Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Kwa challenge,,eneo ni ekari 18Diesel, 3 inches or 4 inches. Ingawa haujasema ukubwa wa eneo lako umesema umbali.
Au tafuta engine ya "power tiller" (wengine huita kimondo ) ya horsepower 24 na pump ya inchi 6 suction ..then outlet unachonga bomba Y lenye reducing diameter mbili, unaweza chagua inchi 4 na inchi 2 , au 3 kwa 3 au 3 kwa 4 ..utapima mwenyewe kulingana na uhitaji, hizo unaweza tumia zote au unafunga upande kucreate pressure.
InauzwajeDiesel, 3 inches or 4 inches. Ingawa haujasema ukubwa wa eneo lako umesema umbali.
Au tafuta engine ya "power tiller" (wengine huita kimondo ) ya horsepower 24 na pump ya inchi 6 suction ..then outlet unachonga bomba Y lenye reducing diameter mbili, unaweza chagua inchi 4 na inchi 2 , au 3 kwa 3 au 3 kwa 4 ..utapima mwenyewe kulingana na uhitaji, hizo unaweza tumia zote au unafunga upande kucreate pressure.
Nenda maduka ya kilimo kanunue au agiza China bei ndogo ushuru mdogo,changamoto time tegemea mwezi na masiku mzigo kufikaInauzwaje
Ushauri ulishapewa hapo juu, au kuna kile unataka kusikia?Jamani ideas za jambo langu,,wadau naomba ushauri
Nikiuzwa eneo nikasema ni ekari 18 sasa sijajua hizo specifications zilizotolewa kama inaweza kufaa hilo eneo la umbali WA km moja kutoka ziwaniUshauri ulishapewa hapo juu, au kuna kile unataka kusikia?
Kuahiza china Hadi hapa inaweza kula sh ngapi? nanikitaka kuagiza naanzia wapi?Asante kwa elimuNenda maduka ya kilimo kanunue au agiza China bei ndogo ushuru mdogo,changamoto time tegemea mwezi na masiku mzigo kufika
Inategemea brand...kama una mtu unayemuamini mjini DSM muombe aende mitaa ya kisutu kwenye maduka ya mashine mbalimbali akakuulizie, au sogea Mwanza uliza upate Bei elekezi. Kuagiza china pia unaweza ingawa kwa scale ya 18acres utaingia gharama. Mwaka 2021 HP 24 ya kichina ilikuwa btn 6.5 to 9.0 mil Tsh, kulingana na aina na attachments inazoambatana nazo.Inauzwaje
Kampuni ya Davis and Shirtliff wana pump zina kasi ya ajabu sana. Jaribu kuwatembelea, hao ndio wataalamu wa pump za majiWadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa