na ma balaa, mikosi na umasikini. U do na mwenye bahati, mambo yakunyookea!.

Kipimo cha kujua mwenye balaa, unaona kila dalili za kumkosa zinatokea ila unalazimisha, mara ya kwanza mtapanga siku ikifika anakuja na kukumbia "zimenianza ghafla!", utaahirisha, mkipanga tena mara unajikuta huna pesa za guest au kinatokea kitu, mara ya tatu yuko oke, uko ok, pesa unazo, unazunguka guest/hoteli moja hadi nyingine unakuta vyumba vimejaa!, au unapata chumba, then "co.." hakuna!, ujue hizo zote ni dalili za kukuepusha, ukilazimisha ujue unatafuta majanga!.

Tena usithubutu kutoka bila kuoga ndio makubwa yatakufika, unaweza kupata pancha ya kwanza, hujafika petrol station inapata ya pili, unaweza kupata ajali, au mkosi wowote!, ndio maana timu huweka kambi kabla ya mechi muhimu ili kuzuia wachezaji wasi duu wakaleta mikosi!, japo Ronaldo alikiri huwa ana do kabla ya mecho zote kubwa!.

Tendo la ndoa likitumika vizuri, ni baraka, likitumika vibaya ni balaa!.
Pasco.

Whaaaaaaaaaaaat? Hapo kwenye blue umenifumbua macho Pasco. Yaani acha kabisa. Kuna dada ambaye nilimfahamu tangu akiwa chuoni. Mimi nilikuwa nafanya kazi na mama yake. Ameshanitaka sana, lakini moyo ulisita kufanya nae ngono. Tumeshakwenda mpaka gesti, tukakuta maji yamekatika. Pia kuna siku tulikutana mkoani, akiwa tayari sasa ameshaolewa, tukalala kitanda kimoja, ila siku hiyo alikuwa kwenye siku zake. Huu ni karibu mwaka wa 10 she has been available for making love to me, lakini nimekuwa nashindwa kufanya naye. Kuna jambo Mungu aliepusha naamini, japokuwa siwezi kusema kwamba angeniletea balaa, na wala sitaki kumhukumu.

Pia kuna wanawake wazuri tu ambao nilisita kufanya nao mapenzi wakati walikuwa tayari kufanya na mimi. Yaani, si kwamba hawahitaji pesa au kuolewa, just for fun, lakini nilisita. Sikufanya. Nikikuonyesha huwezi kuamini; na marafiki zangu wengi huwa hawaamini kama sijawahi kufanya mapenzi na wanawake hao....! Cha ajabu ni kwamba, sijawahi kujutia kutofanya nao ngono zembe wanawake hao....! Sasa somo linaanza kuniingia.


Ngoja niendelee kusoma.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MC RAS PAROKO, hii inatwa De-javu, yaani unakutana na mtu unajiona uliisha wahi kumuona!, au unafika mahali papya kwa mara ya kwanza, unajiona kama uliishawahi kufika hapo!.

Sababu kuu ni mbili.
1. Huwa unatembea kwa astra travel, hivyo huyo mtu umekutana nae huko, au hapo mahali ulipatembelea hivyo kumbukumbu zimehifadhiwa kwenye sub-concious mind yako, unapomuona au kufika mahali hapo, phisical mind inalink na sub-concious na hivyo kukujulisha ulishamuona, au mahali hapo uliishafika!.
2.Remote viewing - Gathering of information at a distance. Hii ni kuwa kabla hujafika hapo, mind yako imetembelea hilo eneo au imemuona huyo mtu kabla, hivyo unapomuona, unajiona uliisha muona au hapo mahali uliishafika!.
3. Kwa waumini wa Hinduisim, Buddhiisn na Krisna, wanaamini kwenye life after life na life before life katika kitu wanachoita reincarnation, hivyo hoyo mtu ulikutana nae katika life before, na hapo mahali ulifika kwenye maisha yako ya before, hivi hayo maisha yako ya sasa ni "after life!".
Pasco.
Pasco....Sub-conscious mind ni nini hasa?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Amri kuu ni Upendo, kuna vitu havijaandikwa popote kuhusu source of power za Mungu au za Shetani!.

