Kwikwikwi. Sasa huo ni usafiri ndani ya Nairobi?Wabongo nyinyi mnajiibisha na huu ugomvi wenu. Yaani hata hamwezi tii kwamba Kenya i juu yenye mara kadha. Haingii akili kuwaona mkikurupuka na vioja hapa!!! Kenya yenyewe middle class Country, Tz Third world, mbona hamauelewi na takwimu zi wazi. Hili pia mpelekwe chuo? duuh!!
Ndio haya mabasi nadhani yanakuja hadi huko Dar yakilete business people toka Kenya na yakirudisha wapotevu wa Dar
Ndani yake
(Mercedes)
Akamba Bus
Mtakoma nyinyi!!
Hapa ndio umejionesha namna gani ulivyo mshamba wewe kama sio utoto ni ushamba and lack of exposure hayo makopo kwa Tanzania long time kitamboWabongo nyinyi mnajiibisha na huu ugomvi wenu. Yaani hata hamwezi tii kwamba Kenya i juu yenye mara kadha. Haingii akili kuwaona mkikurupuka na vioja hapa!!! Kenya yenyewe middle class Country, Tz Third world, mbona hamauelewi na takwimu zi wazi. Hili pia mpelekwe chuo? duuh!!
Ndio haya mabasi nadhani yanakuja hadi huko Dar yakilete business people toka Kenya na yakirudisha wapotevu wa Dar
Ndani yake
(Mercedes)
Akamba Bus
Mtakoma nyinyi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MLETA MADA WEWE NI BURE KABISA.
YAANI HAYA MABASI YETU YA MWENDO KASI NDO YANAKUPA KIBURI? HIZO TRENI ZA KWENDA MIKOANI NDO UNAZIITA USAFIRI WA DAR? acha USENGENYAJI MY FRIEND. WATU WENGI KUTOKA HUKU KWETU TANZANIA WANAKIRI KABISA SYSTEM YA USAFIRISHAJI KENYA IKO VIZURI SANA. KUANZIA MAGARI YENYEWE, KUGOMBANIA KUPANDA HUO UJINGA HAWANA, MATUSI NA UVAAJI WA MAKONDA HAMNA. ILA HAPA KWETU BONGO NI AIBU TUPU
CALL A SPED A SPED! DONT CALL A SPED A BIG SPOON KAKA YANGU
Yapo magari luxury tu TanzaniaHaya wewe kibibi Anaeli.
Njoo ulete tupicha vyako vya bajaji na boti la magufuli linaloenda bagamoyo dsm masaa 13.
Nairobi wapiga debe Ni wasafii sana,
Tuykianza kuweka picha zenyu za huko, mtasema sisi wachokozi.
Kuna mmoja kusema nairobi watu wastaarabu wanaingia kwenye matatu kwa mstari
Hizo pia ni mambo za kizamani hapa Kenya. Huyu mchokozi tu.Sisi tulikuwa huko zamani kipindi cha chai maarage, umnikumbusha mbali sana
Waona sasa, unaniambia mambo eti litaanza, hayo niliyoyaweka hapa yalianza kitambo, na hata wewe ungilinganisha hilo linaweza fika hili?Hapa ndio umejionesha namna gani ulivyo mshamba wewe kama sio utoto ni ushamba and lack of exposure hayo makopo kwa Tanzania long time kitambo
Tamaza muonekano wa mabasi mapya ya shabiby na huduma zinazopatikana mithili ya ndege
Basi jipya kabisa la Shabiby ambalo linategemea kuanza safari zake kuanza Jumatano hii, safari zake zitakuwa ni kati ya Dodoma Dar na Dar Dodoma, Basi hili lina TV katika kila siti na pia ina sehemu ya kuchaji simu au Kompyuta na pi lina Wifi ambayo ina kasi ya hali juu, nauli ya mabasi haya ni shilingi elfu 35000 kwa kila mtu, utapata huduma ya Chakula pamoja na vinywaji kwenye basi hili
Good, but all these is the norm in most NAirobi public vehicles . We are not saying that the public transportation in Kenya is perfect, pia zipo na kero zao, lakini pia tunaendeleaHapa ndio umejionesha namna gani ulivyo mshamba wewe kama sio utoto ni ushamba and lack of exposure hayo makopo kwa Tanzania long time kitambo
Tamaza muonekano wa mabasi mapya ya shabiby na huduma zinazopatikana mithili ya ndege
Basi jipya kabisa la Shabiby ambalo linategemea kuanza safari zake kuanza Jumatano hii, safari zake zitakuwa ni kati ya Dodoma Dar na Dar Dodoma, Basi hili lina TV katika kila siti na pia ina sehemu ya kuchaji simu au Kompyuta na pi lina Wifi ambayo ina kasi ya hali juu, nauli ya mabasi haya ni shilingi elfu 35000 kwa kila mtu, utapata huduma ya Chakula pamoja na vinywaji kwenye basi hili
Duuuh, Haya ni magari ya Modern Coast, Yaana usajili wa Tanzania sababu hasa husafiri huku lakini uelewe bado ni kampuni ya Kenya
My friend, hizi ni picha za kitambo mno. Halafu tumeombwa tuweke za NAirobi. Usifikirie sisi pia hatuna picha za huko, na tukiamua kufanya hivi.........anywayNi kweli usafiri wa nairobi watu hawasimami wala hawabanani ndani ya gari kabisa as the matter of fact you can see how they are enjoying white-collar transfer. View attachment 436218View attachment 436220View attachment 436221View attachment 436222
duh! basi ya mbao?! kwikwikwiMy friend, hizi ni picha za kitambo mno. Halafu tumeombwa tuweke za NAirobi. Usifikirie sisi pia hatuna picha za huko, na tukiamua kufanya hivi.........anyway
Now, this chaos is the main mode of transportation in Dar. Kid us not about the BRT. Like I have said before, the BRTs serve only a small number of the population of Dar.
duh! basi ya mbao?! kwikwikwi
Rubbish swahili ungilinganisha mungiki languageWaona sasa, unaniambia mambo eti litaanza, hayo niliyoyaweka hapa yalianza kitambo, na hata wewe ungilinganisha hilo linaweza fika hili?