Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Mimi ni CCM damuSiwezi kuwa mwanachama wa hivi vyama ambavyo mwanachama hana ubavu wa kumkosoa mkubwa wake.
Ila nitavikosoa vyama na mtu mmoja mmoja kwenye hivyo vyama.
Nitasifia mara chache sana.