PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

Damu ni nzito kuliko maji. Faidi madaraka huku moyo umekufa. Muuaji naye ni maiti inayotembea.
 
Sijui hata umeandika nini?
 
Ngoja siku mara paah BBC eyes on Africa wanarusha mchakato mzima tangu mwanzo Hadi mwisho wa ben na Azory Kama walivyorusha ya burundi Hadi nkurunziza akawafukuza burundi but haikusaidia
Haiwezi kutokea hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…