Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me too.....we should do this to all of them!I like the way this thread has turned out. Hahaha!!!
Kama wewe ni mtanzania unasema hivyo basi utakuwa nyani wewe na wazazi wako.Nairobi wapo civilised sana .. Dsm ni kama manyani. Ukweli unauma though
Asante kwa kuwatukana wazazi wangu.Kama wewe ni mtanzania unasema hivyo basi utakuwa nyani wewe na wazazi wako.
Na kama hauko civilized ni wewe na familia yako.
Uchafu wako na familia yako usijumuishe watu wote.
Tatizo lako hujasoma hata uzi unaongelea nini unakuja kuropoka tu kwa ujinga.Asante kwa kuwatukana wazazi wangu.
Ila kwenye bandiko langu sentensi ya mwisho nimeandika" ukweli unauma" - hii Tanzania sio yako usijifanye wewe unaipenda sana.. Inabidi tubadilike tuwe civilised iys very simple but sio kwa matusi na short minded kama wewe.
Lazima tuangalie mbele na tusiangalie chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahTatizo lako hujasoma hata uzi unaongelea nini unakuja kuropoka tu kwa ujinga.
Wewe unapo waita watu wa DMS wanafanana na Nyani huoni kuwa wewe ni mjinga kichwani?
Au unaona ni sifa kuwaita wenzako manyani?
Hapa tunaongelea usafiri ndani ya DSM na Nairobi.
Sasa umekuja na kubwatuka tuuuuu bila hata kusoma na kujua thread inaongelea nini.
Tumia kichwa chako vizuri. Unapowatukana wenzako kuwa wanafanana na nyani, kama wazazi wako wanakaa dsm nao pia watakuwa kama manyani. Au unaita manyani akina nani?
Tumia akili wewe!!?
[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23] okay!Ni mgonjwa tu ndo atakayelinganisha usafiri wa Dar na Nairobi. Yaani Dar ingelinganishwa na Mwanza si Nairobi