Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100% Membe akisimama,Rais Magufuli atashinda kwa 98% ila wakisimamisha wengine Magufuli ni 100%.Haina faida yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100% Membe akisimama,Rais Magufuli atashinda kwa 98% ila wakisimamisha wengine Magufuli ni 100%.Haina faida yoyote
Sawa baba...Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100%
Hivi unajua kuwa JPM ni Rais bora africa?Anayepokea jogoo na "kumzawadia" kidume mamaye!
Kuna rais "bora" na "bora rais".Huyo ni bora "rais!"Hivi unajua kuwa JPM ni Rais bora africa?
Kuna mwenyekiti "bora" na "bora mwenyekiti". Mbowe ni bora "mwenyekiti".Kuna rais "bora" na "bora rais".Huyo ni bora "rais!"
HAYA MR. "KUKOPI NA KUPESTI!"Kuna mwenyekiti "bora" na "bora mwenyekiti". Mbowe ni bora "mwenyekiti".
Njoo CCM wewe acha ushambaHAYA MR. "KUKOPI NA KUPESTI!"
Lissu anajifanya hawajui Watanzania, aibu atakayopata anaweza akakimbia Nchi.Zawadi kwa watu wa Mtwara
Watanzania watamnyima kura.Lissu anajifanya hawajui Watanzania, aibu atakayopata anaweza akakimbia Nchi.
98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Magufuli.Sawa baba...
Trump ameanza kumuiga Magufuli katika ku-deal na changamoto ya COVID-19. JPM ni jembe hakika.Sawa baba...
Mabeberu waje washuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli.Watanzania watamnyima kura.
Hongera Rais Magufuli kwa kutupeleka uchumi wa kati.Zawadi kwa watu wa Mtwara
Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!Zawadi kwa watu wa Mtwara
AmenRais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!
mbowe anaswaga 326m za ruzuku kila mwezi plus michango ya wabunge wa chadema,kujenga ofisi hata yenye ukubwa wa banda la kuku imeshindikana.Watanzania watamnyima kura.
Magufuli anatutea Waafrica.Zawadi kwa watu wa Mtwara
Majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.Zawadi kwa watu wa Mtwara
That's why Presdent Magufuli was declared hero of the world.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima pamoja na busara za mzee Benjamin William Mkapa.
View attachment 1520786
Kwa kawaida Mh. Rais hutoa msamaha kwa wafungwa wakati wa maadhimisho ya sherehe za kitaifa kama uhuru, muungano, nyerere day, karume day, n.k Kwangu mimi binafsi ninaona siku ya leo ya terehe July 29, 2020 ni siku ya kitaifa ya mzee Mkapa kama mtu aliyekuwa mkuu wa nchi kwa muda wa miaka 10 mfululizo.
Simaanishi kwamba kila anapokufa mwanasiasa msamaha unapaswa kutolewa, hapana, bali mtu aliyekuwa kiongozi mkuu wa nchi sio mtu wa kufanana na mlalahoi kama Infantry Soldier.
Nimeamua kuandika hivi kwa maana kwamba ninatambua kuwa suala hili halipo kisheria, kikatiba wala kitaratibu huko serikalini, lakini watanzania waishio mtwara wanahitaji kupatiwa mkono wa shukrani. Mkoa ule wa Mtwara, Wilaya ya Masasi pamoja na kijiji cha Lupaso wametutolea mzalendo wa kweli, jasiri na shujaa wa taifa letu kwa kipindi chote cha miaka 82 aliyopata kuishi hapa duniani.
Licha ya kwamba alikuwa ni Rais wa Tanzania kwa miaka 10 ya uongozi wake, lakini pia mkoa wa Mtwara umetupa mtu aliyejali pia ushirikiano, uhusiano mwema pamoja na utengamano wa nchi yetu na mataifa ya jirani pamoja na ndugu zetu wengine wa bara zima hili la Afrika. Mkapa alikuwa ni mwana halisi wa afrika (A TRUE SON OF AFRICA)
View attachment 1520788
Alikuwa amejitolea katika ushirikiano wa kikanda pamoja na ule wa Kusini mwa jangwa la sahara (South-South Cooperation), ikiwa ni pamoja na kupatanisha katika mizozo ya kivita pamoja na ile ya kisiasa katika nchi mbali mbali za Kiafrika, ambapo alifanikiwa kuja na suluhisho za Kiafrika kwa shida za Kiafrika (African solutions to African problems).
Alikuwa sehemu ya Jopo la Jumuiya ya Waafrika waliojulikana (AU Panel of Eminent African Personalities) ambao waliingilia kati mzozo wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2008 nchini Kenya ambao ulisababisha kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ambayo ilileta amani na utulivu nchini humo.
Kulingana na uimara wake katika medani ya siasa za kimataifa na diplomasia na kama mzee wa mwenye busara iliyotukuka katika taifa, Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) ulimteua kuwezesha Mazungumzo ya amani ya nchini Burundi ambayo yalileta pamoja serikali na makundi mbali mbali ya upinzani katika Jamhuri ya Burundi kati ya mwaka wa 2016 na 2018, na kufanya juhudu za makusudi juu ya namna bora ya kupata njia ya kutoka kwenye mzozo ule wa kisiasa.
PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA NA MWENDO UMEUMALIZA BABA YETU. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.
View attachment 1520770
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Msaada Please: Ninaomba kuonana na ndugu Athumani Kihamia
Mbona unapanic? hupendi maendeleo anayoleta Rais Magufuli?Zawadi kwa watu wa Mtwara