Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Dar watu wengi sana kuliko Nairobi ndio maana wanagombania, Halafu Dar ni kubwa kuliko Nairobi
 
Dar watu wengi sana kuliko Nairobi ndio maana wanagombania, Halafu Dar ni kubwa kuliko Nairobi
tufanye logics kidogo

1.Dar iko Na watu wengi, Nairobi iko Na watu kidogo.
2. Dar Ni kubwa, Nairobi Ni ndogo...

Conclussion? Nairobi Na Dar ziko sawa..(ratio ya ukubwa kwa watu)
 
tufanye logics kidogo

1.Dar iko Na watu wengi, Nairobi iko Na watu kidogo.
2. Dar Ni kubwa, Nairobi Ni ndogo...

Conclussion? Nairobi Na Dar ziko sawa..(ratio ya ukubwa kwa watu)
Tulisema watu wasije kulinganisha Dar hapa na Nairobi, Sababu Dar tuliiachia miji kama Nakuru! Stop it!
 
Eti unasemaje??? Magari mengi yamechoka??? Wewe unaifahamu vizuri biashara ya matatu??? Kwa siku matatu inayoena Buruburu au Kayole ama Umoja inafaa iingize apprx. Kshs.20,000-35,000 ambayo ni sawasawa na Tzs.440,000-700,000 KWA SIKU! Na ili waweze kufanikiwa,lazima waingie hasara ya ku-pimp magari ya,lazima yapakwe rangi,interior design iwe safi,mziki na screen iwe freshi....... la sivyo hamna biashara,kwa sababu mkenya anatafuta Value for money.....

Naomba nikuulize,mfanyabiashara gani ataamua ku-risk biashara yake kwa kuweka gari lake bovu barabarani???

Ya Nairobi
15048063_909879329145637_338497019821686784_n.jpg

Dar es Salaam
tanzania-august-09-063.jpg

Hebu Search Dala dala Dar es Salaam uone vipi Google inaleta! Lahaula! Utacheka ufe!! Dah
 
Dar huwez fananisha na Nairobi coz Dar ina raha nyingi sana ambazo Nairobi huwezi kuziona,nikianza na mademu wa Nairobi wana viguu vyeusi lkn wanapenda kuvaa uchi ila ktk daradara wao wanaita matatu kweli wako vizuri maana kwa hilo tuu la kucompare matatu na daladala japo ukiileta matatu dar watu watacheka sana maana ni km madudu gani cjui, yani huku tunasema malembo malembo wanapenda wasukuma ndo matatu yani bongo ni kama utaonekana mshamba tuu kuleta stand mgari km boti, ila nu fresh hazina usumbufu . .

Lkn ukizungumzia usafiri dar kuna aina nyingi sana ya usafiri kuzidi Nairobi
 
Tulisema watu wasije kulinganisha Dar hapa na Nairobi, Sababu Dar tuliiachia miji kama Nakuru! Stop it!
Nairobi masikini watupu wamejaa huko acha kutudanganya,nimekaa Nairobi Majengo miaka 3 huwezi kunidanganya .There is nothing new with Nairobi,Nairobi and Dar are almost the same.Ila Dar ni over populated sana kuliko Nairobi ,ila Dar ndio ina future nzuri compared to Nairobi
 
Dar huwez fananisha na Nairobi coz Dar ina raha nyingi sana ambazo Nairobi huwezi kuziona,nikianza na mademu wa Nairobi wana viguu vyeusi lkn wanapenda kuvaa uchi ila ktk daradara wao wanaita matatu kweli wako vizuri maana kwa hilo tuu la kucompare matatu na daladala japo ukiileta matatu dar watu watacheka sana maana ni km madudu gani cjui, yani huku tunasema malembo malembo wanapenda wasukuma ndo matatu yani bongo ni kama utaonekana mshamba tuu kuleta stand mgari km boti, ila nu fresh hazina usumbufu . .

Lkn ukizungumzia usafiri dar kuna aina nyingi sana ya usafiri kuzidi Nairobi
Dar iko juu kidogo ya Nairobi
 
Nairobi masikini watupu wamejaa huko acha kutudanganya,nimekaa Nairobi Majengo miaka 3 huwezi kunidanganya .There is nothing new with Nairobi,Nairobi and Dar are almost the same.Ila Dar ni over populated sana kuliko Nairobi ,ila Dar ndio ina future nzuri compared to Nairobi

Wewe unafanya guess work ama nini... Kuna jiji masikini Duniani isipokuwa Dar es salaam where 70% of you mmefinyana Jiji lote hamna hata nafasi ya kupumua Unataka evidence??
 
Yes hata mimi napenda Nairobi utaratibu wao wa kwenye matatu zao, hakuna kusimama, kupanda kwa foleni, Ila hapa kwetu hiyo BRT nzuri kwenye picha au kama hujapanda, huu kwa dar ni moja ya usafiri wa hovyo ambao haujawahi kutokea,
Kupanda kwa foleni bila kugombea na kutosimamisha abiria katika usafiri wa mjini ni jambo bora nimeshuhudia hali hii kampala uganda na majiji ya south afrika. Lkn eti BRT ni usafiri mbovu haujapata kutokea Tanzania hayo ni maneno ya unafiki uzandiki na ujinga usiopimika.
 
Udart 50 zetu za chenji mnatuzulumu,DC Happy fanya ziara ya kushtukiza
 
Wewe unafanya guess work ama nini... Kuna jiji masikini Duniani isipokuwa Dar es salaam where 70% of you mmefinyana Jiji lote hamna hata nafasi ya kupumua Unataka evidence??

Hawa wananafasi yakupumua!!?

Mama wawatu anakuambia
Akipata mahali penye hewa na Maji
Mwili wake ulio dhoofu utapendeza!!
Hadi huruma!!!

Watu zaidi ya 200 hutumia kijabafu kama chumba cha konokono!!!

Wacheni sifa
Bado mpo vibaya sana
 
Motochini nimesikitika sana mkuu.. Haikuwa hata na haja ya Kujenga highways kama watu ml.1 wanaishi maisha haya. Duh.. Hao viongizi wao wanayaona haya kweli?
 
Hawa wananafasi yakupumua!!?

Mama wawatu anakuambia
Akipata mahali penye hewa na Maji
Mwili wake ulio dhoofu utapendeza!!
Hadi huruma!!!

Watu zaidi ya 200 hutumia kijabafu kama chumba cha konokono!!!

Wacheni sifa
Bado mpo vibaya sana

ACHENI WIVU.. JENGENI LENU.. DAADAB REFUGEE CAMP IS BETTER THAN DAR ES SALAAM. ACHENI KUTUONYESHA GHOROFA TATU.
DAR ES SALAAM
aerial-view-of-dar-es-salaam-tanzania-africa-1.jpg

DADAAB
4a8aa04e6.jpg
 
Back
Top Bottom