Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

Nisiisome???---Ningejuaje kama haina mantiki bila kuisoma??!!---- dogo, ukiweka andiko lolote ndani ya Jf tayari hilo linakuwa ni mali ya wana jf wote na ni hiyari ya member mwenyewe atoe maoni au asitoe juu ya hilo andiko.
Thanks for writing on JF@
 
Ni wazo zuri linalojadilika, pengine matokea yake yanaweza kuonekana kwenye sherehe za kitaifa miezi minne baadae.
Wazo kama hilo linaweza kufanana na wazo la kuwapatia kinamama wanaojifungua kila mmoja jozi mbili za nepi, kanga jozi tatu na huduma bure kwa kila kitu siku ya mazishi ya kiongozi mkubwa wa nchi.
Ili iwe kumbukumbu ya na kukuza uzalendo kwa watu wote kuipenda nchi yao na watu wote.
 
You said it well brother @
 
Kila siku unaongelea suala hili, je mke wako amefungwa ungetamani atoke lupango?
 
Hairuhusiwi kabisa kuwapiga picha wafungwa. Nashangaa ni vipi umeweza kuwapiga picha hao wafungwa. Hukupaswa kuweka picha zao mtandaoni, unataka kuwadhalilisha milele waonekane na kila mwana jamii kuwa wamewahi kuwa wafungwa?? Acha hizo mambo mkuu, iliwezekana kabisa kuweka ujumbe wako bila hizo picha.
 
unataka kuwadhalilisha milele waonekane na kila mwana jamii kuwa wamewahi kuwa wafungwa??
Mbona babu Seya na watoto wake waliwahi kufungwa na kila mmoja anajua? Wengine waliowahi kufungwa ni akina Sugu, Godbless Lema, Ndanda Cosovo pamoja na Elizabeth Michael (Lulu)@
 
Acha kuishi kwa mihemko mkuu. Start thinking logically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…