Mara zote nasema na nasema tena .Endeleeni kujidanganya kuwa lengo kuu la wayahudi ni kuokoa mateka! Mtastuka kumepambazuka.
Yaani kusoma msijue na picha bado msione?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haniyeh anafanya biashara gani mpaka awe billionaire?Utajiri wake wewe wa nini au unataka uolewe viongozi wa Hamas wote matajiri mabasha zenu wameshindwa vita wanahoji utajiri Qatar ndiyo anatoa pesa hizo wewe upo Kimara bucha unaumia.
Death toll as of today is Israel 1,147 vs Palestine 18,787 halafu jitu lisilo na akili limemezeshwa juzuu linashangilia
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.
Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.
Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.
View attachment 2842501
Hizo propaganda zimeishapitwa ni wajinga wajinga tu ndiyo wanameza kama nyie ngoja nikupe darsa kiduchu wewe na wenzakoHaniyeh anafanya biashara gani mpaka awe billionaire?
Hana biashara yoyote ile, badala yake anatumia vilaza wake anawapampu akili za makaratasi kichwani wanaenda kuua Wayahudi kisha anawaelekeza wanarudi Gaza kujificha kwenye mashule na hospitalini. Baada ya hapo Israel inakuja kuwabomoa humo walipojificha kisha Haniyeh anatangazia umma wa Waislamu duniani watoe sadaqah ili kumcha Mungu. Then anakomba sehemu ya sadaka na kujijengea mahekalu na kula bata uko Qatar. Anaishi kama CEO wa multilateral company kumbe ni mkuu wa vijana wanaoishi kama panyabuku. Viongozi waandamizi wa Hamas ni matajiri wakubwa wakiwa bila biashara yoyote.
Aliye sema kuwa elimu ya Tz ni takataka anatakiwa apewe tuzo kwahiyo unataka kuniambia kuwa hujui kuwa Haniyeh ndo msimamizi mkuu wa shughuli za kiuchumi na kisiasa za Hamas hivyo hizo mali sio zake bali ni za Hamas ,?mali nyingi za Hamas zimeandikwa kwa majina ya watu binafisi ili kukwepa vikwazo na mali zao kushikiliwa na nchi za Magharibi kwasababu nchi za Magharibi zinalitambua kama kundi la kigaidi.Haniyeh anafanya biashara gani mpaka awe billionaire?
Hana biashara yoyote ile, badala yake anatumia vilaza wake anawapampu akili za makaratasi kichwani wanaenda kuua Wayahudi kisha anawaelekeza wanarudi Gaza kujificha kwenye mashule na hospitalini. Baada ya hapo Israel inakuja kuwabomoa humo walipojificha kisha Haniyeh anatangazia umma wa Waislamu duniani watoe sadaqah ili kumcha Mungu. Then anakomba sehemu ya sadaka na kujijengea mahekalu na kula bata uko Qatar. Anaishi kama CEO wa multilateral company kumbe ni mkuu wa vijana wanaoishi kama panyabuku. Viongozi waandi wa Hamas ni matajiri wakubwa wakiwa bila biashara yoyote.
Yes, wajinga wasiojibu hoja badala yake wanatafuta engo ya kujificha.
Yes, wajinga wasiojibu hoja badala yake wanatafuta engo ya kujificha.
Israel kila wakipika propaganda lazima wakosee kitu. Ktk hao wnaodai ni Hamas wamejisalimisha imejulikana ni uongo baada ya kujumuishwa mkurugenzi wa hospital na dakitariHamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.
Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.
Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.
View attachment 2842501
Kilaza kama hujui kitu huliza na kuuliza sio ujinga. Hao viongozi wa Hams kwenda kuishi Doha yalikuwa makubaliano ya kamati ya ushuruhishi amabyo pia iliwashirikisha USA na Israel ili kurahishisha mawasiliano kati ya pande mbili na hawakwenda kuishi huko wakati wa vita. Ni miaka mingi sasa wanaishi hukoIshu ni viongozi wa kuwa mbali na nchi zao, kupigana vitani ni kazi ya wanajeshi.
Viongozi wa wa Israel wapo Tel Aviv hawajakimbia Israel,
Viongozi wa Tanzania hawatukimbia wakati wa vita, vitani walienda jwtz.
Viongozi wa Ukraine hwajakimbia, vita wanapigana wanajeshi, wao wanaongoza nchi.
Shida inakuja hao viongozi wa Hamas wapo nje ya Palestina wanaishi Qatar, nchi za mbali mno,