Pumba laini za mpunga zinafaa kulishia kuku au bata?

Mkuu unataka kuwapa pumba laini pekeake bila kuchanganya na kitu kingine?
 
Zina faa kabisa mimi nalishia Mbuzi, ila upatikanaji wake ni mgumu kidogo siku hizi. nakushauri uchanganye na virutubisho vingine pamoja na chumvi au dcp.
 
Zina faa kabisa mimi nalishia Mbuzi, ila upatikanaji wake ni mgumu kidogo siku hizi. nakushauri uchanganye na virutubisho vingine pamoja na chumvi au dcp.
Virutubisho vyote kama vya pumba ya maindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…