Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

Waaazooo bombaaa saaana mdogo wangu Soldier. Komaa komaa kijana
 
Acha mihemko we! Mkapa hakuwa rais wa Kanda, na Wala Magu sio rais wa kanda! Aliamua kusamehu, Tena hapo ni siku ya Uhuru, 9 Dec, anaweza kutoa msamaha kwa wafungwa nchi nzima wenye vigezo!
 
Zawadi kwa watu wa Mtwara
Hiyo haiwezi kuwa faida kwa wana Mtwara ,ingekua kama angetangaza kufanya kitu kinachogusa jamii moja kwa moja kama kuwajengea kitu kitakachoongeza ajira kwa vijana ,labda ndio ungeita kwamba ni faida za wana Mtwara ,sasa kumwachia mfungwa aliye kutwa anabaka hii inamsaidiaje mwana Mtwara?
 
anaweza kutoa msamaha kwa wafungwa nchi nzima wenye vigezo!
Anaweza pia kutoa msamaha kwa wafungwa wa magereza ya Mtwara kwa wenye vigezo kama sehemu ya zawadi ya mkono wa shukrani
 
Kama thread hii inakukera ondoka. Kwani ni lazima uisome?


Nisiisome???---Ningejuaje kama haina mantiki bila kuisoma??!!---- dogo, ukiweka andiko lolote ndani ya Jf tayari hilo linakuwa ni mali ya wana jf wote na ni hiyari ya member mwenyewe atoe maoni au asitoe juu ya hilo andiko.

Kifupi andiko lako halina mashiko, eti akifa kiongozi fulani mstaafu basi wafungwa wa huko alipozikwa wapewe msamaha??!!, sasa vipi wafungwa wengine katika sehemu mbalimbali nchini ambao huko kwao hakukutokea kiongozi mashuhuri wa kuzikwa???--- hoja na mawazo yako ni too childish to entertain and implement.
 
Nisiisome???---Ningejuaje kama haina mantiki bila kuisoma??!!---- dogo, ukiweka andiko lolote ndani ya Jf tayari hilo linakuwa ni mali ya wana jf wote na ni hiyari ya member mwenyewe atoe maoni au asitoe juu ya hilo andiko.
Thanks for commenting on JF@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…