Pumba pumba kwenye kereng'ende

Pumba pumba kwenye kereng'ende

Hivi kumbe na kwenye matatizo/ugonjwa wa mtu tunatakiwa kuweka mzaha,huh?!
mzaha kafanyiwa manumba ICU itakuwa kutoka mapumba??? acheni unafiki na kukuza issues ambazo hata mwenye ugonjwa hajaona kuwa kafanyiwa faul!! bora kuwa msukule lamadi narudia, kuliko kawaida kama binadamu mtaani!!
 
Habari wadau
Naomba kuuliza ni ugonjwa gani huu kwenye mapumbu kuna kuwa na pumbapumba na kama zinabanduka hivi lakini hakuna maumivu yoyote tatizo ni nini na ni ugonjwa gani?na dawa gani inaweza kusaidia

mimi mwenyewe nlijua ni mpauko wa mafuta kama unapaka mafuta na pumba bado zipo basi muone doctor.
 
Habari wadau
Naomba kuuliza ni ugonjwa gani huu kwenye mapumbu kuna kuwa na pumbapumba na kama zinabanduka hivi lakini hakuna maumivu yoyote tatizo ni nini na ni ugonjwa gani?na dawa gani inaweza kusaidia
Inaitwa PUMBU EROSION=PE
 
Kumbe hamna msaada humu ndani eee? Harakati za mzaha hadi kwenye afya? Jamvi karibu litazama
 
ulipotea upo?? hayakuhusu na wewe!! sosi we mwenyewe!! kwi kwi kwi!

Nipo mjini navuja jasho. Ndio maana nimeadimika kidogo. Huku kariakoo shimoni kazi ni ngumu sana. Wakati mwingine umeme unakatika.
 
Pole Kijana
Inawezekana umejaribu tiba au hujajaribu ila kwavile hayo maeneo ni mazuri kwa bacteria kukua na kuzaliana,fanya yafuatayo:

1.tafuta sulphur(njano)
2.pia olive oil
changanya upate rojo(1&2)
hakikisha kuwa umeshave vya kutosha na paka huo mchanganyiko katika eneo ambalo unaona limetoa mpauko huo na unga i.e muda muafaka ni saa ya kulala na usivae nguo nyingi kuachia huo mchanyato ufanye kazi vizuri,kisha oga na sabuni asubuhi rudia huo mchanyato kwa siku ya pili na tatizo litaisha
n.b usivae nguo ya ndani isiyokauka
-piga pasi nguo zako za ndani
-loweka na Dettol nguo za ndani na pia tumia sabuni hiyo ni nzuri
Best Regards
 
Duh! we utakuwa mwana ccm unajivua gamba kuanzia chini!we mkarii

Nenda kamuone Dr. Humu utaingizwa pori tuu
 
LABDA NI seborrheic dermatitis, WEKENI PICHA kwa magonjwa ya NGOZI wana JF
 
Habari wadau
Naomba kuuliza ni ugonjwa gani huu kwenye mapumbu kuna kuwa na pumbapumba na kama zinabanduka hivi lakini hakuna maumivu yoyote tatizo ni nini na ni ugonjwa gani?na dawa gani inaweza kusaidia

Nilipokuwa Sekondarí tuliiita "P..umbu errosion" unajikuna unapata utamu mpaka mate yanaweze ndondoka!
 
Back
Top Bottom