Hii n i tafsiri yangu binafsi.

  1. Wengi wanadhani kuwa Mungu ndio aliumba vitu vyote!, sii kweli, Mungu hakuumba vitu vyote!, bali ameumba dunia na vyote vilivyomo. Nje ya dunia, sio vyote!. Shetani yuko nje ya dunia!.
  2. Mwanzo wa Mungu, pia ndio huo huo mwanzo wa shetani!. Alikuwa ni 2nd in command akiwa 2nd with powers, mpaka leo mpaka kesho shetani ameondolewa tuu ile position ya 2nd in command but not his powers!.
  3. Mungu ni omnipotent na omnipresent, so does shetani!. Hivyo kwa vile Mungu ni power za mwanga (light) ukiwa nazo unaitwa "enlightened", na shetani pia ni power!, nguvu zake ni za giza "powers of darknes" kwa vile Mungu yupo ndani yetu, vivyo hivyo shetani yupo ndani yetu!. Ukitenda mema, ndio unatumia nguvu za Mungu, ukitenda maovu unatumia nguvu za shetani!.
  4. Mungu ana watumishi wake, mwanaye Yesu Kristo, Malaika na Roho Mtakatifu ambavyo vyote pia ni powers na ukitenda mema, huwakarinisha ndani yetu. Shetani pia anakundi lake la malaika wabaya, mapepo, majini, maruhani, liroho!.
  5. Ukimtumiakia Shetani, wenyeji wa mwili wako wanakuwa ni watumishi wa shetani, ndipo unaposikia fulani ana mashetani, majini, anatumia nguvu za giza!, wale watumishi wa Mungu, wanakukimbia!. Ukitumia nguvu za Mungu, watumishi wa shetani wanakumbia, na ndio hao mapepo wanaotolewa!. Kinachotolewa kwako ni watumishi tuu wa shetani au watumishi wa Mungu, sio Mungu mwenyewe wala sio shetani mwenyewe!.
Kwa maana hiyo vita vyote vya Mungu na shetani, vyote vinapigwana ndani yetu, Mungu is always there ila anayewakaribisha watu wake ni wewe kwa sababu Mungu yuko ndani yetu!. Na shetani pia yupo!, anayewakaribisha watu wake ni wewe mwenyewe!. Ukiwa imara katika Mungu, shetani hawezi kufanya kitu, hata wakuloge, hulogeki hata wakutupia majini, mapepom mashetani, hayawezi kukuingia!. Anayamkaribisha Shetani ni wewe, na anayemfukuza pia ni wewe regardless unatumia jina la nani!.
Pasco.

Hapo kwenye namba 1, kwa hiyo kama shetani yuko nje ya dunia, inakuwaje anakuwa ndani yetu sisi wanadamu? Maana umesema Mungu na shetani wote wako ndani yetu kama powers. Na unaposema kwamba Mungu hakuumba vitu vyote, ina maana sayari zingine zote au the universe in general was not created by God?
 
Hiyo astral travel ndiyo wanayotumia wachawi kuruka na ungo? Yaani leo mpaka hata lunch nimechelewa kula kwa kusoma hii mada. Pasco


Karibu sana darasani, mkuu ... Sisi wenzio tumeanza zamani, tupo secondary muda huu. Nimepata tetesi kuwa kuna wengine wameshaanza hata kupaa .!! So Be patient, mwalimu wetu huwa anashusha material moja kila baada ya miezi miwili, nadhani ni ili kutupa muda wanafunzi wake ku-practice na kuelewa zaidi ...!! You are warmly welcome ...:gossip:
 
Hapo kwenye namba 1, kwa hiyo kama shetani yuko nje ya dunia, inakuwaje anakuwa ndani yetu sisi wanadamu? Maana umesema Mungu na shetani wote wako ndani yetu kama powers. Na unaposema kwamba Mungu hakuumba vitu vyote, ina maana sayari zingine zote au the universe in general was not created by God?

akikujibu na me nitauliza maswali!
 
Back
Top Bottom