'Pubic hair' sio uchafu

'Pubic hair' sio uchafu

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
Natumaini wadau wa JF mnafaidi mapumziko ya weekend bila stress!

Twende kwa mada! Ni hivi, baada ya kuangalia clip ya video fulani ya XXX nikaanza kusoma comment za wadau ambazo nashindwa kukubaliana nazo 💯/💯!

Kikubwa ninachotofautiana na wadau wengi ni kuyachukulia mavuzi (pubic hair) kama uchafu! .... NEHII! NO! HAPANA! YAAYA! Mavuzi kama mavuzi sio uchafu, bali ni CHACHANDU, ... Kinachomata ni usafi na utunzaji wa muhusika!

Mimi binafsi huwa sipendi mtu anayenyoa vuzi loote mpaka anakuwa kama kuku aliyenyonyolewa! 😅

MAONI YENU MUHIMU WADAU!
 
Wapenzi wa mavuuuzi utawajua tu..!! Tatizo mnawaza yale ya kinenani tu..!! Think
1659873598637.png
 
Back
Top Bottom