Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Kenya is a crazy country with talent!!

One wealthy Arabians want to buy Phantom 808 (Rongai 1)

1481028432202.jpg

A street in the East African City, Dar es Salaam.
 
Nairobi Public Transport iko poa sana..siku za kazi hata unaona bora uache tu gari home..unachukua matatu, asubuhi unaangalia episode yako ya game ot thrones taratibu na nescafe ndani ya matatu..
Matatu yao yana muziki sana mpka inaboa, halafu magar mengi yamechoka sana
 
Kwa Tanzania hapa hilo la kufoleni vituoni lilishindikana kwa sababu kila mtu hujitia na haraka ndipo hapo mtu anaweza kutoa rushwa awe mbele ili awahi
 
Kwa Tanzania hapa hilo la kufoleni vituoni lilishindikana kwa sababu kila mtu hujitia na haraka ndipo hapo mtu anaweza kutoa rushwa awe mbele ili awahi
I live in Nairobi Kasarani, i telll you for sure how they started that queeing thing i cant tell, In the evening, utapata foleni ndefu ndefu za watu wakiabiri! Hilo ni jambo halingewezekana miaka sita iliyopita. Lakini Sahi hata siamini mwenyewe!
Wanapangana foleni ndefu jamaa
 
. Unastay wapi mwiki sunton hunter ama rosyambu
 
Matatu yao yana muziki sana mpka inaboa, halafu magar mengi yamechoka sana

Eti unasemaje??? Magari mengi yamechoka??? Wewe unaifahamu vizuri biashara ya matatu??? Kwa siku matatu inayoena Buruburu au Kayole ama Umoja inafaa iingize apprx. Kshs.20,000-35,000 ambayo ni sawasawa na Tzs.440,000-700,000 KWA SIKU! Na ili waweze kufanikiwa,lazima waingie hasara ya ku-pimp magari ya,lazima yapakwe rangi,interior design iwe safi,mziki na screen iwe freshi....... la sivyo hamna biashara,kwa sababu mkenya anatafuta Value for money.....

Naomba nikuulize,mfanyabiashara gani ataamua ku-risk biashara yake kwa kuweka gari lake bovu barabarani???
 
But its simple.......the president should give an order for people to line up...... Sisi hapa Kenya rais moi ndie alitoa hiyo amri...
 
Back
Top Bottom