sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Sio waarabu wote bali ni wale waliokosa akili kutaka kuwaua waisrael wote ili nchi yote iwe yao kutoka Mto Yordani mpaka bahari ya Mediterranean, wapalestina huwa wanaimba from the river to the sea.aiseee mwarab amepelekewa show la kibabee kabisaaa dah....yani anapigwa chupaa la kinyeo mazeee
Kama kaishindwa ghaza hana analoweza huyu mazayuniSio waarabu wote bali ni wale waliokosa akili kutaka kuwaua waisrael wote ili nchi yote iwe yao kutoka Mto Yordani mpaka Mediterean sea (From the river to the sea)
Ni huruma tu ya Israel hata hio Palestina ipo,
Hamas wanaangamia, viongozi wao na familia zao wapo Qatar, huu ni uhuni.Hamas kamatieni hapo hapo
Mazayuni magaidi yale yaliotekwanyameokolewa mangapi mpaka muda huu
Hamas kundi teule
Endeleeni kujidanganya kuwa lengo kuu la wayahudi ni kuokoa mateka! Mtastuka kumepambazuka.Hamas kamatieni hapo hapo
Mazayuni magaidi yale yaliotekwanyameokolewa mangapi mpaka muda huu
Hamas kundi teule
P R O P A G A N D A zimekua nyingi sana !Hizi habari inategemeana na mtu anayezileta.
Kwanini viongozi wakuu wa israhell wanaishi tel avivHamas wanaangamia viongozi wao na familia zao wapo Qatar, huu ni uhuni.
Kwanini viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wapo Qatar wanaishi maisha ya kifahari badala ya kurudi Gaza ?
Ukiona wewe tu inatoshaEndeleeni kujidanganya kuwa lengo kuu la wayahudi ni kuokoa mateka! Mtastuka kumepambazuka.
Yaani kusoma msijue na picha bado msione?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakat inaanza mlisema ikifika mwezi hali itakua ngumuHii vita kama itaendelea zaidi ya miezi 4 mbele Hali itakuwa ngumu zaidi Kwa HAMAS na wapalestina Kwa ujumla
Halafu hayo Hamas yote ni vibamia na yana utapiamloHamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.
Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.
Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.
View attachment 2842501
Acheni porojo sisi tunataka kuwaona mateka waliyookolewa hizi za kutesa raia kuita hamasHamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.
Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.
Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.
View attachment 2842501
Ishu ni viongozi wa kuwa mbali na nchi zao, kupigana vitani ni kazi ya wanajeshi.Kwanini viongozi wakuu wa israhell wanaishi tel aviv
Badala ya kwenda ghaza kupambana na wapigania uhuru wa hamas
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.
Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.
Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.
View attachment 2842501