Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Usafiri kwenda kigamboni


 
Ukitaka kwenda haraka zaidi. Au unataka kuwahi sehemu panda boda boda.
Lakini kumbuka kuvaa kofia ngumu.
Ukikamatwa hujavaa faini sio chini ya TZs 100,000 au miezi 6 jela

 
Ratiba ya usafiri wa treni jiji Dar es Salaam

Weekly Morning Session

City Train- Morning Session Turn1
Time table for city Train Morning Session Turn One
Show entries
Search:
Station /Halt Distance.(km) Arr.time Dep. time R/T.(min)
Ubungo Maziwa 11.4 6.3
Mabibo 10.3 6.34 6.36 4
Ami/T/Reli/Mwananchi 9.2 6.41 6.43 5
Tabata Matumbi 7.3 6.5 6.52 7
Buguruni kwa Mnyamani 6 6.57 6.59 5
Makuburi (Mandela Road) 4.9 7.03 7.05 4
Kamata 1.4 7.12 7.14 7
Dar Es Salaam 0 7.17 3

City Train | Tanzania Railways Limited
 
Vivuko vya kwenda kigamboni bei chee.
 
Usafiri wa Boat ndani ya Jiji la Dar es salaam kwenda kwenye visiwa mbali mbali vya jiji la Dar
 
Usafiri Kuelekea kisiwa cha kitalii cha Bongoyo ndani ya jiji la Dar es salaam
 
Kama wewe ni mtanzania unasema hivyo basi utakuwa nyani wewe na wazazi wako.
Na kama hauko civilized ni wewe na familia yako.
Uchafu wako na familia yako usijumuishe watu wote.
Asante kwa kuwatukana wazazi wangu.
Ila kwenye bandiko langu sentensi ya mwisho nimeandika" ukweli unauma" - hii Tanzania sio yako usijifanye wewe unaipenda sana.. Inabidi tubadilike tuwe civilised iys very simple but sio kwa matusi na short minded kama wewe.
Lazima tuangalie mbele na tusiangalie chini
 
Tatizo lako hujasoma hata uzi unaongelea nini unakuja kuropoka tu kwa ujinga.
Wewe unapo waita watu wa DMS wanafanana na Nyani huoni kuwa wewe ni mjinga kichwani?
Au unaona ni sifa kuwaita wenzako manyani?
Hapa tunaongelea usafiri ndani ya DSM na Nairobi.
Sasa umekuja na kubwatuka tuuuuu bila hata kusoma na kujua thread inaongelea nini.
Tumia kichwa chako vizuri. Unapowatukana wenzako kuwa wanafanana na nyani, kama wazazi wako wanakaa dsm nao pia watakuwa kama manyani. Au unaita manyani akina nani?
Tumia akili wewe!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
watu mmechafukwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…