PUGU Sekondari mmelogwa?

PUGU Sekondari mmelogwa?

Pole aisee. Sasa huyo dogo anashida gani hadi apelekewe shule?
Kuna baadhi ya shule wanafunzi kunyoa viduku ni ruksa.
Taratibu zingine za kijinga sana
In fact hana shida yeyote, ila niliona ni vyema kumsindikiza day1. Pia mizigo ilikuwa mingi, nikaona bora nimpeleke. I did not want him to experience what did 30 years ago. Ila kama angechaguliwa mkoani angeenda tu mwenyewe. Ila uwepo wangu ulisaidia maana kuna nguo za nyumbani nilirudi nazo pia kulikuwa na pesa ambazo wanadai gharama zilikosewa kwenye fomu yao, ikabidi nilipe otherwise nisingekuwepo ingemletea shida kijana!! I mean ingekula kwenye pocket money yake!
 
Anasoma DAY au BOARDING? Ni uniform tu, hakuambiwa na nguo zake za kawaida zifate mfumo huo....msije mkaanza na kusema, mtindo wa nywele n.k, 20inch haiathiri masomo yake sio? Avae tu hata kama ni Pepe Kale style.
Ni kweli haithiri, tena inasaidia kumfanya mtoto asijisikie kutembea tembea nje ya shule! Naamini 20 ikiingalia hata mwenyewe unajionea aibu!!!
 
In fact hana shida yeyote, ila niliona ni vyema kumsindikiza day1. Pia mizigo ilikuwa mingi, nikaona bora nimpeleke. I did not want him to experience what did 30 years ago. Ila kama angechaguliwa mkoani angeenda tu mwenyewe. Ila uwepo wangu ulisaidia maana kuna nguo za nyumbani nilirudi nazo pia kulikuwa na pesa ambazo wanadai gharama zilikosewa kwenye fomu yao, ikabidi nilipe otherwise nisingekuwepo ingemletea shida kijana!! I mean ingekula kwenye pocket money yake!
Dogo ajiandae kupigwa na fangasi.
Na unatakiwa umpige biti Dogo asiwe anakuja kuja nyumbani siku za weekend.
Labda kama Dogo ni kichwa
 
Hapo mbona wamepunguza mkuu,
Mimi nimesoma hapo walikuwa wanataka 22,wamechana sana suruali zangu jumatatu,ikabidi niwe nazo mbili,
Ya matukio na ya shule,
Jumatatu naruka na sare ya shule halafu siku nyingine napiga ya matukio,
Ila ya matukio usipite nayo sana jengo la utawala ITACHANWA.
kama unawezs atumie hyo mbinu
Na ndo wanafunzi wengi wanafanya hivyo, week 1 tyuuh huyo mdogo atabadilishaaah
 
Jana nilienda kumpeleka dogo, skuli ndio anaanza kidato cha tano! Kwenye inspection walikuwa wanakagua mambo kadhaa wa kadhaa. Vyote vilikuwa sawa ila kwenye upana wa suruali nadhani wanahitaji kujitafakari!
Walikuwa wanahitaji upana wa chini wa miguu uwe 20 inchi. Katika wanafunzi wote waliokuwepo wakati huo kama 13 hivi hakuna hata mmoja aliekuja na vipimo hivyo. Na hata waalimu na wazazi tuliokuja hakuna hata mmoja aliekuwa amevaa suruali yenye vipimo hivyo.
Mimi nadhani kuna haja ya kureview hitaji hili. Sijiwi ni nini kinachowasukuma kufanya hivi, au labda ni sehemu ya upigaji? Maana kuna mwl aliandaliwa ambae unamlipa tsh 2,000 kwa ajili ya kutanunua kila suruali.
All in all kuwavalisha watoto mabuga kama hayo sio fair, natoa wito kwa waalimu wawe wanaenda na wakati walau kidogo, inch 20 is too wide. Tuwatendee wenzetu vile ambavyo na sisi tungependa tutendewe.
Shule zote ziko hivo now kwa selikali hasa upande wa Advance, kwa wavulana n suruali pana, na wasichana sketi ndefu hadi kufunika miguu. Mbona aliliongelea waziri Ndalichako tangu 2017. Ila tyuuh akili za wanafunz n wabishi wanamodoa tyuuh hakuna kujali.
 
