Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Wabongo nyinyi mnajiibisha na huu ugomvi wenu. Yaani hata hamwezi tii kwamba Kenya i juu yenye mara kadha. Haingii akili kuwaona mkikurupuka na vioja hapa!!! Kenya yenyewe middle class Country, Tz Third world, mbona hamauelewi na takwimu zi wazi. Hili pia mpelekwe chuo? duuh!!
Ndio haya mabasi nadhani yanakuja hadi huko Dar yakilete business people toka Kenya na yakirudisha wapotevu wa Dar
11887757_870621556324886_8935962689146912948_o.jpg

Ndani yake
14889771_1100757719961133_2068857787067313985_o.jpg

14115500_1049575248412714_3681715561210023045_o.jpg

wcAA6mD.jpg

10540760_703791316341245_3381245412271618988_o.jpg

vlcsnap-2013-08-21-13h12m47s179-png.jpg@protect,0,0,1000,1000@crop,658,370,c.jpg
(Mercedes)

10010736_636197806433930_452200127_o.jpg

980230_481599785242511_1053683774_o.jpg

portfolio_1.png

2.jpg

bus1.jpg

inside%20bus.jpg

akamba-bus-services-contacts-i3.jpg
Akamba Bus

Mtakoma nyinyi!!
Kwikwikwi. Sasa huo ni usafiri ndani ya Nairobi?
Hebu acha bana issue hizo.
 
Hapa ndio umejionesha namna gani ulivyo mshamba wewe kama sio utoto ni ushamba and lack of exposure hayo makopo kwa Tanzania long time kitambo

Tamaza muonekano wa mabasi mapya ya shabiby na huduma zinazopatikana mithili ya ndege

IMG_8989.JPG
Basi jipya kabisa la Shabiby ambalo linategemea kuanza safari zake kuanza Jumatano hii, safari zake zitakuwa ni kati ya Dodoma Dar na Dar Dodoma, Basi hili lina TV katika kila siti na pia ina sehemu ya kuchaji simu au Kompyuta na pi lina Wifi ambayo ina kasi ya hali juu, nauli ya mabasi haya ni shilingi elfu 35000 kwa kila mtu, utapata huduma ya Chakula pamoja na vinywaji kwenye basi hili
IMG_9007.JPG

IMG_9046.JPG

IMG_9007.JPG
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MLETA MADA WEWE NI BURE KABISA.

YAANI HAYA MABASI YETU YA MWENDO KASI NDO YANAKUPA KIBURI? HIZO TRENI ZA KWENDA MIKOANI NDO UNAZIITA USAFIRI WA DAR? acha USENGENYAJI MY FRIEND. WATU WENGI KUTOKA HUKU KWETU TANZANIA WANAKIRI KABISA SYSTEM YA USAFIRISHAJI KENYA IKO VIZURI SANA. KUANZIA MAGARI YENYEWE, KUGOMBANIA KUPANDA HUO UJINGA HAWANA, MATUSI NA UVAAJI WA MAKONDA HAMNA. ILA HAPA KWETU BONGO NI AIBU TUPU

CALL A SPED A SPED! DONT CALL A SPED A BIG SPOON KAKA YANGU

wewe unazungumzia Dar ya zamani
 
Annael, huu uzi unasaidia sana, mabomu yalio tegwa ardhini yanajifichuwa yenyewe, huna haja ya metal detector. Cheers
 
TAXIMATATU050214.jpg

Kuna mmoja kusema nairobi watu wastaarabu wanaingia kwenye matatu kwa mstari
3741-matatu-04.JPG

0fgjhs3c5m9ivvivag.292b5697.jpg
Tuykianza kuweka picha zenyu za huko, mtasema sisi wachokozi.
Ila thread ilitakikana ya kwamba wakaazi wa miji hizi ndio wajiwekee mapicha, sio mtu wa Dar kuweka picha ya Nairobi and vv. Kwa hivyo, kama mnaweka pich hizi kiushabiki hivi, basi na sisi hatuna haja kujihusisha na hii thread.

