mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Bado unashikilia kulikuwa hamna haja ya kujibu mapigo?? Hiyo scenario ya eti Tz walianza haijulikani trash it!Hamna mtu amebisha hapa kwamba vita haikutokea. Soma vizuri nilichoandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unashikilia kulikuwa hamna haja ya kujibu mapigo?? Hiyo scenario ya eti Tz walianza haijulikani trash it!Hamna mtu amebisha hapa kwamba vita haikutokea. Soma vizuri nilichoandika.
Walikuwa wajeshi wa burundi wana kuja kipora tz au ilikuwaje hasa mpaka wakawashiwa moto?Butrundi Alileta fyoko fyoko sana tu mpakani Brigedia Msuya akaamua kuvuka mpaka kuingia Burundi na kikosi cha makomando8 wa JWTZ hadi ikulu ya Bujumbura bila anri ya raisi baada ya kuona chokochoko zimezidi Askari wa Tanzania kutwa hawalali kisa chokochoko za Burundi mpakan8 akaenda kutaka kuteka Na kumleta Raisi wa Burundi Tanzania.
Raisi wetu ndie alimzuia kuwa ingeleta zahama kimataifa Toka hapo Askari wa Jeshi la Burundi hawajawahi Chezea Tanzania Tena
Ok nimekupataZingatia neno "Kama"
Sijui ni exposure au ni ubishi wako tu. Nimekwambia somo wikileaks / CIA files zilizoko leak / diplomatic cables kuhusu hiyo vita halafu upambanue na kilichosemwa na Serikali ya Nyerere lakini bado una rant over some BS. Naheshimu mawazo yako na wala sina haki wala uwezo wa kulazimisha uone kwa mtazamo wangu. Halafu kweli unataka kufanya tafiti kuhusu hili jambo? Kweli?Inaonekana wewe ni intellectually arrogant au hutuki kuelewa maoni ya wenzako. Kuna narrative zinasema kuwa sisi ndio tulianza kurusha makombola kwenda uganda then idd amini akajibu kwa ku annex sehemu ya kagera. Sio fair kudhalauliana katika mambo ya kueleweshana. Nyerere anadai uganda alianza kufanya uchokozi baada ya ndege zake kufanya manuva kwenye Anga Tanzania. Kwa hiyo chanzo cha vita ni debate ambayo itajibiwa na tafiti
Nyerere alimtengeneza mtego Amini na akaingia kichwa kichwa. One way or another Nyerere alikuwa anamtoa Amin hata kama asingeanza vita na sisi.Bado unashikilia kulikuwa hamna haja ya kujibu mapigo?? Hiyo scenario ya eti Tz walianza haijulikani trash it!
Mkuu, samahani. Wewe ni Mtanzania kweli?Hivi vita ya Uganda imetusaidia nini kama nchi zaidi ya kutuzidishia Umaskini tu
Mzee wako kuwa commissioned officer inabadilisha nini sasa.Binafsi huwa sipendi fallacies maana kupata objective information unapaswa kuwa informed na taarifa rasmi na sio fallacies. Kuhusu propaganda ndio medani yenyewe ukisema nyerere alitufungaa tayari umeshachukua upande kwa hiyo utakachokitoa ni maoni yako binafsi. Mzee wangu alikuwa commissioned officer, uganda ameisha baada ya vita.
Ninavyokumbuka mwenyewe ni kuona majeshi ya amini na mauaji Kyaka na mutukula! Awe ametengenezewa zengwe au la lakini ilikuwa vita! na tulitakiwa kujibu ama sivyo Mto kagera ungekuwa mpaka wa Tz/UGNyerere alimtengeneza mtego Amini na akaingia kichwa kichwa. One way or another Nyerere alikuwa anamtoa Amin hata kama asingeanza vita na sisi.
Hatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!
Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali!
Ni miongoni mwa watu ambao Taifa litawaenzi daima na milele! Aliwahi kuugua kipindi flani katika maisha yake hadi tukadhani amekufa lakini kwa miujuza akapona!! Hatimae sasa ameondoka…..!!!!
[emoji24][emoji24][emoji24]Akapumzike kwa amani!
Atapumzishwa kwao Ugweno!!!
Jina la Bwana lihimidiwe!
View attachment 2768898
Ukija tutafutane Mkuu, nitakuwa Mazishini piaJirani yako Kunduchi ama Ugweno?
Kesho nitakuwa Ugweno, Alhamis tukamsindikize safari yake ya mwisho!
Mshana Jr
Mchawi lughaMay the departed soul rest in eternal peace.
kwanini ndugu!Mchawi lugha
Hivi humfahamu Ushimen ? Kila msiba unaotajwa humu JF yeye husema ni classmate wake regardless of age; hata kama marehemu ana miaka miwili!!! 😁😁😄Acha utani mkuu, ina maana wewe una miaka 80+? Ama alikuwa classmate wako wapi?