PUGU Sekondari mmelogwa?

PUGU Sekondari mmelogwa?

Umesoma waraka wa wizara ya elimu kuhusu sare za shule? Au unaneng'eneka tu
Sijausoma mkuu, ngoja niutafute! Sikufikiria kama utakuwa umeelekeza watoto wetu wavae misulupwete!!!
 
Hahaha yaani suruali siitakuwa kama lile shuka la mashine ya kusaga na kukoboa
 
Suala la mazingira ya kupiga siyo kweli...kwani nilishawahi mpeleka dogo pale Na suruali haikufika vigezo vya upana wanaotaka tulienda kurekebisha mbali sana kwani hakukua Na mwalimu yeyote aliyefanya shughuli hiyo ya kushona.

Kingine suala la vipimo vya suruali Huwa linaelezewa kabisa ikiwa ni pamoja Na rangi za uniform Ila ni kiburi tu unaamua kushona unavyoamua wewe...Mbona hujaenda Na suruali nyekundu Ila ya blue.
Mwalimu ameona fursa kutokana Na viburi vyetu...yaani kufa kufaana usimsingizie ni mpigaji FUATA MAELEKEZO.
 
Ebhana nilikuwa Minaki 2010 sijawahi ona hiyo kitu ila Pugu napaheshimu mazingira ya kusoma ni magumu sana na wanafunzi ni wengi sana na wana faulu sanaaaaa sababu wako mjini wanatoroka kwenda Mchikichini sana
 
Suala la mazingira ya kupiga siyo kweli...kwani nilishawahi mpeleka dogo pale Na suruali haikufika vigezo vya upana wanaotaka tulienda kurekebisha mbali sana kwani hakukua Na mwalimu yeyote aliyefanya shughuli hiyo ya kushona.

Kingine suala la vipimo vya suruali Huwa linaelezewa kabisa ikiwa ni pamoja Na rangi za uniform Ila ni kiburi tu unaamua kushona unavyoamua wewe...Mbona hujaenda Na suruali nyekundu Ila ya blue.
Mwalimu ameona fursa kutokana Na viburi vyetu...yaani kufa kufaana usimsingizie ni mpigaji FUATA MAELEKEZO.
Ila ndio 20? Umewahi kuvaa 20 wewe?
 
Ila ndio 20? Umewahi kuvaa 20 wewe?
Mi nimesoma government school kabla ya shule za kata kuwepo mkuu...kuna mengi Zaidi ya hicho kipimo unacholalamikia...cha msingi we fuata sheria tu..wanamaana kuweka kipimo hicho, so long as hawezi kufa mtu we fuata sheria tu...shule yenyewe boys hiyo,usharo wa nini sasa?
 
Back
Top Bottom