Andika vizuri kwanzaWadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi.
Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani.
Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
Sahihi kabisaMkuu, hapo tafuta mtaalamu tu. Pump haipimwi kwa distance. Inapimwa kwa:
1. Elevation difference kutoka unapochukua maji hadi unapomwaga
2. Headloss ya system yako.
3. Sunction.
Kuelezea kichwa kitatuuma.
Nashauri hii project kubwa sana mpe mtu kazi.
Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi.
Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani.
Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
Pump sizing and pipe sizing ni muhimu, Mie nashauri uweke Pump ya 20hp yenye flow rate 90m³/hr _120m³/hr na pipe diameter 110mm_150mm utapata maji ya kutosha kwa project yako bila shida yeyote.
Hiyo pump ndio recommend View attachment 2656856
Tafuta engine ya amec 20hp au 24hp na pump tafuta ya muitaliano kams bajeti yako iko vizur au kama haiko vzr tafuta hz pump za kichina zinauzwa hadi laki 3View attachment 2661046