Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

Thanks for commenting on JF
 
Well written
 
Ndio tunaambiwa nchi imeingia uchumi wa kati, watu wanawaza Mambo ya kipuuzi tu. Tufanye kazi jmn tuache fikra za kijingajinga km hizo.
 
Hiyo busara itoke wapi,kwa jiwe? Ushaona wapi mtoto anamwozesha mama yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…