Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Maneno matupu hayavunji mfupa....fanyeni tuone...kama madaktari hadi Leo mmeshindwa ndio itakua kuboresha iyo slum kibera??sio rahisi kihivyo na kwanza sio priority mnajenga mall mnaiita two river wakati watu wanaishi kama ngurue ...Tanzania hamna makazi u namna Ile

Hii hapa Danganyika Dar es salaam mbovu kuliko Dadaab refugee camp
Aerial-Photography-of-Dar-Es-Salaam.jpg

aerial-view-of-dar-es-salaam-tanzania-africa-1.jpg

aerial-tanzania-dar-es-salaam-coastal-island-mainland-zanzibar-34035878.jpg

15781754_1165124893604909_7687324306465194397_n.jpg
 
Ha!!
Wewe MOTOCHINI hatari!!!
Video hii imenihuzunisha kweli

Ila hicho nikiswahili gani?
Kiswahili chakenya
Uwe mzima kwenye busara
Unaweza ahirisha kuzungumza nao hao watu.

Hawa wakenya mimi hawanisumbui
Hawano jipya lamaana ktk ulimwengu huu zaidi ya majivuno,wizi,ufisadi na ukabila.
Tembea ndugu utayaona
Nenda vijiji vya kenya ndio utajua kama wapo watu hali ni mbaya kuliko vile unavyo fikiria.
Lakini utawakuta humu viroboto wachache wakijinasifu
Kwa wale wasio wajua huamini
 
Huwezi fananisha na kibera labda kama hauna akili...izo ni nyumba tatizo hapo ni mpangilio tu kibera zile ni mabanda u ngurue na kuku wanaishi watu

Just in case you didn't a Math class. 70% of 4 million people is 2. 8 million. Stop the burying of your head in the sand. That is the number of Danganyikan souls squatting in squalor in Dar es salaam slums.
 
Just in case you didn't a Math class. 70% of 4 million people is 2. 8 million. Stop the burying of your head in the sand. That is the number of Danganyikan souls squatting in squalor in Dar es salaam slums.
Whatever men but see your the one who is not living ....your just breathing !!
 
Hahahaa..... Ushenzi wak ndo waja kuanikia hapa.CCM bootlicker kabisa
Wewe kikuyu ondoa ufyuzi wako. Sasa hivi umeishiwa point umeanza kushambulia watu binafsi. Hizo ni dalili za watu walio empty kichwani.
 
Hahahaa..... Ushenzi wak ndo waja kuanikia hapa.CCM bootlicker kabisa
Nenda kwenye mada husika
Mimi sijapost picha yeyote humu
Nikianza kupost utatukana na kupanic vyakutosha!!!

Nyie watu wahovyo kabisa
Mada ni usafiri wa umma
Mmeshindwa kupost walau picha moja tu!!!
 
Dar huwez fananisha na Nairobi coz Dar ina raha nyingi sana ambazo Nairobi huwezi kuziona,nikianza na mademu wa Nairobi wana viguu vyeusi lkn wanapenda kuvaa uchi ila ktk daradara wao wanaita matatu kweli wako vizuri maana kwa hilo tuu la kucompare matatu na daladala japo ukiileta matatu dar watu watacheka sana maana ni km madudu gani cjui, yani huku tunasema malembo malembo wanapenda wasukuma ndo matatu yani bongo ni kama utaonekana mshamba tuu kuleta stand mgari km boti, ila nu fresh hazina usumbufu . .

Lkn ukizungumzia usafiri dar kuna aina nyingi sana ya usafiri kuzidi Nairobi
Fact [emoji108]

Hayo matatuu wameyaremba ila kwa Hapa Tanzania urembo huo upo Kwnye daladala za Tanga au Mwanza na hapa Dar ushapitwa na wakati na Hapa ni Modern zaidi ndyo watu huwa wanapapatikia

145be22cf1f281c25c0ac6d49ffab38a.jpg


Au
e12a695899c4ed5ba08ad20a270bee52.jpg



Japo zipo zingine zimechoka na watu huwa hawajali wanaona kawaida tuu kama hii

9153c199d7d0db92273512c112cf207a.jpg


Na conclusion ni kwamba hapa Dar hzo mbwembwe za matatuu huku hazipendwi na wakenya mnaweza ona kwenu ni nzuri ila dar ni Outdated [emoji13] [emoji13] [emoji13]


~Cmb
 
Back
Top Bottom