Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tufanye logics kidogoDar watu wengi sana kuliko Nairobi ndio maana wanagombania, Halafu Dar ni kubwa kuliko Nairobi
Tulisema watu wasije kulinganisha Dar hapa na Nairobi, Sababu Dar tuliiachia miji kama Nakuru! Stop it!tufanye logics kidogo
1.Dar iko Na watu wengi, Nairobi iko Na watu kidogo.
2. Dar Ni kubwa, Nairobi Ni ndogo...
Conclussion? Nairobi Na Dar ziko sawa..(ratio ya ukubwa kwa watu)
Eti unasemaje??? Magari mengi yamechoka??? Wewe unaifahamu vizuri biashara ya matatu??? Kwa siku matatu inayoena Buruburu au Kayole ama Umoja inafaa iingize apprx. Kshs.20,000-35,000 ambayo ni sawasawa na Tzs.440,000-700,000 KWA SIKU! Na ili waweze kufanikiwa,lazima waingie hasara ya ku-pimp magari ya,lazima yapakwe rangi,interior design iwe safi,mziki na screen iwe freshi....... la sivyo hamna biashara,kwa sababu mkenya anatafuta Value for money.....
Naomba nikuulize,mfanyabiashara gani ataamua ku-risk biashara yake kwa kuweka gari lake bovu barabarani???
Hahaha..... Edward hebu achana na watu wa sousTulisema watu wasije kulinganisha Dar hapa na Nairobi, Sababu Dar tuliiachia miji kama Nakuru! Stop it!
Nairobi masikini watupu wamejaa huko acha kutudanganya,nimekaa Nairobi Majengo miaka 3 huwezi kunidanganya .There is nothing new with Nairobi,Nairobi and Dar are almost the same.Ila Dar ni over populated sana kuliko Nairobi ,ila Dar ndio ina future nzuri compared to NairobiTulisema watu wasije kulinganisha Dar hapa na Nairobi, Sababu Dar tuliiachia miji kama Nakuru! Stop it!
Dar iko juu kidogo ya NairobiDar huwez fananisha na Nairobi coz Dar ina raha nyingi sana ambazo Nairobi huwezi kuziona,nikianza na mademu wa Nairobi wana viguu vyeusi lkn wanapenda kuvaa uchi ila ktk daradara wao wanaita matatu kweli wako vizuri maana kwa hilo tuu la kucompare matatu na daladala japo ukiileta matatu dar watu watacheka sana maana ni km madudu gani cjui, yani huku tunasema malembo malembo wanapenda wasukuma ndo matatu yani bongo ni kama utaonekana mshamba tuu kuleta stand mgari km boti, ila nu fresh hazina usumbufu . .
Lkn ukizungumzia usafiri dar kuna aina nyingi sana ya usafiri kuzidi Nairobi
Shida ya Nairobi usafiri wake ni mabodi ya kuchonga wenyewe alafu yamejaa marembo rembo kama Christmas tree
Dar iko juu kidogo ya Nairobi
Nairobi masikini watupu wamejaa huko acha kutudanganya,nimekaa Nairobi Majengo miaka 3 huwezi kunidanganya .There is nothing new with Nairobi,Nairobi and Dar are almost the same.Ila Dar ni over populated sana kuliko Nairobi ,ila Dar ndio ina future nzuri compared to Nairobi
Kupanda kwa foleni bila kugombea na kutosimamisha abiria katika usafiri wa mjini ni jambo bora nimeshuhudia hali hii kampala uganda na majiji ya south afrika. Lkn eti BRT ni usafiri mbovu haujapata kutokea Tanzania hayo ni maneno ya unafiki uzandiki na ujinga usiopimika.Yes hata mimi napenda Nairobi utaratibu wao wa kwenye matatu zao, hakuna kusimama, kupanda kwa foleni, Ila hapa kwetu hiyo BRT nzuri kwenye picha au kama hujapanda, huu kwa dar ni moja ya usafiri wa hovyo ambao haujawahi kutokea,
Hahaha Mada tofautiUdart 50 zetu za chenji mnatuzulumu,DC Happy fanya ziara ya kushtukiza
Wewe unafanya guess work ama nini... Kuna jiji masikini Duniani isipokuwa Dar es salaam where 70% of you mmefinyana Jiji lote hamna hata nafasi ya kupumua Unataka evidence??
Hawa wananafasi yakupumua!!?
Mama wawatu anakuambia
Akipata mahali penye hewa na Maji
Mwili wake ulio dhoofu utapendeza!!
Hadi huruma!!!
Watu zaidi ya 200 hutumia kijabafu kama chumba cha konokono!!!
Wacheni sifa
Bado mpo vibaya sana
Hawa wananafasi yakupumua!!?
Mama wawatu anakuambia
Akipata mahali penye hewa na Maji
Mwili wake ulio dhoofu utapendeza!!
Hadi huruma!!!
Watu zaidi ya 200 hutumia kijabafu kama chumba cha konokono!!!
Wacheni sifa
Bado mpo vibaya sana