Pumzika kwa amani Diogo JotaPumzika kwa amani Diogo Jota

Pumzika kwa amani Diogo JotaPumzika kwa amani Diogo Jota

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini Uhispania.Ibada ya mazishi ilifanyika katika kanisa la Igreja Matriz katika mji wa Gondomar, Ureno, ambako Jota alikuwa na makazi.

Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Roberto Martínez, pamoja na wachezaji kadhaa maarufu wa Ureno walihudhuria, wakiwemo Bernardo Silva na Rúben Dias wa Manchester City, na Bruno Fernandes wa Manchester United.

Wazazi wa marehemu walihudhuria ibada hiyo katika Kanisa la São Cosme, karibu na Porto, pamoja na Rais wa Ureno Marcelo Rebelo de Sousa, Waziri Mkuu Luís Montenegro, na wakala wa Jota.

Jota, mwenye umri wa miaka 28, na kaka yake André Silva, 25, walikutwa wamefariki karibu na mji wa Zamora, kaskazini-magharibi mwa Uhispania, mapema Alhamisi baada ya gari lao aina ya Lamborghini kupata ajali na kuwaka moto usiku wa
 
Apumzike kwa amani. Poleni sana wana Liverpool na mashabiki wa soka Kiujumla. YNWA
 
Back
Top Bottom