Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ndio 20? Umewahi kuvaa 20 wewe?Suala la mazingira ya kupiga siyo kweli...kwani nilishawahi mpeleka dogo pale Na suruali haikufika vigezo vya upana wanaotaka tulienda kurekebisha mbali sana kwani hakukua Na mwalimu yeyote aliyefanya shughuli hiyo ya kushona.
Kingine suala la vipimo vya suruali Huwa linaelezewa kabisa ikiwa ni pamoja Na rangi za uniform Ila ni kiburi tu unaamua kushona unavyoamua wewe...Mbona hujaenda Na suruali nyekundu Ila ya blue.
Mwalimu ameona fursa kutokana Na viburi vyetu...yaani kufa kufaana usimsingizie ni mpigaji FUATA MAELEKEZO.
Mi nimesoma government school kabla ya shule za kata kuwepo mkuu...kuna mengi Zaidi ya hicho kipimo unacholalamikia...cha msingi we fuata sheria tu..wanamaana kuweka kipimo hicho, so long as hawezi kufa mtu we fuata sheria tu...shule yenyewe boys hiyo,usharo wa nini sasa?Ila ndio 20? Umewahi kuvaa 20 wewe?