TANZIA Pumzika kwa amani Lt. Gen Benjamini Msuya

Nyerere alitaka kumrudisha rafiki yake Obote madarakani zaidi ya hapo hapakuwa na sababu ya msingi. Hizi tabia zimekuja kuridhiwa na Museveni na Kagame.
Watu wa dini ya mudi, Sasa hivi mnamtetea idd amini kuwa alikuwa mlinganiaji, na mnapindisha historia kuwa eti hakuna mtu mbaya kwa nchi yake Wala Tanzania ❗❗❗ wakati vita imetokea tunaiona na tupo hai mnaanza kutulisha matango pori kisa alikuwa mwenzenu katika Imani kama mnavyomtetea na kumwabudu mwarabu eti anasingiziwa kushiriki biashara ya watumwa na kuwatesa baby zetu😄😄😄😄😄
 
Wapi nimemtetea au hata kuandika jina la huyo dikteta?
 
Kwa hiyo mwanaume mwenzako akivamia kwako kupora na kubaka mkeo na mabinti utapotezea kwa sababu haina tija kumpiga?
Hii ni story iliyokuwa inatolewa na upande wa Serikali yetu lakini kabla ya hapo Nyerere alikuwa anawasaidia wanajeshi wa Obote kuingia Uganda kufanya mapambano kupitia mipaka yetu. Uzuri Amin alikuwa ni mjinga na hajui umuhimu wa International diplomacy mwenzake Nyerere akatengeneza narrative nzuri na iliyouzika kwa dunia na mbaya zaid Amini alikuwa anafanya mauaji Nchi mwake na kuvunja haki nyingi za binadamu. Ukweli utabaki kwamba Nyerere alianzisha ile vita kumtoa Amin.
 
Ukweli wa kwako wewe bado uko subjective sana bado hujaweza kufanya utafiti wa kutosha kujua chanzo halisi cha vita ile. Hili tatizo linaonekana kwa vijana wengi wasomi wa leo wamekuwa manipulated sana na either na conspiracies au udini, au intellectual arrogance. Ukitaka kuufahamu ukweli ingia field usifanye research mwenyewe usiokoteze uchafu wa mtandaoni, waulize maafisa wa jeshi waliopiganisha vita ile, baadhi ya viongozi wa wakati huo, baadhi ya raia wa uganda walioshuudia vita hiyo.

Ni kweli tulitoa political asylum kwa obote na kuna convoy iliyovuka mpaka kupitia mtukula kwenda kufanya sabotage bahati mbaya ikawa eliminate na jeshi la Anga la idd amini.

Mziki unaanzia hapa who start the war first?
 
Kweli kabisa, huyu mtu ni miongoni mwa watu ambao tulipaswa kuwaenzi ipasavyo, binafsi mimi namfahamu vyema!
Huyu mtu kwa namna alivyolitumikia taifa alipaswa kuenziwa mno!
Wapo na wengine ambao histotua zao zimewekwa makabatini.

Watoto wajifunze hawa rolemodel wa Taifa badala ya kuyakatiri majina ya walevi kama yule RC mpuuzi
 
Hatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!

Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali!

Ni miongoni mwa watu ambao Taifa litawaenzi daima na milele! Aliwahi kuugua kipindi flani katika maisha yake hadi tukadhani amekufa lakini kwa miujuza akapona!! Hatimae sasa ameondoka…..!!!!

[emoji24][emoji24][emoji24]Akapumzike kwa amani!

Atapumzishwa kwao Ugweno!!!

Jina la Bwana lihimidiwe!

View attachment 2768898
Wa kukaya Rest in eternal peace

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa, huyu mtu ni miongoni mwa watu ambao tulipaswa kuwaenzi ipasavyo, binafsi mimi namfahamu vyema!
Huyu mtu kwa namna alivyolitumikia taifa alipaswa kuenziwa mno!
Butrundi Alileta fyoko fyoko sana tu mpakani Brigedia Msuya akaamua kuvuka mpaka kuingia Burundi na kikosi cha makomando8 wa JWTZ hadi ikulu ya Bujumbura bila anri ya raisi baada ya kuona chokochoko zimezidi Askari wa Tanzania kutwa hawalali kisa chokochoko za Burundi mpakan8 akaenda kutaka kuteka Na kumleta Raisi wa Burundi Tanzania.

Raisi wetu ndie alimzuia kuwa ingeleta zahama kimataifa Toka hapo Askari wa Jeshi la Burundi hawajawahi Chezea Tanzania Tena
 
Hatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!

Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali!

Ni miongoni mwa watu ambao Taifa litawaenzi daima na milele! Aliwahi kuugua kipindi flani katika maisha yake hadi tukadhani amekufa lakini kwa miujuza akapona!! Hatimae sasa ameondoka…..!!!!

[emoji24][emoji24][emoji24]Akapumzike kwa amani!

Atapumzishwa kwao Ugweno!!!

Jina la Bwana lihimidiwe!

View attachment 2768898
Hongera zake nyingi huyu mzalendo wetu katika ukombozi wa nchi, ikawe ni sherehe ya kumuaga akienda kupata tuzo mbele ya Mungu wetu
 
Back
Top Bottom