Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #141
Ngoja wataalam watasaidia kujibu hili mkuuVipi Ile dawa aliyotuletea mbona Ni Kama haijatumika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wataalam watasaidia kujibu hili mkuuVipi Ile dawa aliyotuletea mbona Ni Kama haijatumika
Asante. Shemeji yupo lakini?Karibu sana Dodoma
Siku hizi JF imejaa watu wengi wa ajabu ajabu sana mkuuHuyo jamaa ana akili za kijinga sana jaribu kusoma comments zake nyingi humu ni hovyo kweli kweli.
Infantry Soldier 👑👍Good Boy. Sasa kwanini haukugombea ubunge mzee baba? Hivi unajua upo vizuri sana dogo.
Tatizo mimi sio muongeaji sana mbele ya kadamnasi hahahahaaaa. Ngoja nitaanza na udiwani kwanza nione kama upepo utanikubali.Kabisa
Hata Moses alimwambia Mungu yeye ana kigugumizi hawezi kuongea lakini aliweza kufanya alichotumwa.Tatizo mimi sio muongeaji sana mbele ya kadamnasi hahahahaaaa. Ngoja nitaanza na udiwani kwanza nione kama upepo utanikubali.
Nitafurahi sana kama utakuwa unanisaidia kwa maana watanzania wanavyopenda ku-challenge wagombea wakati wa campaign, ninaweza kujikuta ninajing'atang'ata tu.Hata Moses alimwambia Mungu yeye ana kigugumizi hawezi kuongea lakini aliweza kufanya alichotumwa.
Au mama D anaweza kuwa msemaji wako😂😂😂😂
Nitasimama na wewe Infantry Soldier Mungu atuweke tuuNitafurahi sana kama utakuwa unanisaidia kwa maana watanzania wanavyopenda ku-challenge wagombea wakati wa campaign, ninaweza kujikuta ninajing'atang'ata tu.
AmenNitasimama na wewe Infantry Soldier Mungu atuweke tuu
#KampeniMeneja👍
Kadi zipo wapi?Njoo tutakuvumilia
Hongera sanaMimi ni CCM damu
Atakutukana huyo mkuuMaelezo meeeeengi yasiyo na maana. Jipange uandike upya
Mwambie afanye kazi zake na aachane na majukumu/taaluma za watuAnajifanya Polisi
MKIRU ndio nini mkuu?Mwanahabari aliyepotea MKIRU
Upo kama mimi. TBC wameboresha sana vipindi vyao siku hiziNdio maana huwa siangaliagi sana BBC. Jioni ni mimi na TBC tu
Ndio mkuu, sasa hivi ipo kama CNN full mzukaUpo kama mimi. TBC wameboresha sana vipindi vyao siku hizi
Hayo yote ni kwa sababu ya mzee Ayoub Ryoba Chacha. That guy is a real professional.Ndio mkuu, sasa hivi ipo kama CNN full mzuka