chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makofi kwake jamani, makofi...![]()
my favorite hukooo tanzania!!! na utawaskia wakiema sasa zanzibar sio tanzania!!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Salamu zenu wana JF.
Leo naomba tuzungumzie Public Transport kati ya majiji haya mawili yaani Dar es salaam na Nairobi.
Nawaomba tulete habari zenye references, hususani picha na link zile za kuaminika.
Mimi nitajitahidi kuleta taarifa kutoka dar es salaam maan ndio naishi mda mwingi.
View attachment 435896
Sasa nitaanza kwa aina ya usafiri uliopo dar es salaam
1. Train
2. Usafiri wa majini-Kivuko(Pantoni)
3. Bajaji
4. Pikipiki (Boda boda)
5. Taxi
6. Daladala
7. BRT - Dar Rapid Transit
8. Usafiri wa Boats kwenda kwenye visiwa vya Dar es Salaam
Nitaanza kuelezea usafiri baada ya usafiri.
Nawaomba na nyie wenzetu (Watani zetu) Toka huko Nairobi mtuletee usafiri wenu.
Hii ni kwa faida ya wale wanaosafiri.
Kejerei, Vijembe na kutoa povu lako unaruhusiwa.
Karibu
Rudi page 10 niilibandika mapicha mengi Sana hapo, moja tu ndo ilikua Ni matatu, unless unajifanya zuzu ili kuendeleza hio narrative yako ill informed, inaonyesha vile umeshindwa sasa unaanza kutafuta vijisababu vidogo vidogo eti matatu manne?Mpaka sasa sijaelezwa namna gani nairobi wanasafiri. Nimeelezwa kuna matatu(three).
Kwanini wanaita matatu na wala sio manne.
Je magari hayo yana matairi matatu au?
Hebu watani wetu wa nairobi kujeni huku.
Nimetatizika.
Je ni matatu pekee usafiri wa nairobi?
Hakuna options zingine?
We nawe Si ugeuze angalau tafuta picha nyengine mbaya, umeshinda uko recycle same pics...Matatu cool entering style and flexible seating![]()
![]()
Kwanini wanaita matatu na wala sio manne au matano?Rudi page 10 niilibandika mapicha mengi Sana hapo, moja tu ndo ilikua Ni matatu, unless unajifanya zuzu ili kuendeleza hio narrative yako ill informed, inaonyesha vile umeshindwa sasa unaanza kutafuta vijisababu vidogo vidogo eti matatu manne?
Anyway, watz wengi wamekueleza through personal experience (ambayo ndo the best form of evidence) kwasababu hats ulete picha ngapi wala links ngapi zenye zimeanzikwa Na mtu binafsi, it will never beat bieng there personally, smelling the air, feeling the seat, paying the fair,...... Alafu vile hauezi ukawapinga manake walikua huku, as usual unashift unaanza kuwauliza eti walete evidence ya link! WTF! Alete evidence ghani nyengine Na yeye mwenyewe Ni living evidence..... Unafikiri Mtz (zaidi ya Mmoja) aliye experience both public transport systems for a while anaeza akaja hapa na Ku declare Nairobi iko na better public transport hivi hivi tu? Already hai Kama wa tz, they are bound to be biased towards tz, so when someone ends up conceding towards Nairobi then its not arguable, its very clear that the public transport system in Nairobi is better organised
Wengine wanasema ni pale kitambo nauli ilikua ni centi tatu (Kama vile daladala ilipata jina lake) - centi au sumni hazitumiki tena sikuhizi..Kwanini wanaita matatu na wala sio manne au matano?
Mi nakushauri utembelee miji hii bila ushabiki upate exposure halafu ukirudi ulete mrejesho. Lakini kama ni uzalendo tutasema tuko juu !!Wapi evidences? Au huelewi hata kile ulicho ki quote?
Wewe ni mtanzania mkikuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MLETA MADA WEWE NI BURE KABISA.
YAANI HAYA MABASI YETU YA MWENDO KASI NDO YANAKUPA KIBURI? HIZO TRENI ZA KWENDA MIKOANI NDO UNAZIITA USAFIRI WA DAR? acha USENGENYAJI MY FRIEND. WATU WENGI KUTOKA HUKU KWETU TANZANIA WANAKIRI KABISA SYSTEM YA USAFIRISHAJI KENYA IKO VIZURI SANA. KUANZIA MAGARI YENYEWE, KUGOMBANIA KUPANDA HUO UJINGA HAWANA, MATUSI NA UVAAJI WA MAKONDA HAMNA. ILA HAPA KWETU BONGO NI AIBU TUPU
CALL A SPED A SPED! DONT CALL A SPED A BIG SPOON KAKA YANGU
Penye ukweli pasi semwe??? chakufanya hapo NI TUBADILIKE NA TUWE WAZALENDO ILI HATA WANAPOKUJA AU TUNAPO KWENDA KWA WENZETU, TWENDE KIFUA MBELE NA TUWEZE KUJIVUNIA FAHARI, UZURI ,MAENDELEO NA AMANI YA KWETU.Wewe ni mtanzania mkikuyu
Tihahahaaa...Shonde kabisa...You thought I was going to spare a bad example of a Danganyikan like you??,Nenda katafute nyama ya Albino kisha kaniroge b****
Umefaidika nini ulivyonitukana?