killy mayebo
Member
- Feb 22, 2022
- 51
- 34
Pumba za mpunga zile laini zinafaa kulishia kuku na bata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raini=LainiPumba za mpunga zile raini zinafaa kulishia kuku na bata
Virutubisho vyote kama vya pumba ya maindiZina faa kabisa mimi nalishia Mbuzi, ila upatikanaji wake ni mgumu kidogo siku hizi. nakushauri uchanganye na virutubisho vingine pamoja na chumvi au dcp.
Zinakuwa kama zinakabwa auKwa kuku sikushaur mkuu, mim nauza hzo pumba Kuna wateja walianza kuwalisha kuku matokeo yake zkawa znaleta shida katika Koo y kuku, uazfai hzo
Ndio bos km znakabwaZinakuwa kama zinakabwa au
Natafuta pumba hii. Inapatikana?Kwa kuku sikushaur mkuu, mim nauza hzo pumba Kuna wateja walianza kuwalisha kuku matokeo yake zkawa znaleta shida katika Koo y kuku, uazfai hzo.
Nguruwe na bata ndio wanakula. Kuku sipendekezi.Pumba za mpunga zile laini zinafaa kulishia kuku na bata?