PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

Yaani MATAGA ni kama MALAYER.

Unanunuliwa bia siku moja unaliwa mzigo!!

*Halafu SSM anakuja kukumbushia bia ulizokunywa mwaka juzi na anakula mzigo!

*Yaani unakumbushiwa bia, unaliwa mzigo!

*Unajua kabisa unadanganywa, lakini unatoa uchi.....

*Unatoa uchi sababu nyie ni malayer
 
Wewe kamwe hauwezi kunioa kwa maneno haya
 
Nimepata bahati ya kumuona na kumsikiliza mahali akihutubia.alikuwa composed na alizungumza mengi mazuri kwa tone nzuri kabisa.
Mahojiano hasa na wanahabari profesional yanatakiwa unayehojiwa uwe mtulivu na uwe mtulivu zaidi hasa ikiwa lugha inayotumika sio lugha yako ya asili.
Kueleeweka vibaya hutokea,kwa wale wazee kama mimi Ukimwi ulipopamba moto walijitokeza mabingwa wengi na kutangaza kugundua dawa,palikuwa na KEMRON Kenya,MM2 Zaire ya Mobutu achilia mbali hawa wa kwetu.Waziri wa Afya alipohojiwa alikanusha kuwepo kwa dawa za kutibu na kusema ni "udanganyifu" lakini kesho yake magazeti yakiingereza yalitumia neno "hoax".Tuhuma zikawa mwanasayansi kudharau dawa za wanasayansi wenzie na kuziita "hoax".
 
Wazee kama wewe? Shikamoo baba...
 
Mkuu, mimi pia nina imani kubwa sana katika uwezo wa Professor Kabudi. Siku ile alighafilika tu kama mwanadamu na alishindwa kufanya COVERUP njema kama nilivyoshauri hapo juu.
 
Hayo unayoyaongea ni maoni yako na mtazamo wako,sio lazima iwe ndiyo kweli yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…