Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Hatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!
Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali!
Ni miongoni mwa watu ambao Taifa litawaenzi daima na milele! Aliwahi kuugua kipindi flani katika maisha yake hadi tukadhani amekufa lakini kwa miujuza akapona!! Hatimae sasa ameondoka…..!!!!
[emoji24][emoji24][emoji24]Akapumzike kwa amani!
Atapumzishwa kwao Ugweno!!!
Jina la Bwana lihimidiwe!