Baba mtata
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 280
- 40
ulipotea upo?? hayakuhusu na wewe!! sosi we mwenyewe!! kwi kwi kwi!Hao ni fungus. Muone daktari haraka sana, kabla hao fungus hawajahiribu ofisi. Sio ofisi kama jengo bali mfumo wa uzazi.
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hii ni mpya kwangu! jamani hata hizo pumbu zenu muwe mnapaka mafuta, mbona vaseline bei rahisi tu! ukute unakaa mafinga kwenye baridi, sasa ngozi inababuka ka nyoka ndiyo unajishangaa, paka mafuta kila ukitoka kuoga, at least ngozi yz hizo pumbu iwe soft! lolest! kweli niendelee kukua niyashuhudie ya walimwengu!!
we Zinduna njooooooo kuna mtu anatoka pumba kwenye pumbu, lol
upo? yaeda kwema? pangusa ndiyo nn?Uwiiiii.....hiyo ni pangusa......hakyamama una hatari ya kuzikosa sehemu zako za siri......wahi kwa doctor kabla hazijakatika.....
umeona eeeeeeee?? angekuwa hubby wangu huyo, angekoma! kama hela sina ningepaka hata mafuta ya chikichi, inahuu pumbu kujivua ngozi ka chatu??Weeeeee.......hebu ngoja nikanunue herbal oil ya kupaka zangu......mpauko wenye harara ni hatari......
Poa wadau lakin tatizo lipo kwenye pumbu moja la kulia ndo hv lakin hayaumi wala kuwasha lakin ngozi yake inatoka na napaka mafuta lakin bado sijui tatzo ni nini
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hii ni mpya kwangu! jamani hata hizo pumbu zenu muwe mnapaka mafuta, mbona vaseline bei rahisi tu! ukute unakaa mafinga kwenye baridi, sasa ngozi inababuka ka nyoka ndiyo unajishangaa, paka mafuta kila ukitoka kuoga, at least ngozi yz hizo pumbu iwe soft! lolest! kweli niendelee kukua niyashuhudie ya walimwengu!!
we Zinduna njooooooo kuna mtu anatoka pumba kwenye pumbu, lol
nimemhurumia mgonjwa sana, nikajua ni kubabuka kwa kukosa mafuta, nadhani atapata ahueni baada ya kupaka mafuta na kumuona dr. Wanaume wengi hawapaki mafuta hata uso!we mwana we, mbona hii kitu umeishabikia hivyo. Kulikoni?
upo nasikia yaeda mmeletewa mahindi na majembe mtaweza kulima sasa? au mtaenda kuuza na kubadilishana na bhangi na gongoUwiiiii.....hiyo ni pangusa......hakyamama una hatari ya kuzikosa sehemu zako za siri......wahi kwa doctor kabla hazijakatika.....
Weeeeee.......hebu ngoja nikanunue herbal oil ya kupaka zangu......mpauko wenye harara ni hatari......