Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Psychology inaonyesha kwamba watu wengi hufichua ukweli wao kupitia reactions, patterns, na emotions kuliko maneno yao.
Watu hupenda kuhisi:
• Wameeleweka
• Wamesikilizwa
• Na wana control
Ukijifunza kuelewa body language, silence, emotions, na communication patterns, utaanza kuelewa watu kwa kiwango tofauti kabisa.
Lakini kumbuka:
Maarifa haya yanapaswa kusaidia kuelewa watu vizuri zaidi — sio kuwamanipulate vibaya.
Watu wenye akili kubwa huwa waangalizi wazuri.
Huobserve zaidi kuliko wanavyoongea.
Na wanaelewa kwamba emotions nyingi huongoza maamuzi ya watu kuliko logic.
Soma Pia: Sababu 10 Zinazowafanya Watu Wenye Social Intelligence Kufanikiwa Zaidi Maishani
Watu hupenda kuhisi:
• Wameeleweka
• Wamesikilizwa
• Na wana control
Ukijifunza kuelewa body language, silence, emotions, na communication patterns, utaanza kuelewa watu kwa kiwango tofauti kabisa.
Lakini kumbuka:
Maarifa haya yanapaswa kusaidia kuelewa watu vizuri zaidi — sio kuwamanipulate vibaya.
Watu wenye akili kubwa huwa waangalizi wazuri.
Huobserve zaidi kuliko wanavyoongea.
Na wanaelewa kwamba emotions nyingi huongoza maamuzi ya watu kuliko logic.
Soma Pia: Sababu 10 Zinazowafanya Watu Wenye Social Intelligence Kufanikiwa Zaidi Maishani
- Kuiga body language ya mtu kidogo kidogo hujenga trust haraka bila yeye kugundua. Anahisi umeelewa hisia zake hata kama hujaongea sana.
- Watu hukubali kirahisi zaidi baada ya kusema “ndio” mara kadhaa kabla ya ombi kubwa. Ndiyo ndogo ndogo huandaa akili yao kukubaliana zaidi.
- Ukitaka mtu awe loyal kwako, muombe msaada au ushauri. Watu hujenga connection zaidi kwa watu wanaowasaidia
- Mtu anayeuliza maswali mara nyingi ndiye anayecontrol mazungumzo. Maswali huongoza attention, majibu hutoa nguvu.
- Mtu akiwa defensive, muulize: “Uko sawa?” Hilo hupunguza ego yake na kumfanya ajitafakari emotionally.
- Ongea polepole na pause kabla ya kujibu. Ukimya huwafanya watu waone una confidence na intelligence zaidi.
- Watu hufichua mambo mengi zaidi unapokaa kimya baada ya wao kujibu. Wengi hawawezi kuvumilia ukimya, hivyo huendelea kuelezea zaidi bila kujua.
- Ukitingisha kichwa taratibu mtu anapoongea, mara nyingi ataendelea kusema zaidi hata vitu ambavyo hakupanga kusema.
- Badala ya kubishana, muulize: “Ni nini kinachokufanya useme hivyo?” Swali hilo humfanya ajieleze zaidi na mara nyingi logic yake huanza kuonekana dhaifu
- Mtu akikudhalilisha mbele za watu halafu ukabaki calm, mara nyingi watu watakuwa upande wako. Utulivu wako huwafanya waone aibu yeye, sio wewe.
- Badala ya kutoa ombi moja kwa moja, lifanye lionekane kama uchaguzi. Mfano: “Ungependa kufanya sasa au baada ya lunch?” Anahisi ana control lakini bado umeongoza maamuzi.
- Watu huwaamini zaidi wanaoongea kwa speed inayofanana nao. Badilisha pace yako kidogo kufanana na yao