1)
TAXIMATATU050214.jpg

Hiyo pich ya kwanza ni ya maandamano ya wahudumu wa matatu, waona hata hapo on the left people staring.
 
Sisi tulikuwa huko zamani kipindi cha chai maarage, umnikumbusha mbali sana
Hizo pia ni mambo za kizamani hapa Kenya. Huyu mchokozi tu.

Alafu suala lilikuwa ni la usafiri mjini Nairobi, ilhali hizo ni mabasi za upcountry.
 
Hapa ndio umejionesha namna gani ulivyo mshamba wewe kama sio utoto ni ushamba and lack of exposure hayo makopo kwa Tanzania long time kitambo

Tamaza muonekano wa mabasi mapya ya shabiby na huduma zinazopatikana mithili ya ndege

IMG_8989.JPG
Basi jipya kabisa la Shabiby ambalo linategemea kuanza safari zake kuanza Jumatano hii, safari zake zitakuwa ni kati ya Dodoma Dar na Dar Dodoma, Basi hili lina TV katika kila siti na pia ina sehemu ya kuchaji simu au Kompyuta na pi lina Wifi ambayo ina kasi ya hali juu, nauli ya mabasi haya ni shilingi elfu 35000 kwa kila mtu, utapata huduma ya Chakula pamoja na vinywaji kwenye basi hili
IMG_9007.JPG

IMG_9046.JPG

IMG_9007.JPG
Waona sasa, unaniambia mambo eti litaanza, hayo niliyoyaweka hapa yalianza kitambo, na hata wewe ungilinganisha hilo linaweza fika hili?
14115500_1049575248412714_3681715561210023045_o.jpg
 
Hapa ndio umejionesha namna gani ulivyo mshamba wewe kama sio utoto ni ushamba and lack of exposure hayo makopo kwa Tanzania long time kitambo

Tamaza muonekano wa mabasi mapya ya shabiby na huduma zinazopatikana mithili ya ndege

IMG_8989.JPG
Basi jipya kabisa la Shabiby ambalo linategemea kuanza safari zake kuanza Jumatano hii, safari zake zitakuwa ni kati ya Dodoma Dar na Dar Dodoma, Basi hili lina TV katika kila siti na pia ina sehemu ya kuchaji simu au Kompyuta na pi lina Wifi ambayo ina kasi ya hali juu, nauli ya mabasi haya ni shilingi elfu 35000 kwa kila mtu, utapata huduma ya Chakula pamoja na vinywaji kwenye basi hili
IMG_9007.JPG

IMG_9046.JPG

IMG_9007.JPG
Good, but all these is the norm in most NAirobi public vehicles . We are not saying that the public transportation in Kenya is perfect, pia zipo na kero zao, lakini pia tunaendelea
 
Ni kweli usafiri wa nairobi watu hawasimami wala hawabanani ndani ya gari kabisa as the matter of fact you can see how they are enjoying white-collar transfer. View attachment 436218View attachment 436220View attachment 436221View attachment 436222
My friend, hizi ni picha za kitambo mno. Halafu tumeombwa tuweke za NAirobi. Usifikirie sisi pia hatuna picha za huko, na tukiamua kufanya hivi.........anyway
3.-Reizen-met-de-Dala-Dala-300x208.jpg

a85c6b_5e86328b68b9c68d4a3bceb957e9266d.jpg_512

Dar-es-Salaam-bus-009.jpg

dala-dala.jpg

images

dala-dala-in-dar.jpg

dala-dala-in-dar.jpg

2-1.jpg

usafiri.jpg

Now, this chaos is the main mode of transportation in Dar. Kid us not about the BRT. Like I have said before, the BRTs serve only a small number of the population of Dar.
 
duh! basi ya mbao?! kwikwikwi
 
Back
Top Bottom