Pole Kijana
Inawezekana umejaribu tiba au hujajaribu ila kwavile hayo maeneo ni mazuri kwa bacteria kukua na kuzaliana,fanya yafuatayo:
1.tafuta sulphur(njano)
2.pia olive oil
changanya upate rojo(1&2)
hakikisha kuwa umeshave vya kutosha na paka huo mchanganyiko katika eneo ambalo unaona limetoa mpauko huo na unga i.e muda muafaka ni saa ya kulala na usivae nguo nyingi kuachia huo mchanyato ufanye kazi vizuri,kisha oga na sabuni asubuhi rudia huo mchanyato kwa siku ya pili na tatizo litaisha
n.b usivae nguo ya ndani isiyokauka
-piga pasi nguo zako za ndani
-loweka na Dettol nguo za ndani na pia tumia sabuni hiyo ni nzuri
Best Regards