Nakubaliana na wewe suala kwenye uvaaji wa heshima, ila suruali ya inch 20 sio masihara. Hata hao watunga Sera hawavai hivyo.
Sometimes nadhani ni uonevu usio na maana. Mimi nilimpelekea fundi akanambia hajawahi kushona suruali ya saizi kwa siku nyingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hata usijari huyo mdogo akikaa hapo week, atabadilisha tyuuuh n must yaan
 
Jana nilienda kumpeleka dogo, skuli ndio anaanza kidato cha tano! Kwenye inspection walikuwa wanakagua mambo kadhaa wa kadhaa. Vyote vilikuwa sawa ila kwenye upana wa suruali nadhani wanahitaji kujitafakari!
Walikuwa wanahitaji upana wa chini wa miguu uwe 20 inchi. Katika wanafunzi wote waliokuwepo wakati huo kama 13 hivi hakuna hata mmoja aliekuja na vipimo hivyo. Na hata waalimu na wazazi tuliokuja hakuna hata mmoja aliekuwa amevaa suruali yenye vipimo hivyo.
Mimi nadhani kuna haja ya kureview hitaji hili. Sijiwi ni nini kinachowasukuma kufanya hivi, au labda ni sehemu ya upigaji? Maana kuna mwl aliandaliwa ambae unamlipa tsh 2,000 kwa ajili ya kutanunua kila suruali.
All in all kuwavalisha watoto mabuga kama hayo sio fair, natoa wito kwa waalimu wawe wanaenda na wakati walau kidogo, inch 20 is too wide. Tuwatendee wenzetu vile ambavyo na sisi tungependa tutendewe.

Ili iwe rahisi kwa mwanafunzi kuvaa na kuvua, old is gold, that all.
 
Umesoma waraka wa wizara ya elimu kuhusu sare za shule? Au unaneng'eneka tu
 
Sema vimodo vilizidi sana. Unakutana na vijaba wamevaa uniform au hata jeans too skinny unajiukiza wanavaaje na kuvuaje?

Juzi kati kuna dogo ndio kaniambia kuwa wanavaa mfuko wa nailoni (rambo) miguuni wakati wa kuvaa na kuvua ili ngui zipite kirahisi..

What a hustle, you wonder!
 
Jana nilienda kumpeleka dogo, skuli ndio anaanza kidato cha tano! Kwenye inspection walikuwa wanakagua mambo kadhaa wa kadhaa. Vyote vilikuwa sawa ila kwenye upana wa suruali nadhani wanahitaji kujitafakari!
Walikuwa wanahitaji upana wa chini wa miguu uwe 20 inchi. Katika wanafunzi wote waliokuwepo wakati huo kama 13 hivi hakuna hata mmoja aliekuja na vipimo hivyo. Na hata waalimu na wazazi tuliokuja hakuna hata mmoja aliekuwa amevaa suruali yenye vipimo hivyo.
Mimi nadhani kuna haja ya kureview hitaji hili. Sijiwi ni nini kinachowasukuma kufanya hivi, au labda ni sehemu ya upigaji? Maana kuna mwl aliandaliwa ambae unamlipa tsh 2,000 kwa ajili ya kutanunua kila suruali.
All in all kuwavalisha watoto mabuga kama hayo sio fair, natoa wito kwa waalimu wawe wanaenda na wakati walau kidogo, inch 20 is too wide. Tuwatendee wenzetu vile ambavyo na sisi tungependa tutendewe.
Mkuu umeniacha hoi 😂😂😂 tuwatendee wenzetu vile ambavyo na sisi tungependa tutendewe
 
gallery-1506340164-trousers.jpg
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3]
 
Back
Top Bottom