Public Land si ya Wanasiasa! Eldoret Residents Strike Back, Demolish MCA-linked Buildings

Public Land si ya Wanasiasa! Eldoret Residents Strike Back, Demolish MCA-linked Buildings

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Chaos ilizuka Kipkaren, Eldoret, after angry youth decided enough is enough. Buildings linked to Kipkenyo Ward MCA David Leting zilivunjwa na wananchi wakidai ni mali ya umma iliyogeuzwa private investment.

Residents wanasema hii land ilikuwa imewekwa kwa ajili ya soko na shopping centre—but instead ikaisha kuwa rentals na car wash. According to them, walijaribu kufuata legal channels lakini hakuna action ilichukuliwa. Frustration ikafika boiling point.

“Hii ni mali ya umma, na tunairudisha,” baadhi yao walisema.

Hii incident inaonyesha growing trend Kenya: wananchi wanachukua sheria mkononi kutokana na lack of trust kwa viongozi na institutions. Land grabbing imekuwa kawaida kwa baadhi ya politicians from public utilities to road reserves, mali ya umma inaendelea kupotea.

Lakini swali kubwa ni hili:
  1. Are citizens justified kuchukua hatua kama hii?
  2. Ama hii ni dangerous precedent ya mob justice?
MCA Leting, on the other hand, anasema yeye ni victim—claims ana title deed halali na approvals zote. Interestingly, alikubali car wash ilikuwa kwa public space lakini alisema ilikuwa ya kusaidia youth.

Sasa situation iko tense:
  • Wananchi wanataka land irudi kwa umma
  • MCA anapanga kuchukua legal action
  • Serikali iko silent (so far)
Reality check:
Kenya inaingia phase mpya ambapo citizens hawangoji tena system iwafanyie kazi wanajifanyia wenyewe.
Je, hii ni haki ya wananchi kulinda mali ya umma ama ni mwanzo wa anarchy?
 
Back
Top Bottom