PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

Huenda kama kuna Mtu ambaye anaifanya Hadhi ya Uprofesa Kuanza Kudharaulika nchini Tanzania akawa ni Waziri Kabudi hadi Mchumi Lipumba.
Nilikuwa nawaheshimu sana na kuwaogopa maprofesa. Baada kushuhudia hawa waliopo ktk siasa nimeona kuwa kumbe hakuna haja hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…