BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Kijana mdogo kuliko yupi?Mimi ni kijana mdogo sana humu JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mdogo kuliko yupi?Mimi ni kijana mdogo sana humu JF
Kijana mdogo kuliko woteKijana mdogo kuliko yupi?
Thanks for commenting on JFKifupi andiko lako halina mashiko, eti akifa kiongozi fulani mstaafu basi wafungwa wa huko alipozikwa wapewe msamaha??!!, sasa vipi wafungwa wengine katika sehemu mbalimbali nchini ambao huko kwao hakukutokea kiongozi mashuhuri wa kuzikwa???--- hoja na mawazo yako ni too childish to entertain and implement.
Mkuu, mbona katika sherehe za uhuru na muungano wachache hupewa msamaha?Adhabu ya jela ni redemption kwa mkosaji na ni consolation kwa waliokosewa, tusisahau hilo
Subirini sherehe ijayoMkuu, mbona katika sherehe za uhuru na muungano wachache hupewa msamaha?
Mazishi ya mtu aliyewahi kuwa Rais wa nchi kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo ni tukio kubwa pia.Subirini sherehe ijayo
Mhhh. Nina mashaka sana na wewe...Subirini sherehe ijayo
Nina wasi wasi na weweMhhh. Nina mashaka sana na wewe...
Wewe unaweza kuwa ni moja ya wale watu wasiojulikanaNina wasi wasi na wewe
I know this very wellsio wote wa mkoa mmoja wanaweza kutoka maeneo tofauti pia kulingana na usalama wa wafungwa ulivyo.
Well writtenNi wazo zuri linalojadilika, pengine matokea yake yanaweza kuonekana kwenye sherehe za kitaifa miezi minne baadae.
Wazo kama hilo linaweza kufanana na wazo la kuwapatia kinamama wanaojifungua kila mmoja jozi mbili za nepi, kanga jozi tatu na huduma bure kwa kila kitu siku ya mazishi ya kiongozi mkubwa wa nchi.
Ili iwe kumbukumbu ya na kukuza uzalendo kwa watu wote kuipenda nchi yao na watu wote.
Una roho mbaya sana wee jamaaIli waje watuue na kutuibia. Kwani hakuna namna nyingine ya kufanya
Boss, kwanini hii idea yangu unaiita ni upuuzi? Any concrete facts please?Ndio tunaambiwa nchi imeingia uchumi wa kati, watu wanawaza Mambo ya kipuuzi tu.
Boss, kwanini hii idea yangu unaiita ni fikra ya kijinga jingai? Any concrete fact please?Tufanye kazi jmn tuache fikra za kijingajinga km hizo.
Mkuu, mbona kama umeshangaa? What's wrong mzee baba?Duh!
Hiyo busara itoke wapi,kwa jiwe? Ushaona wapi mtoto anamwozesha mama yake?Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima pamoja na busara za mzee Benjamin William Mkapa.
View attachment 1520786
Kwa kawaida Mh. Rais hutoa msamaha kwa wafungwa wakati wa maadhimisho ya sherehe za kitaifa kama uhuru, muungano, nyerere day, karume day, n.k Kwangu mimi binafsi ninaona siku ya leo ya terehe July 29, 2020 ni siku ya kitaifa ya mzee Mkapa kama mtu aliyekuwa mkuu wa nchi kwa muda wa miaka 10 mfululizo.
Simaanishi kwamba kila anapokufa mwanasiasa msamaha unapaswa kutolewa, hapana, bali mtu aliyekuwa kiongozi mkuu wa nchi sio mtu wa kufanana na mlalahoi kama Infantry Soldier.
Nimeamua kuandika hivi kwa maana kwamba ninatambua kuwa suala hili halipo kisheria, kikatiba wala kitaratibu huko serikalini, lakini watanzania waishio mtwara wanahitaji kupatiwa mkono wa shukrani. Mkoa ule wa Mtwara, Wilaya ya Masasi pamoja na kijiji cha Lupaso wametutolea mzalendo wa kweli, jasiri na shujaa wa taifa letu kwa kipindi chote cha miaka 82 aliyopata kuishi hapa duniani.
Licha ya kwamba alikuwa ni Rais wa Tanzania kwa miaka 10 ya uongozi wake, lakini pia mkoa wa Mtwara umetupa mtu aliyejali pia ushirikiano, uhusiano mwema pamoja na utengamano wa nchi yetu na mataifa ya jirani pamoja na ndugu zetu wengine wa bara zima hili la Afrika. Mkapa alikuwa ni mwana halisi wa afrika (A TRUE SON OF AFRICA)
View attachment 1520788
Alikuwa amejitolea katika ushirikiano wa kikanda pamoja na ule wa Kusini mwa jangwa la sahara (South-South Cooperation), ikiwa ni pamoja na kupatanisha katika mizozo ya kivita pamoja na ile ya kisiasa katika nchi mbali mbali za Kiafrika, ambapo alifanikiwa kuja na suluhisho za Kiafrika kwa shida za Kiafrika (African solutions to African problems).
Alikuwa sehemu ya Jopo la Jumuiya ya Waafrika waliojulikana (AU Panel of Eminent African Personalities) ambao waliingilia kati mzozo wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2008 nchini Kenya ambao ulisababisha kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ambayo ilileta amani na utulivu nchini humo.
Kulingana na uimara wake katika medani ya siasa za kimataifa na diplomasia na kama mzee wa mwenye busara iliyotukuka katika taifa, Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) ulimteua kuwezesha Mazungumzo ya amani ya nchini Burundi ambayo yalileta pamoja serikali na makundi mbali mbali ya upinzani katika Jamhuri ya Burundi kati ya mwaka wa 2016 na 2018, na kufanya juhudu za makusudi juu ya namna bora ya kupata njia ya kutoka kwenye mzozo ule wa kisiasa.
PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA NA MWENDO UMEUMALIZA BABA YETU. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.
View attachment 1520770
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Msaada Please: Ninaomba kuonana na ndugu Athumani Kihamia
Jiwe ndio nani ndugu yangu?Hiyo busara itoke wapi,kwa jiwe?
Mkuu, sasa huu mfano wako una uhusiano gani na hii mada yangu?Ushaona wapi mtoto anamwozesha mama yake?