Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Shukrani nimeongeza kituPsychology inaonyesha kwamba watu wengi hufichua ukweli wao kupitia reactions, patterns, na emotions kuliko maneno yao.
Watu hupenda kuhisi:
• Wameeleweka
• Wamesikilizwa
• Na wana control
Ukijifunza kuelewa body language, silence, emotions, na communication patterns, utaanza kuelewa watu kwa kiwango tofauti kabisa.
Lakini kumbuka:
Maarifa haya yanapaswa kusaidia kuelewa watu vizuri zaidi — sio kuwamanipulate vibaya.
Watu wenye akili kubwa huwa waangalizi wazuri.
Huobserve zaidi kuliko wanavyoongea.
Na wanaelewa kwamba emotions nyingi huongoza maamuzi ya watu kuliko logic.
Soma Pia: Sababu 10 Zinazowafanya Watu Wenye Social Intelligence Kufanikiwa Zaidi Maishani
- Kuiga body language ya mtu kidogo kidogo hujenga trust haraka bila yeye kugundua. Anahisi umeelewa hisia zake hata kama hujaongea sana.
- Watu hukubali kirahisi zaidi baada ya kusema “ndio” mara kadhaa kabla ya ombi kubwa. Ndiyo ndogo ndogo huandaa akili yao kukubaliana zaidi.
- Ukitaka mtu awe loyal kwako, muombe msaada au ushauri. Watu hujenga connection zaidi kwa watu wanaowasaidia
- Mtu anayeuliza maswali mara nyingi ndiye anayecontrol mazungumzo. Maswali huongoza attention, majibu hutoa nguvu.
- Mtu akiwa defensive, muulize: “Uko sawa?” Hilo hupunguza ego yake na kumfanya ajitafakari emotionally.
- Ongea polepole na pause kabla ya kujibu. Ukimya huwafanya watu waone una confidence na intelligence zaidi.
- Watu hufichua mambo mengi zaidi unapokaa kimya baada ya wao kujibu. Wengi hawawezi kuvumilia ukimya, hivyo huendelea kuelezea zaidi bila kujua.
- Ukitingisha kichwa taratibu mtu anapoongea, mara nyingi ataendelea kusema zaidi hata vitu ambavyo hakupanga kusema.
- Badala ya kubishana, muulize: “Ni nini kinachokufanya useme hivyo?” Swali hilo humfanya ajieleze zaidi na mara nyingi logic yake huanza kuonekana dhaifu
- Mtu akikudhalilisha mbele za watu halafu ukabaki calm, mara nyingi watu watakuwa upande wako. Utulivu wako huwafanya waone aibu yeye, sio wewe.
- Badala ya kutoa ombi moja kwa moja, lifanye lionekane kama uchaguzi. Mfano: “Ungependa kufanya sasa au baada ya lunch?” Anahisi ana control lakini bado umeongoza maamuzi.
- Watu huwaamini zaidi wanaoongea kwa speed inayofanana nao. Badilisha pace yako kidogo kufanana na yao
ImPsychology inaonyesha kwamba watu wengi hufichua ukweli wao kupitia reactions, patterns, na emotions kuliko maneno yao.